Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi namna hiyoHivi unajua ardhi ya Tanzania, ni mali ya serikali, na mwananchi ni mpangaji, hivyo ardhi ikihitajila kwa matumizi ya umma serikali huichukua, sema kikwazo kingine ila siyo swala la pale ni kwa mtu.
Wanasema kuna soko limejengwa kule wanataka lichangamke.Kumbe ni la my binafsi na siyo serikali.
Sasa si ni heri wangeenda kujenga stendi kongowe Kuna nafasi kuliko kijichi ushuani kule kumebana?
Yah,Ni stendi nzuri sn ila Kama kigezo Ni ili kuchamgamke mbona ni balaa,kule kumekaa kushoto banaWanasema kuna soko limejengwa kule wanataka lichangamke.
Yeah.Mbona kama Kijichi kumekaa kushoto sana?? Kwani si kule karibu na MGENI NANI??
Barabara nimehisi ni nyembamba ingawa ni barabara nzuri, na hata ile stendi ni nzuri ukilinganisha na Rangi 3. Wametoboa nyie nyingine ya kutokea Kongowe au mabasi yatalazimika kurudi ya Zakhem ili yaanze safari rasmi ya mikoa ya kusini??
Ni pachafu sana, miaka nenda rudi hawakufanya maboresho.Hata mie jana nimeshangaa mtu mmoja ananiambia naenda kupandia gari za mtwara kijichi nikashituka kijichi? Na vinjia vyao vyembamba vile mmm, ila rangi 3 niliwahi sikia ni eneo la mtu bifsi baada ya kuuliza kwanini pale hapatengenezwi mvua zikinyesha ni kama shamba la mpunga kule Mbeya!
Stend ya kijichi ndo Ile ya mbagala kuuStendi ya kijichi ni kubwa na hakuna magari japo sipati picha zile barabara zilivyo nyembamba na zenye kona mabasi yatapitaje.
Kama ndo kule mbagala kuu wamefeli sana aiseeMbona kama Kijichi kumekaa kushoto sana?? Kwani si kule karibu na MGENI NANI??
Barabara nyembamba lakin je idadi ya magari kwa dk,traffic ,jam ikoje?Stendi ya kijichi ni kubwa na hakuna magari japo sipati picha zile barabara zilivyo nyembamba na zenye kona mabasi yatapitaje.
Let's assume ni kweli, je kwa nini serikali isiwalipe fidia na kuchukua hilo eneo liwe for public use? Hii nchi ngumu sana, hapo kuna mwenyekiti wa mtaa, kuna diwani, kuna mbunge nk but jambo linafanyika bila kutaarifu umma kwamba serikali ina mpango wa kuhamisha stend from A to Z kwa sababu Y and W... Yaani ni full dharau kwa wananchi wao.
Lile eneo ni la mtu binafsi mkuu kuna wakati nilikiwa naelekea kununua gesi mtwara nilipofika pale stendi ilikuwa kipindi cha mvua nikakutana na visima vya maji, kuuliza ndipo nikaambiwa 'ili ni eneo la mtu that's why hakuna marekebisho'.kuna mtu atapewa hilo eneo la stand ya zamani soon