Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

Na pia kwa kufungua stendi hii, inatakiwa barabara ya goba tegeta ikamilishwe haraka. Huwezi pitisha mibasi yote njia ya goba massana pale goig..
 
Na pia kwa kufungua stendi hii, inatakiwa barabara ya goba tegeta ikamilishwe haraka. Huwezi pitisha mibasi yote njia ya goba massana pale goig..

Yes Goba tegeta wazo inatakiwa ikamilishwe haraka ,pia kuwe na option ya shortcut ,Mbezi-Goba-Masana kanjia kadogo sana kale ,hakiwezi pitisha magari ya mkoani,halafu makona kona kibao na mabonde yatakuwa yanapinduka kila siku.
 
Si wangesubiria miondombinu ikamilike vizuri, barabara , maji kwenye vyoo, kumpangilia vizuri maeneo ya mabasi, taa za barabarani, abiria anapotoka safari jinsi gani atapata mabasi na kila usafiri kwa uhakika. Pia mpangilio wa sehemu wafanya biashara wadogo wakae kwa mpangilio. Kituo kinatakiwa kipangiliwe ili kiwe cha kimataifa.
 
Ahsante kwa taarifa...

Serikali itafanyia kazi changamoto zote...
 
Hata mazuri machache tuyaone na tuwatie moyo.

Hope everything will go smoothly upesi.
Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kuzindua kituo kikubwa cha magari chenye kutumika na magari mengi pamoja na abiria wengi huku kikiwa vitu muhimu havijatengemaa kama vile barabara kisha uendelee na ukarabati kikiwa operational?
 
Hata mazuri machache tuyaone na tuwatie moyo.

Hope everything will go smoothly upesi.
Hakuna kibaya alichoandika mleta mada.Mengi Ni changamoto za kutatua tu haraka mfano taa, maji nk

Na pia ametoa mtazamo wake kuwa kulihitajika muda kidogo ndiyo stendi ianze kutumika.

Ila naona ishakuwa ugonjwa, kuwa ninyi ni watu mnafanya mambo mazuri na hamuwezi kushauriwa, kukosolewa Bali lolote mfanyalo mnahitaji makofi
 
Serikali ya ajabu sana hii, Kunenge na Jaffo waliona mzee akipita bila kuzindua wanaweza kuwekwa pembeni.
 
Kila nikiona picha mtandaoni na nikiona hali halisi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Niliyoyasema amini. Muda huo naandika huu uzi ndio nilikua nimepata usafiri ktk daladala kutoka safari ya morogoro. Nilishukia hapo terminal na nilitumia dk kama saa hivyo nilitambua hivyo vitu.
Noma kweli wanaharakia maendeleo
 
Huuwotenjiupuuziwasisiempamojannananiiihsjshdnsnsjnsbsssiolazimanueleweyote
 
Wamejineemesha wao, siku zote wanatengeneza vizuri maeneo wnayonufaika nayo wao kama pale airport na station ya SGR nako unasikia VIP lounge nk

Ni aibu sana stand ile kukosa maji wakati ina mapaa ya bati mengi kabisa, wangeweza kujenga matank makubwa na wakavuna maji yakatumika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…