Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

kwa picha za kuvutia hatujambo ila njoo kwenye uhalisia sasa
Si kama mkubwa anavyosema mimi ni rais wa wanyonge.
Ila kiuhalisia anamanisha kuwanyonga.

-load board 15%
-kama umesoma privte no loan. Ila yy alisoma private na kasomeshwa tena elimu ya watu wazima na mshahara juu kwa kuunga unga.
- alijaribu kuwaombea wakina jesica mkopo pia.

— rais wa vyana vyote. Hapo hapo lisu kwachuu. Sugu ndani
 
Inahamia wapi tena,isije ikawa Kibaha!,mi hata ile stendi ya Mwanza kule Nyegezi huwa naona ni mbali from town,sasa hii Ubungo tu inahama!
Acha uoga wa maisha wewe!

Upanuzi wa miji huendana sambamba na kupeleka miundombinu na huduma za kijamii mahala husika

Nyengez ni mahala sahihi kabisa ile stend kuwepo

Labda useme ni ndogo
 
Mwanadamu sio Mungu ni jambo jema kuhamishia kituo cha mwendokasi ubungo ili stendi ya ubungo iende mbezi luis
Ujenzi wa karakana ya UDART ilikuwa kupoteza fedha bure.
Eneo lile si geni kwa shida hizo.JK aliwah kuhoji ujenzi huo.
TANROADS walikuwa wadau wa mradi.
Kwakweli pesa zetu zimechezewa pale.
Yale majengo yatabaki USELESS maisha yote
 
Unaweza kujenga kitu sehemu sahihi lakin natural calamities huwez kuzikwepa kama ikitokea zikaja tofaut hata huko ma mbele wanahangaika na haya majanga
Si kwa JANGWANI,labda kama hayo mambo yangetokea UBUNGO sawa.
 
Yaani kodi zetu zinapiga chenga kuliko siye wenye mpira...maamuzi Yao gharama kwetu mara mia...

Umeona eeh. Halafu walipiga marufuku watu kujenga wala Kuishi maeneo hayo wakayaita hatarishi.

Wanachezea pesa zetu sana halafu zisipoonekana kwenye hesabu za CAG wanakuwa wakali wanadai zipo. Zitakuwepo vipi kwa kuchezewa huko

bado na ukuta wa Mererani wamechezea pesa yetu. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
🙂🙂..whiterose unaongea sana ujue...
 
🙂🙂..whiterose unaongea sana ujue...

Umeanza kuogopa Dina bwana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Umeanza kuogopa Dina bwana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

No sijaogopa....ulichoongea ni hoja ya msingi haswa...ila watawala hawapendi kusikia hoja hizo...

Hivi ni nani aishie Dar asiyejua adha na historia ya Jangwani? Wajenzi na washauri wa wajenzi ndio waliotoa ushauri UDART ijengwe pale mtoni?
 
Nafikiri magari ya kwenda Kaskazini kituo kipelekwe kule Tegeta dawasco na mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi kipelekwe Kibaha. Then magari ya kusini yabakie Temeke
Kwann yasiwe KIBAHA kwa mabusi yote?au unaishi TEGETA MKUU ..iwe rahisi kufika stand?
 
Wachanganye maana naona mengi ya Kaskazini yanapita Tegeta na Yamikoa mingine yanapita kibaha
Wanapita kukwepa FOLENI YA KIBAMBA,,,na mbezi,,,,lakini wenyeji wngi was kaskazini wanaishi KIMARA,,MBZ...MLANDIZI nk...nadhani wangeihamisha vile vile na huduma zake...wakiyagawa mabasi watasumbuwa watu wengi s
 
Inahamia wapi tena,isije ikawa Kibaha!,mi hata ile stendi ya Mwanza kule Nyegezi huwa naona ni mbali from town,sasa hii Ubungo tu inahama!
Wamekusikia watakihamishia hapo mlangoni kwako. Nimepamiss Vwawa.
 
Wahamie dodoma,sini ofisi ya serikali?hapa dar wapange popote panapo wafaa
 
Je jangwani patabomolewa?? VERY POOR PLANNING!
Na pia daraja la wavuka kwa miguu pale Ubungo bus terminal litakuwa linatumika kwa madereva ma staff wa udart kuvuka??
Tetesi za stendi kuhamia Mbezi ni za muda sasa, labla hata mwendokasi haujakamilika, sielewi kwa nini waliweka lile daraja uelekeo wa ndani ya syendi ya mkoa. Pesa hiyo ingejenga zahanati mahali kuliko ilivyotupwa pale maana ni wazi upande huo wa daraja hautakuwa na tija.
 
Back
Top Bottom