Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
- #81
Hajielewi huyoWewe akili yako imeishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajielewi huyoWewe akili yako imeishia wapi?
Naona umevurugika na huwenda sio mtanzania wewe unataka kuleta machafuko kama kwenu hukoLeta wewe ukweli! Itachukua miaka kadhaa, kumpata Rais Tanzania, hatuna Rais
Yaani wana undugu na uchafuHawawawezi zingatia hawa
Miezi 3 tu hapo chali
Ova
Kwanini?Arusha na Kilimanjaro hata wasipowajengea poa tu
Msamvu ni kibanda tu kwa sasa,Mwanza wanavyuma 2 vikali sana Nyamongolo Bus Terminal na hii Nyegezi.Daaah ila MSAMVU ishakuwa historia kwa hii mistendi ya Sasahivi Tz
uwakumbushe pia kutokuingia na vifaranga vya kuku ndan ya ma bus! Wanatuachia mbegu za utitiri tukaoteshe kwetuWasukuma muitunze sasa stendi yenu sio baada ya miezi sita stendi inamejaa uchafu na mavi tupu.
Wewe akili yako imeishia wapi?
Naombakuambatanisha na ule uzi wa A town va mwanza. 😂😂😂Hongera sana watu wa Mwanza kitu ya ukweli sana imetulia hapo Nyegezi, wawajengee na Arusha ile stend yao nikama zizi la Nguruwe.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Pamoja kiongoziNaombakuambatanisha na ule uzi wa A town va mwanza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nambie kwa kifupi sana! Zinakusaidia nin?maana nyamhongolo watu wameshindwa kulipa kodi za frem mle ndani! Stand gani inazidiwa makusanyo na yale majaruba yaliogeuzwa stand pale kisesa kona ya kayenzeMsamvu ni kibanda tu kwa sasa,Mwanza wanavyuma 2 vikali sana Nyamongolo Bus Terminal na hii Nyegezi.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Wewe huna akili nadhani,hivi unaijua Stend ya Nyamongolo au unaisikia? kamuulize mkurugenzi wa Ilemela akueleze namna mapato yalivoongezeka baada ya kuanza kazi stend.Mwaka jana walikusanya b 9 + mwaka huu wanaweka malengo ya kukusanya b 13 hadi kufikia robo ya 3 mwezi march walikuwa walikusanya b 12. Usipende kuongea vitu usivojua Nyamongolo ni uti wa mgongo wa mapato ya Ilemela kwa sasa pamoja na Soko la kimataifa la dagaa na samaki pale Mwaloni.Nambie kwa kifupi sana! Zinakusaidia nin?maana nyamhongolo watu wameshindwa kulipa kodi za frem mle ndani! Stand gani inazidiwa makusanyo na yale majaruba yaliogeuzwa stand pale kisesa kona ya kayenze
Unanikumbusha jamaa mmoja alivyosikitika kupanda basi moja lililotokea Bariadi kwenda Dar. Anasema basi lilijaa Wanyantuzu. Anasema kuwa basi zima ilikuwa ni kelele safari nzima.uwakumbushe pia kutokuingia na vifaranga vya kuku ndan ya ma bus! Wanatuachia mbegu za utitiri tukaoteshe kwetu
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli, hivyo wananchi wamemlilia tena kwenye uzinduzi wa stendi hii na kusema bila Magufuli kuwa Rais huenda ingewachukua miaka 50 kwa jiji la Mwanza kujengewa stendi nzuri kiasi hiki.
Ameamua kutokuwa mnafiki wa kutompa maua yake na anayetekeleza ndoto za mtangulizi wake, hapo ndipo wenye chuki na upendeleo msipotaka kumuelewa........ingawa najua nafsini mwenu, kama binadamu, mnamuelewa vizuri tu!Hata mimi sijamuelewa kweli
Ungekuwa mkenya lazima ungekuwa mtu wa Usenge, county ya Siaya; kwa kuwa ni mbongo basi nina haki ya kuamini kuwa wewe ni mtu wa mwisenge kule mjini Musoma, Mara.we kwa ushamba wako wa Maswa inaonekana kabisa hujafika uwanja wa ndege. Inaonekana ni mfu unayetembea, maana kila siku ni kuongelea habari za wafu. Jitundike tu ujiunge na wafu wenzio. Stand imejengwa kwa kodi za watanzania. huyo marehemu wako mafao yake wanakula familia yake hakuna senti imetumika kujenga hiyo stand