Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Hongera sana, nakupongeza sana kwa ubunifu na bidii
 
Je dhl sio nzuri,??
Nikiamua kutumia je hio.inakuwaje
 
Nmefunguka...ngoja sasa...wazo la smart watch nilikuwa nalo, ila naona competition is very high, zimeshazagaa vyakutosha...
 
Thread yako Ni nzuri Na idea kwa ujumla but the resultant /output sio kabisa,Hasa upande wa customers ,frankly if you will need to buy and sell smart watch ,there is a need to be more than careful,smart watch hizi tena brand za kichina Ni za ovyo Sana Na kwa Mtu mwelewa hawezi nunua smart watch ambayo Una charge kila baada ya masaa mawili ,

Mbaya zaidi Hazina thamani yeyote kwa matumizi,Ni luxury ambayo Ni abstract .you can't feel it at all.brand Kama sa Apple Na sums sang afadhali Ila Sio hizi za India Na China.

Hivyo kwa laki moja bado Ni pesa ndogo Na kumbuka kadri watu wanavyozidi pata hizi smart phone ndo wateja wanazidi pungua kwakua matatizo yake yanakua exposed.
 

Ahsante, you have made your point.
Ila umeweka point yako from perspective kua nashauri watu waingie kwenye soko la smartwatch, sijamwambia mtu hata mmoja hivyo, smartwatch ilikua mfano kuonesha faida na mahesabu ya jinsi ya kufika target ya mtu kwa mwezi.
Although kuna smartwatch za kichina zinakaa na charge, watu wanatumia mwaka na kuendelea sahivi, zina value kwa watao hitaji, usijiangalie wewe hata siku moja, sio kila mtu ana USD 300 -500 (laki 7 - milioni moja laki mbili) kununua apple watch, wengine wanataka ku expirience smartwatch bila kutoa milioni.

Also angalia mfano wa biashara nnayo ifanya mimi niliyoamua kuionesha, then tolea point from perspective hiyo. ahsante
 
 
Kwa mfano wakuu mimi huwa naagizia bidhaa kupitia eBay na Amazon hiyo option ya kuniletea kwa njia ya posta ipo? Amazon mara nyingi huwa hawa ship kuja Tanzania, ninachofanya kutumia maagents kama comgateway ambao gharama zao ni kubwa na huwa wanatumia FEDEX au DHL, Je kuna njia mbadala na yenye unafuu zaidi ya hii ninayoitumia???
 

Great,nlijaribu tu hapo nlipo pa experience.the other side of your business is good ingawa inahitaji large capital and an office plus a storage facility
 
For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?

Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?

Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?

Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…