Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

Wasomi wa hii Nchi wanachekesha Sana kwakweli
 

Yaan ni kero kwa sisi watumiaji wa hii barabara ya Kijichi kwanza barabara ni ndogo kupitisha magari makubwa ya mikoani! Magari yanapishana kwa shida sana
 
Kama ni kijichi niliyofika mimi.

Basi hapo wamechemsha.

Wangeipeleka hata Kongowe huko.
 
Kesho nitaenda kucheki hyo sehemu Kisha tuongea na mkuu wa mkoa[emoji16][emoji38]
 
KIJICHI. Dar es salaam ( DRONE SHOTS)


Source : director black fish tz
 
Ni njia ya kutanua miji na kusambaza maendeleo.

Rangi Tatu palikuwa pori la nguchiro miaka ya 80. Kijichi napo patakuwa population center miaka ya mbele.

Tusiwe kama Nehemia Mchechu anaedhani Tanzania ni Upanga na Sea View na kazi ya NHC ni kujenga Upanga na Sea View.
 
Hivi unajua ardhi ya Tanzania, ni mali ya serikali, na mwananchi ni mpangaji, hivyo ardhi ikihitajila kwa matumizi ya umma serikali huichukua, sema kikwazo kingine ila siyo swala la pale ni kwa mtu.
Matumizi ya umma ni lazima umma ndio uwe unahitaji hilo jambo na sio kiongozi kufikiri kuwa hiki ni kwa matumizi ya umma. Ikiwa kweli ni matumizi ya umma, lazima eneo litwaliwe kwa kuzingatia sheria, LIPA FIDIA kwa wenye eneo - SISI ENTERPRISE v ATTORNEY GENERAL OF TANZANIA

Usipofanya hivyo unakuwa JPM
 
Frem za laki kwa siku pale Rangi3 zitashuka mpaka 10k kwa siku
 
Hamahama ya stendi kwa kisingizio cha kupanua mji ni kuwatesa wananchi pasiposababu na hasa inapotokea mafuta yamepanda bei wanalazimika kutumia zaidi ya budget ambayo kimsingi ipo fixed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…