Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Wachaga ndiyo waliliwa vinyeo na wasukuma ndiyo maana wana chuki sana na Magu
Magu na wasukuma ndio mlionesha chuki zenu, alijaribu kuwaangamiza bila sababu na nyie mnawachukia bila sababu kisa wamewazidi kila kitu na watawazidi maana wameshajua mnavyowatazama kwa husda na chuki, washamba.
 
Wachaga na manispaa ya Moshi iliyodumaa Vs Wasukuma wenye jiji la Mwanza?
 
Nilichojifunza sijui kwanini watu wa kaskazini hawapendi Maendeleo ya kanda ya ziwa and Vice versa
 
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.

Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.

MK254 una la kuchangia 😅😅😅😅
 
Nilichojifunza sijui kwanini watu wa kaskazini hawapendi Maendeleo ya kanda ya ziwa and Vice versa
Watu wa kanda ya ziwa wana inferiority complex , wanawachukia Wachagga wakidhani ni wezi ,ni kisa hawaelewi hustle zao. Wachagga hawana muda nao. Ila mwendazake akaonesha jinsi chuki yao dhidi ya Wachagga ilivyo kali. Ila Muite pembeni muulize vizuri nini wamefanya hakuna kitu, wamemezeshana Matango pori na roho za chuki tu bila sababu.
 
Ilebstend ya chato ingewezekana kubebebwa ingebebwa kuhamishiwa geita mjini ...
 
Back
Top Bottom