Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Si kama mkubwa anavyosema mimi ni rais wa wanyonge.kwa picha za kuvutia hatujambo ila njoo kwenye uhalisia sasa
Acha uoga wa maisha wewe!Inahamia wapi tena,isije ikawa Kibaha!,mi hata ile stendi ya Mwanza kule Nyegezi huwa naona ni mbali from town,sasa hii Ubungo tu inahama!
Ujenzi wa karakana ya UDART ilikuwa kupoteza fedha bure.Mwanadamu sio Mungu ni jambo jema kuhamishia kituo cha mwendokasi ubungo ili stendi ya ubungo iende mbezi luis
Si kwa JANGWANI,labda kama hayo mambo yangetokea UBUNGO sawa.Unaweza kujenga kitu sehemu sahihi lakin natural calamities huwez kuzikwepa kama ikitokea zikaja tofaut hata huko ma mbele wanahangaika na haya majanga
Yaani kodi zetu zinapiga chenga kuliko siye wenye mpira...maamuzi Yao gharama kwetu mara mia...
Bado ni upotevu wa kodi zetuhuo mradi waUDART ndo utafute eneo jipya kwani hamkujua mnajenga bwawani
Mbona ubungo na Temeke naenda! Yani kibaa inishinde kwa kwanini.Unaweza kwenda kibaha wewe au unaongea tuu,tegeta Unaweza
Hasara ya kujitakia. Waliambiwa kuwa eneo la Jangwani ni hatari
Umeona eeh. Halafu walipiga marufuku watu kujenga wala Kuishi maeneo hayo wakayaita hatarishi.
Wanachezea pesa zetu sana halafu zisipoonekana kwenye hesabu za CAG wanakuwa wakali wanadai zipo. Zitakuwepo vipi kwa kuchezewa huko
bado na ukuta wa Mererani wamechezea pesa yetu. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
🙂🙂..whiterose unaongea sana ujue...
Umeanza kuogopa Dina bwana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwann yasiwe KIBAHA kwa mabusi yote?au unaishi TEGETA MKUU ..iwe rahisi kufika stand?Nafikiri magari ya kwenda Kaskazini kituo kipelekwe kule Tegeta dawasco na mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi kipelekwe Kibaha. Then magari ya kusini yabakie Temeke
Wachanganye maana naona mengi ya Kaskazini yanapita Tegeta na Yamikoa mingine yanapita kibahaKwann yasiwe KIBAHA kwa mabusi yote?au unaishi TEGETA MKUU ..iwe rahisi kufika stand?
Wanapita kukwepa FOLENI YA KIBAMBA,,,na mbezi,,,,lakini wenyeji wngi was kaskazini wanaishi KIMARA,,MBZ...MLANDIZI nk...nadhani wangeihamisha vile vile na huduma zake...wakiyagawa mabasi watasumbuwa watu wengi sWachanganye maana naona mengi ya Kaskazini yanapita Tegeta na Yamikoa mingine yanapita kibaha
Wamekusikia watakihamishia hapo mlangoni kwako. Nimepamiss Vwawa.Inahamia wapi tena,isije ikawa Kibaha!,mi hata ile stendi ya Mwanza kule Nyegezi huwa naona ni mbali from town,sasa hii Ubungo tu inahama!