Hamna cha free iyo ndo garamaFor the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?
Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?
Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?
Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.
-Kaveli-
Haha janja janja hiyo..atapigaje pesa unafikiri..For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?
Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?
Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?
Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.
-Kaveli-
Hamna cha free iyo ndo garama
Habari nzuri kama hii husomwa na wachache,huchangiwa na wachache Zaidi hutekelezwa na tone la hao wachache.Ahsante mkuu,hii ni sadaka umetoa na MUNGU akulipe Zaidi ya ulivyotoa sawa sawa na ahadi zake.Umepanda mbegu moja na izae mia.mkuu Embu weka Utaratibu Mzuri kidogo kwa kuwaambia wandugu kampuni ambayo unaitumia kuagizia Mzigo nadhani hapo utakuwa umewasaidia wengi sana.
Pia nikupongeze sana kwa kuwa amsha watu kutoka usingizini na kuona mtaji wa laki 1 kumbe unaweza kufanya kitu.
Haha janja janja hiyo..atapigaje pesa unafikiri..
Unataka kila kitu upate bure tu??For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?
Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?
Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?
Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.
-Kaveli-
For the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?
Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?
Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?
Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.
-Kaveli-
Unataka kila kitu upate bure tu??
Replied..Mkuu hujanijibu Pm yangu niliyokutumia. Kindly check it out.
Many thanks
Peanut butter making machines
Hahahaa Mkuu, hii ndo 'bongo darsilama' ... mji ambao mwenye elimu ya masters degree 'anapigwa' na mtu aliefeli form twu. Mji ambao penye 'NO'... wajanja wanaweka 'YES'.
Mji ambao kila Bus linalotema Ubungo, robo tatu ya 'wakuja' hawarudi bush. This is why 'wajinga wajinga' huwa hawaishi kwenye hili jiji la lawama.
Am sure kwa siredi hii pekee, mleta mada kapiga pesa nzuri tu kwenye hiyo blog yake.
The primary center of attention ya mleta mada ni: To make money online. He's in his fast lane to chase for online money. Mtaji ni Akili na Internet package tu. lol. And surely the guy sounds being well 'strategic' towards such 'online money'... if yu know wat am seyin'.
Mie nilipoona tu mambo ya 'refer to my blog for habari kamili'... nikasema yale yaleee. Fasta nikaquit the thread nikaenda zangu jukwaa la siasa 'kuburudika' na kabobo za faru John.
-Kaveli-
haha una hasira na maisha rafiki angu.. ngoja nile kwanza ntarudi.. ila unajua sana unayoongea..
Kwa mfano wakuu mimi huwa naagizia bidhaa kupitia eBay na Amazon hiyo option ya kuniletea kwa njia ya posta ipo? Amazon mara nyingi huwa hawa ship kuja Tanzania, ninachofanya kutumia maagents kama comgateway ambao gharama zao ni kubwa na huwa wanatumia FEDEX au DHL, Je kuna njia mbadala na yenye unafuu zaidi ya hii ninayoitumia???
Hili sio tangazo na hatuja pata mteja hata mmoja kutoka kwenye hii post.Kama kuna gharama, kwanini asiweke wazi? ama wasomaji kujaza email address zao kwenye blog yake ndiyo gharama yenyewe?
Unajua maana halisi ya neno 'bure'? Nimetumia bundle kusoma hili 'tangazo' la biashara yake. Ofkoz hizo SAA za ukutani ni nzuri, and hopefully kapata wateja wengi tu hapa.
Ila nadhani nayeye asipende vya bure... alitakiwa kulipia hili tangazo lake la bizna.
-Kaveli-
DHL ni kama unataka vitu viwahi, au kwa vitu ambavyo vinaweza kuvunjika kwenye kusafirisha au kwa mizigo mikubwa pia, wapo vizuri sana ila gharama zao zipo juu.Je dhl sio nzuri,??
Nikiamua kutumia je hio.inakuwaje
Great,nlijaribu tu hapo nlipo pa experience.the other side of your business is good ingawa inahitaji large capital and an office plus a storage facility
Mkuu waweza list japo kwa uchache bidhaa kadhaa ambozo mtu anaweza kuagiza kwa njia hiyo unayotumia?Inategemea ni ngapi unaagiza, ni kubwa saa ila packaging yake ni ndogo, 50 pieces can easily fit in a corner. Also kama nilivyosema kwenye post, these methods ni kwa ambaye anataka kupunguza stress za hela, siyo kuwa tajiri wa mamilioni mia na kadhaa, so mtaji mdogo tu unawekeza kila mwezi, piece chache unazoweza kumaliza, as soon as zinaisha unaagiza zingine ili kuuza mwezi unaofuatia. Inaenda na timing pia. Hiyo ni kukujibu tu pia, sishauri mtu afanye kama biashara hii nnayofanya, elewa and apply it kwenye bidhaa nyingine.