Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Nishajaribu hii kitu ila napata challenge kubwa mzigo ukiagiza unachukua muda mrefu kufika hadi inaboa sometimes had zaidi ya siku 50
i will be explaining this too kupitia blog, njia zote za kusafirisha mizigo haswahaswa kwa posta, kuna post nyingi sana zinazokuja tanzania, chinapost na hongkong post ndo zinazotumika sana kwa mizigo ya china, kuna postNL singaporePost, Swiss post, turkey post, sweden post na zingine kibao, nimezitumia karibia zote, ntaelezea which is the fastest niliyo expirience mimi, nina supplier mmoja nikiagiza leo naenda chukua posta baada ya siku 6. I might just give a link kwa huyo supplier kwenye blog, ntakua naendelea ku update na humu pia.
 
Michael Mkwanzania
Nilikuwa na wazo kama hili sema kwa career tofauti,
ila kupitia uzi wako umeniongezea madini na kunirahisishia kazi, Ahsante sana
 
Ebana ee srry mkuu naomba unipatie contact zako nikutafute tuyajenge vizuri....
 
Mkuu Michael Mkwanzania, heshima kwako kaka.

Mie nina shida binafsi ndugu. To observe privacy, ninaomba uniruhusu nikufuate PM tuzungumze.
 
Kwa mara ya Kwanza toka nianze kutumia mtandao wa Jf nimeshare post ahsante kwa kutufumbua macho sisi ambao hatuna talents za biashara!
 
Ushauri muruwa, shida yetu waswahili ni moja, ukianzisha biashara ya vitumbua mtaa mzima watauza vitumbua, hapo mtoa mada kazungumzia smart watch, basi kila mtu atameza nzima nzima bila kufanya analysis ya bidhaa gani afanyie biashara kulingana na eneo alipo.
 
Jamaaa ndio maana kaweka kapuni biashara nyingine waweza kisa cha wanawake katika kitabu cha Nguzo mama kikajirudia na hapa tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…