A
Ukisikia nchi ngumu ndo ugumu wenyewe huo!
Anazuiwa Kufanya Safari Hapo Msamvu
Maajabu Tanzania Hajawahi KwishaMe nashangaaga kulipishwa vyoo wakati nishalipia pesa ya kuingia. Yaan malls vyoo bure hafu wao vyoo vya stend mia 3.
NCHI Ina ujinga mwingi sana hii! Mi siku nitajifanya Sina mia tatu zaidi ya ticket,nione itakuwaje! .....maana Moro ndio kitaa,nitamtoa mtu meno ya mbele!
Huu Upuuzi Eti Ndiyo Vyanzo Ya MapatoHata Mwanza stand zote same scenario
Morogoro ni mkoa wenye rushwa na ufisadi wa hali ya juu!Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya
Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini.
Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio
Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii Ni Dhuruma Kwa Watanzania Wote Wanaotumia Kituo Hicho
Tunachojua Msindikiza Abiria Ndiyo Anayepaswa Kulipa Ila Abiria Ameshalipia Kupitia Ticket Yake Ya Basi Husika
Mkurugenzi Ajitafakari Maana Hizi Tenda Mnazopeana Hamtaweza Kuongeza Mapato Kamwe Ni Vyanzo Kibudu /Dhuruma Kwa Wananchi.
Yaani Huu Siyo Ubunifu Ila Kero Kwa Abiria
Sana Pananuka RushwaMorogoro ni mkoa wenye rushwa na ufisadi wa hali ya juu!
Kibunda Kizuri Sana Tena Hapo Umekaa Tu Unakusanya3,00x1,000 Kwa siku🤔