Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Nakazia
 
Yaan miradi ya serikali wananchi wanamlilie alielala miaka miwili nyuma.
 
RIP JOSEPH POMBE JOHN MAGUFULI watashindanaaaaa kufuta Lagacy lakini hawataweza labda wapige mabomu ya Nyuklia kufuta alama zako. Wenye Akili tunaendelea kukukumbuka Daima.
Huyu jamaa angekuwepo, hata airport ya Mwanza ingeshaisha na kuwa ya kisasa sana, sasa hivi ukipita ukiyaona yale magofu yalivokaa unacheka tu na kuendelea mambo yako
 
Nimekwambia huna akili,abiria gani anaesafili anatozwa 200? yaani mtu awe na tiketi halafu atoe tena 200. Nani aliekueleza huo ujinga wako yaani mtu aache kupandia Nyamongolo apate siti kwakuogopa 200 apande daladala kwa zaidi ya 200 aende kisesa asubili Basi asimame. Halafu unajifanya eti unasafirisha watu yaani tata zirudi Buzuruga kufanya nini eleza sababu,hujui pale project inakuja ya Buzuruga Commercial Complex halafu unaleta ujuaji uchwara hapa.Eti stend ya Kisesa inazidi mapato Nyamongolo sijui hizo akili zikoje Halmashauri ya Magu yote makusanyo yake hayazidi B 3 wakati mwalo wa Kirumba pekee tu unakaribia hayo mapato kwa mwaka.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hawajapendezewa na hiyo stand kujengwa, especially ukanda wa kaskazini among them hawawapendi wa kanda ya ziwa, ni kwanini mnawachukia lake zone? Wamewafanya nini!!
 
Kurudi Buzuruga haitawezekana, labda afute tu hiyo tozo ya 200
Achana na hilo lijamaa ni liongo stend inafanya kazi vizuri kabisa!hakuna tozo ya kufuta hapo wanaotozwa ni wanaosindikiza sio abiria kwakuwa anakuwa na tiketi yake mkononi Ofisi zipo kwanje kwahiyo tiketi yake ndio inakuwa gate pass yao.sasa huyo sijui aliona lini abiria anatozwa 200 labda kama akienda kukatia tiketi ndani kwenye basi!sasa hapo atamlaumu nani wakati Ofisi za tiketi zimewekwa nje. ile stend inafanya kazi vizuri kabisa imejengwa kwa mpango wa mda mrefu yeye anataka ijae yote wakati stend nikubwa sana ile na inahudumia magali ya njia 1tu!malengo ya Halmashauri yamefikiwa kwa zaidi ya %100 achana na huyo.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Bila yeye usingeiona hiyo stendi
Na bila yeye ht barabara Dar to Mwanza usingeiona.
Bila yeye ht shule za Mwanza zisingejengwa.
Bila yeye ht jiji la Mwanza lisingekuwepo!
Yaani mijitu mnamwabudia kabisa huyo shetani
 

Hapo jana nimekata tiketi ndani ya stand ya mabasi ya mkoani katika mkoa flani, na mpokea fedha nikamwambia nasafiri ila sikua na tiketi hapo, cha ajabu akachukua pesa na kupewa risiti, hili limekaaje mkuu? Au mpaka ukate online maana
 
Hapo jana nimekata tiketi ndani ya stand ya mabasi ya mkoani katika mkoa flani, na mpokea fedha nikamwambia nasafiri ila sikua na tiketi hapo, cha ajabu akachukua pesa na kupewa risiti, hili limekaaje mkuu? Au mpaka ukate online maana
Tiketi sasa hivi ni online
 
Arusha wanatukosea mno.

Wanachokifanya sana sana ni kuwahamisha tu wamasai Toka kwenye makazi yao ya asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…