Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Hahahaha hapa ndio mwisho wa akili nyingi za Watanzania
Kweli kabisa ndiyo mwisho wa akili za watz, ila nakuomba kwa akili za wasiyo watanzania inatakiwa au ilitakiwa kuwa vipi?.

What's your concept ?
 
Ingejengwa tu. Uwanja wa ndege Mwanza
 
RIP JOSEPH POMBE JOHN MAGUFULI watashindanaaaaa kufuta Lagacy lakini hawataweza labda wapige mabomu ya Nyuklia kufuta alama zako. Wenye Akili tunaendelea kukukumbuka Daima.
Zitajengwa nyingi na nzuri kuliko hiyo. Subiri.
 
Kurudi Buzuruga haitawezekana, labda afute tu hiyo tozo ya 200
 
Daaah ila MSAMVU ishakuwa historia kwa hii mistendi ya Sasahivi Tz
Msamvu itabaki kuwa stemdi bora kabisa ,Nyege wameinenga kwenye korido,ilitakiwa ijengwe nyuma ya Usagala,na Buzuluga ingejengwa mbele ya Kisesa
 
Hizo stendi hazijajengwa miji yote. Tembea uone au wewe unasafiri kwa ndege tu.
Mimi sijawahi panda hizo ndege na pia sikuzungumzia stendi tu. Kipindi cha JPM miji mingi midogo midogo ilichipukia na kukua kwa kasi na hii ni kwa sababu alipeleka huduma za kijamii kama hospitali, pia aliweka lami na taa za barabarani kwenye vimiji vidogo vidogo mfano Katoro, Buseresere, Magugu, Igawa nk hii ilisaidia wafanyabiashara hasa wamachinga kufanya kazi hadi usiku.
 
Msamvu itabaki kuwa stemdi bora kabisa ,Nyege wameinenga kwenye korido,ilitakiwa ijengwe nyuma ya Usagala,na Buzuluga ingejengwa mbele ya Kisesa
Msamvu stend au banda la kuku stend Nzuri itabaki kuwa Magufuri Mbezi tu then inafuata Dom, Mwanza na stend nyengine mpya Msamvu ilipendelewa kipindi hiko inahitaji ijengwe ya kisasa
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…