Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Mkuu inachukua siku ngapi za kupata mzigo.
Mzigo ukizingua wapi pa kulalamika.
Unawezaje kukwepa mikono ya matapeli.
Then hizi bei huku ziko fixed? Maana naona maye 9 kwa laki na ushehe...... Napata was was
 
Uzi huu uzi,ni maneno we have done it lakini ingharimu ni afadhali uje na uzi mwingine,kwa MTU ambaye Bado haso huko kwa mawazo ya uzi uu atoona uko poa,lakini ushauri wangu nivema sana Yukawa wabunifu wa ndani kwa kutumia fursa za ndani
 
Naomba niulize swali. Ukiagiza hizi bidhaa nje. Vipi kuhusu tax na gharama ya usafirishaji
 
Naomba niulize swali. Ukiagiza hizi bidhaa nje. Vipi kuhusu tax na gharama ya usafirishaji
Vipi kuhusu tax?
- Inategemeana na bidhaa husika, kuna baadhi ya bidhaa hazina kodi na zingine zina kodi
- Iwapo itatokea kulipa kodi, basi hufikia asilimia 48 hadi 60 ya ghalama ya kununulia.
- Kuhusu kodi pitia hii thread kuna mfano hai: >> Kukatwa kodi kwa mizigo <<

gharama ya usafirishaji
- Inategemea ni njia ipi umechagua
- Kuna njia ya haraka na ambayo si ya haraka

- Njia ya haraka mzigo utakufikia ndani ya siku 4 - 9 tangu ulipia - Njia hii ghalama yake ni kubwa, na makampuni kama DHL, FEDEX, UPS au EMS(posta) ndio whutumika kukusafirishi mzigo, Mfano kwa mzigo wa 1.6Kg utatakiwa ulipie kati ya USD 50.74 - 70 kuusafirisha.

- Njia ambayo si yaharaka - Huchukua muda mrefu, kati ya siku 14 - 45, kutegemea mzigo umetoka wapi, Ghalama yake ni ndogo ya kusafirishia, Mfano kwa mzigo wa 1.6kg waweza kuulipia USD 10 au chini ya hapo, na wakati mwingine unapata FREE SHIPPING, Kwa njia hii mizigo hufikia posta (Kwenye sanduku lako - S.L.P)
Makadilio ya muda gani mzigo utachukua kukufikia pitaia hii thread: >> Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase) <<

Je hujapata uzoefu na unahitaji kuagiziwa/ kusafirishiwa mzigo wako?
- Kama jibu ni ndio basi pitia hii thread: www.v.ht/buy4me
 
Watu kama nyie ndo nawahitaji........Asante sana.......nataman hata ungekua ndugu yangu lol[emoji8]
Mimi pia ni mjasiliamal but sijafika as far as u did...... Ni matumaini yangu siku1 nitafika hapo.
If you don't mind tunaweza wasiliana ili unishaur ving zaid...... georgependo754@gmail.com please!!!
 
Watu kama nyie ndo nawahitaji........Asante sana.......nataman hata ungekua ndugu yangu lol[emoji8]
Mimi pia ni mjasiliamal but sijafika as far as u did...... Ni matumaini yangu siku1 nitafika hapo.
If you don't mind tunaweza wasiliana ili unishaur ving zaid...... georgependo754@gmail.com please!!!
 
Sawa kapiga ela baada ya kufungua blog yake na wewe si umepata kitu hapo au hupendi watu wapige pesa? au ujui kuwa hata kuingia humu jamiiforums watu wanapiga pesa? Tusijifanye tunaijua dar kuliko wazaramu.
Ni ujinga.
Siri ya kufanikiwa ni pamoja na kusapoti kile anachofanya mwenzio.


Mpita njia na Porojo za Mtaani
 
Heri kupata umaskini wa hela kuliko umaskini wa akili.

Asamehewe maana haelewi maana halisi ya mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…