Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

Kuna Hospital Moja Dodoma Nayo Itafuata Njia Ya Hiyo Stendi Yaani Itazinduliwa Wakati Haijakamilika,
 
Kwasisi wakazi wa kaskazini short cut ni barabara ya kimara mbezi via msitu wa pande kwenda kutokea Bunju ni rahisi lakini bado tunazungushwa tu mwenge ambapo ni mbali.

Hakukuwa na ulazima wa kufungua stand kama ilikuwa haijakamilika ,sasa kama maji hakuna,rough road si utopolo huo?
 
Uchafu ni jadi yenu nyie wa Mkoa wa Dar
 
Waacheni professionals wafanye kazi zao, msiingize siasa zenu chafu kwenye Miradi
Shida mzee hazingatii ubora anazingatia namba. Furaha yake ni kuona anazindua miradi kila siku. Mradi mzuri km huo hakukuwa na sababu za kuukimbiza kimbiza. Ndio maana JK alikataa nyumba yake kuharakishwa.
 
Tutaelewana tu maendeleo hayana chama. Watu wa jimbo la ubungo/kibamba mmekosa barabara za lami kutokana na mbunge aliyetoka upinzani ambaye alikuwa mbunge wenu.
 
Namba 2 sijapenda aisee, yaani meza zimepangwa tu
 
Heeeeeh?
 
hiyo tunasema ni unkwepao inshuuu 🤣
 
Bila picha unategemea member wakuelewe
Niliyoyasema amini. Muda huo naandika huu uzi ndio nilikua nimepata usafiri ktk daladala kutoka safari ya morogoro. Nilishukia hapo terminal na nilitumia dk kama saa hivyo nilitambua hivyo vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…