Magu na wasukuma ndio mlionesha chuki zenu, alijaribu kuwaangamiza bila sababu na nyie mnawachukia bila sababu kisa wamewazidi kila kitu na watawazidi maana wameshajua mnavyowatazama kwa husda na chuki, washamba.Wachaga ndiyo waliliwa vinyeo na wasukuma ndiyo maana wana chuki sana na Magu
Aweke huyo anayetuhumu kabila zima wezi. Hasid tupu.Weka evidence ya unachokizungumza acha kuropoka
Wachaga na manispaa ya Moshi iliyodumaa Vs Wasukuma wenye jiji la Mwanza?Magu na wasukuma ndio mlionesha chuki zenu, alijaribu kuwaangamiza bila sababu na nyie mnawachukia bila sababu kisa wamewazidi kila kitu na watawazidi maana wameshajua mnavyowatazama kwa husda na chuki, washamba.
Huna akiliWachaga na manispaa ya Moshi iliyodumaa Vs Wasukuma wenye jiji la Mwanza?
MK254 una la kuchangia 😅😅😅😅Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.
Watu wa kanda ya ziwa wana inferiority complex , wanawachukia Wachagga wakidhani ni wezi ,ni kisa hawaelewi hustle zao. Wachagga hawana muda nao. Ila mwendazake akaonesha jinsi chuki yao dhidi ya Wachagga ilivyo kali. Ila Muite pembeni muulize vizuri nini wamefanya hakuna kitu, wamemezeshana Matango pori na roho za chuki tu bila sababu.Nilichojifunza sijui kwanini watu wa kaskazini hawapendi Maendeleo ya kanda ya ziwa and Vice versa
Huko mshapigika amka mudaa🤣Nichangie kuhusu stendi ya mabasi huko Tanzania? Hebu nipishe kwa sasa tunamchakaza Putin.
Huko mshapigika amka mudaa🤣
Arusha, Kagera, mnatia aibu sana mnashindwa hadi na korogwe ambayo ni wilaya
Geita mjini wamezuiwa kujenga stendi yao?Ilebstend ya chato ingewezekana kubebebwa ingebebwa kuhamishiwa geita mjini ...
[emoji38][emoji38]Wale wenzangu wa muarabu, hata stendi kama hii ungesikia tuwape waarabu waje kujenga! Shame!
Wachaga ni wajinga sana wanatamani kila kitu kiwe kwaoNilichojifunza sijui kwanini watu wa kaskazini hawapendi Maendeleo ya kanda ya ziwa and Vice versa
Nasikia jamaa wao ukishawapa Airport na usafir wa anga wa uhakika, inatosha.Arusha, Kagera, mnatia aibu sana mnashindwa hadi na korogwe ambayo ni wilaya
[emoji38][emoji38]Nasikia jamaa wao ukishawapa Airport na usafir wa anga wa uhakika, inatosha.
Umemjibu kiakili kubwa. Hawezi kuelewa.Nasikia jamaa wao ukishawapa Airport na usafir wa anga wa uhakika, inatosha.