Hiyo stend yenyewe ya Kyakairabwa ni vichekesho tu ukilinganisha na stend za kisasa zinazijengwa sasa hivi mikoaniHiv kule kyakairabwa si walishaweka lami. Kwan nini wasiiamishie kule hata kama haijaisha kama walivyofanya tanga.
Bukoba sijui tatizo huwa ni nini
Nilijua mtaanza kuwasema wahaya na sifa zao. But sidhani kama hapa nchini kuna kabila lishawahi jenga stendi ya mabasiHawa watu fujo zote humu JF kumbe hata stendi ya daladala hawana asee[emoji3][emoji23].
luambo makiadi
Nilijua mtaanza kuwasema wahaya na sifa zao. But sidhani kama hapa nchini kuna kabila lishawahi jenga stendi ya mabasiNshomile watu wa pesa mingi ja digrii saba saba si mchange pesa mjenge[emoji38]
Walijenga kipande cha Rami cha kuingia stendi ndo wakaingia ma-Ccm hakuna kinachoendeleaHiv hio stendi ya kyakairabwa imefikia wap
stand kama zizi la mbuzi..Sidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.
Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
Iringa pazuri sana mkuu! Napapenda sana.. kagera hasa bukoba panahitaji jitihadaHaha basi iringa pametuliaa
Bukoba sijui tatizo huwa ni nini
Kwa kina mkuru wetuKwakina founder wa where we dare to talk openly a.k.a wakwe zangu.
Tatizo la moshi ni mbege bana!! Wanazidisha maji siku hiziSidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.
Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
Nimejitahidi kuvumilia nimeshindwa! Kagera haina population ya watu 3million!! Mwanza tu ambayo ndiyo ya pili baada ya dares salaam ina wastani wa watu 1+million, arusha na vurugu zake hawafiki hata 500,000(laki tano) dar inakimbilia 7m_Unaweza tupia picha zake
Tofautisha Kagera mkoa na Bukoba manispaa, unachoongelea wewe ni Bukoba manispaa ambayo kimsingi haizidi laki mbili maana hata eneo lake limebana sana lakini mkoa wa Kagera una watu zaidi ya milioni 3, nadhani mtoa mada kamaanisha mkoa piaNimejitahidi kuvumilia nimeshindwa! Kagera haina population ya watu 3million!! Mwanza tu ambayo ndiyo ya pili baada ya dares salaam ina wastani wa watu 1+million, arusha na vurugu zake hawafiki hata 500,000(laki tano) dar inakimbilia 7m_
Ukibisha unakuja na fact kama hizi sio mbwembweNimejitahidi kuvumilia nimeshindwa! Kagera haina population ya watu 3million!! Mwanza tu ambayo ndiyo ya pili baada ya dares salaam ina wastani wa watu 1+million, arusha na vurugu zake hawafiki hata 500,000(laki tano) dar inakimbilia 7m_
Hiv hizo taa alizosema mbunge washaanza kuweka. Maana niliona tender imetangazwa.Nachokiona humu ni watanzania kutokushirikiana katika masuala ya maendeleo. Nadhani mada kama hii tulitakiwa kuchangia bila kushambulia kabila maana suala la stendi si la kikabila bali ni la serikali, lakini vilevile stendi inahudumia watanzania wote. Tukichangia katika mtazamo chanya kesho atatokea mtu mwingine kutoka mkoa mwingine nae ataleta changamoto za huko ili tuchangie bila kuogopa kukejeliwa.
Bukoba inaweza kuwa na stendi mbaya lakini bado miundombinu mingine ni mizuri (mfano, airport)
Nafikiri awamu ya kwanza inaanza mwezi huuHiv hizo taa alizosema mbunge washaanza kuweka. Maana niliona tender imetangazwa.
Kuhusu wabongo achana nao akili zao zimekaa kishoto yaan mtu anatusi kabila kama vile ndo linajenga stendi as if kuna kabila ilishawahi jenga stendi