Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Hizi nyuzi zenu ndio zinafanya Namba moja alale na ushungi.
 
Lakini mabasi si yanaingia yaleyale?
 
Watu wa mwanza ni washamba sana. Yani kimsingi mwanza bado kuna hulka za bush tupu. Sasa hicho ni kitu cha kurukaruka? Kushangaa?😂😂 Kwanza mabasi yenyewe ya hovyohovyo tu.
 
Watu wa mwanza ni washamba sana. Yani kimsingi mwanza bado kuna hulka za bush tupu. Sasa hicho ni kitu cha kurukaruka? Kushangaa?[emoji23][emoji23] Kwanza mabasi yenyewe ya hovyohovyo tu.
Tulijua tu wachaga wataumia na maendeleo ya Mwanza
 
Wasukuma buana, eti zaidi ya airport...
 
Kwahiyo umehamia hapo!
 
Hii stand kama imejengwa pale pale ilipokuwepo stand ya zamani kwa maoni yangu naona ni padogo na baada ya miaka kumi patakuwa hapatoshi. Kwa nini waliendelea kupang'angania pale Nyegezi badala ya kutafuta eneo kubwa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Tulijua tu wachaga wataumia na maendeleo ya Mwanza
Wachaga waliwala babu zenu au? Arusha kwani ni kwa wachaga? Acheni ushamba ndio maana mnadharaulika. Wachagga wa watu hawana ata muda na nyie ila nyie kutwa kuwasimanga na kuwabagua. Hayo nayo maendeleo kwa akili zenu? 2023?
 
Wachaga na kimanispaa chao kilichodumaa wanawivu sana na maendeleo ya Wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…