Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Msamvu ni kibanda tu kwa sasa,Mwanza wanavyuma 2 vikali sana Nyamongolo Bus Terminal na hii Nyegezi.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Morogoro ni kati kati, haihitaji stendi 2 maana magari yote lazima yapite hapo

Mwanza ni Start na Final Destination hivyo isingekuwa vyema gari zitoke Nyegezi kwenda Musoma au Mhongoro kwenda Sengerema
 
Hatuwezi kusahau ukatili wa yule mtu kwa vitu vidogo kama stendi ya mabasi.
 
Hatuwezi kusahau ukatili wa yule mtu kwa vitu vidogo kama stendi ya mabasi.
Watu wa mavyeti feki mnashida sana kwakweli! nani alikwambia uwe mavivu wa kusoma ukafeli ukaenda kufoji cheti?. Na unajua ni kinyume cha sheria acha chuki za kijinga hazikusaidii acha watu wampe mauwa yake.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Maua uwa anapelekewa marehemu pale kaburini anapolazwa unono,mpekeeni maua yake kaburini acheni kutupigia kelele, kaburu kule SA alifanya makubwa kuliko aliyoyafanya huyo mungu wenu lakini tulipaza sauti ya kumkataa kwa sababu ya vitendo vyake viovu.
 
Zaidi ya Mbezi stand
 
Jambo wabongo wakilizindua wanaanzaga kwa mkwara,maneno
Mengi
Tutawaona mbeleni huko

Ova
 
RIP JOSEPH POMBE JOHN MAGUFULI watashindanaaaaa kufuta Lagacy lakini hawataweza labda wapige mabomu ya Nyuklia kufuta alama zako. Wenye Akili tunaendelea kukukumbuka Daima.

Wanashindana au munalazimisha awe juu watu tushasahau na mzoga ushaoza
 
Magugu!!!! huo mji ni mpya Nini mkuu?
 
Stendi ya mabasi sio airport. Ikifanana na airport basi ujue kuna matatizo.

Amandla...
 
Wanayotoza kwa huduma ya kunya na kukojoa hawatumii fungu kufanya malekebisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…