SI KWELI Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) Imebadilishwa Jina

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hata plan ya ujenzi wa ofisi mpya ya makao makuu ya chadema ipo muda mrefu lakini hela za ruzuku ya chama zinaliwa na Joyce Mukya tu.

Hongera Halima Mdee kwa kukomesha udikteta wa Mbowe.
Mtu akimtaja Magufuli kwa ufisadi anakuwa kama amegusa matako ya Etwege

Pole sana
 
Vilaza FC inaundwa na Mbowe form four failure, Msigwa babantilie la Tatu aliyeacha shule, Lema mwizi wa magari form two failure,sugu bwana mitepesho matakoni la 3D failure alizungusha Hisabati na masomo ya akapata wastani wa F
Huyu Nigrastratatract nerve akili zake zilikuwa kwa Magufuli na alipokufa alizikwa nazo. Amebakia ni msukule tu, hana anachojuwa
 
Sijaelewa mantiki ya kubadili jina la hii stendi ila naona kuna shida pahali.Jina la Magufuli bus terminal limekaa mahala pake kabisaa.Ifike muda tuache kuyapa majina ya viongozi maeneo mbali mbali kama hatuwezi kudumisha haya majina
 
Zaidi ya hayo, JamiiCheck imefika eneo la kituo hicho ili kuhakiki kama jina la kituo hicho kimebadilika lakini imekuta bado kituo hicho kinaitwa Magufuli Bus Terminal kama ilivyokuwa tangu kituo hicho kilipopewa jina hilo mwaka 2021. Hizi hapa chini ni baadhi ya picha ambazo zimepigwa leo Desemba 19, 2023:


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Nimeona na watu wamefuatilia kwa ukaribu na taarifa ziko sahihi.
 
Yaani watu wazushi bwana
Huu uzi ulinifanya niende kuchungulia
 
Acheni mawazo ya kijinga magufuli alikufa kwa korona mbona mnatsngeneza upuuz na chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…