18 October 2022
ABIRIA wa MBAGALA WAILILIA SERIKALI, BAADA ya STENDI ya MAGARI KUSINI KUHAMISHIWA KIJICHI..
Abiria mbali mbali katika stendi ya mabasi ya Mbagala rangi tatu jijini Dar es Salaam wametoa kero yao mara baada ya leo asubuhi kukosa usafiri wa magari ya kwenda kusini na kudai kuambiwa waende eneo jipya lilopo Kijichi ambapo wakiongea na Global tv wamedai imewapa usumbufu mkubwa na kuomba serikali iwasogezee muda ili waweze kujipanga kwa hilo
Source : Global TV online