Lile eneo ni la mtu binafsi mkuu kuna wakati nilikiwa naelekea kununua gesi mtwara nilipofika pale stendi ilikuwa kipindi cha mvua nikakutana na visima vya maji, kuuliza ndipo nikaambiwa 'ili ni eneo la mtu that's why hakuna marekebisho'.
Labda serikali imlipe mwenye eneo ili wakarabati, but taarifa ya serikali ilishatoka kuwa pale si mali ya mtu binafsi.