Hapana,na je kazi kama hii si itakuwa lazima uwe unaishi dar au??
Zipo njia salama za kufanikisha malipo mtandaoni kiusalama zaidi.Usalama wa pesa ukoje hapo
Hapo sawa... nilidhani upo serious kwamba kinakuuma kweli jamaa kupiga hela kwa njia hiiRelax Mkuu... I don't take Life too serious coz it ain't permanent.
Chill and keep ballin'. Stay focused... it's all about makin' more papers. hahaha.
Endeleza harakati kiongozi. Mie nilichomekea tu mkuu.
-Kaveli-
Nawewe ni member humu? Kweli jf kuna watu majanga....Uzi huu uzi,ni maneno we have done it lakini ingharimu ni afadhali uje na uzi mwingine,kwa MTU ambaye Bado haso huko kwa mawazo ya uzi uu atoona uko poa,lakini ushauri wangu nivema sana Yukawa wabunifu wa ndani kwa kutumia fursa za ndani
Hahahaa Mkuu, hii ndo 'bongo darsilama' ... mji ambao mwenye elimu ya masters degree 'anapigwa' na mtu aliefeli form twu. Mji ambao penye 'NO'... wajanja wanaweka 'YES'.
Mji ambao kila Bus linalotema Ubungo, robo tatu ya 'wakuja' hawarudi bush. This is why 'wajinga wajinga' huwa hawaishi kwenye hili jiji la lawama.
Am sure kwa siredi hii pekee, mleta mada kapiga pesa nzuri tu kwenye hiyo blog yake.
The primary center of attention ya mleta mada ni: To make money online. He's in his fast lane to chase for online money. Mtaji ni Akili na Internet package tu. lol. And surely the guy sounds being well 'strategic' towards such 'online money'... if yu know wat am seyin'.
Mie nilipoona tu mambo ya 'refer to my blog for habari kamili'... nikasema yale yaleee. Fasta nikaquit the thread nikaenda zangu jukwaa la siasa 'kuburudika' na kabobo za faru John.
-Kaveli-
KATIKA WAPUMBAVU NA MALOFA NILIOWAONA HUMU JF BHAS WW NI NAMBA UNAMUONEA WIVU MTOA UZI MIJITU KM WW BHANA NDO MAANA HAMUENDELEI KWA ROHO MBAYA ZENUFor the whole presentation, WHY unatu-refer to your blog? and WHY tuweke email address therein?
Umeanzisha uzi wewe mwenyewe hapa JF. Why then una-refer wasomaji to your blog for the next episode of your narration? and why do you necessitate wasomaji wafill-in email address zao?
Kama kweli una nia ya dhati to share and spread such knowledge to JF community, why usikamilishe mpango mzima hapa hapa JF?
Michael Mkwanzania, acha kuwa mtu wa 'nusu nusu'. Acha usanii.
-Kaveli-
KATIKA WAPUMBAVU NA MALOFA NILIOWAONA HUMU JF BHAS WW NI NAMBA UNAMUONEA WIVU MTOA UZI MIJITU KM WW BHANA NDO MAANA HAMUENDELEI KWA ROHO MBAYA ZENU
OVA
Pole mkuu kwa kukumbatia ujinga!
Jamaa katoa Maelezo yameeleweka kwa mtu anaye jua biashara ya online hana swali,
Sasa mnataka jamaa ashinde anawajibu ninyi aache kazi zake?
Kwa alicho kifanya ni utu kweli kwani wangapi humu tunafanya hizi business na hatuja wapa watu elimu , hatupendi kero za watu kama ninyi.
Mjinga mwache na ujinga wake kila kitu anaibiwa ! Huna pesa sasa unaibiwa nini?
Nikiingia eBay na kuchagua bidhaa naona wameshanitajia na shipping agent FedEx, je ni mnunuzi anataja shipping agent au ni suppliers? Na je kuna namna ya mimi kupendekeza my favourite shipping agent??
Hapo sawa... nilidhani upo serious kwamba kinakuuma kweli jamaa kupiga hela kwa njia hii
1. Kitu ushakuwa well familiar nacho and experienced. Na unadai kuwa umeamua 'kushea' na watu wengine waelewe. Good motive. But why uanzishe kitu na ukiache nusu bila kukimalizia?
2. Sasa kama hatoi clarifications wala hana muda wa kujibu maswali ya anaowafundisha, then why alianzisha thread hii?
3. Eti kwa nyie mnaolewa online business hamna swali. Mkuu wewe kweli ni fala kama sio akili mgando. Nikuulize: unadhani hii thread... direct beneficiaries (target group) ni nyie 'mnaojua' online business? ama ni wale wasiofahamu online business? Jibu hili swali afu ujione ulivo mtupu kichwani.
4. Kwahiyo asiyekuwa na hela huwa haibiwi?
-Kaveli-
Ebay wauzaji wengi wao ni watu wa kawaida tu kama mimi na wewe au ni middlemen, sio suppliers, so hawa weki option za shipping nyingi hadi uwaulize.... Ukiona bidhaa unahitaji kutoka ebay na shipping ni kubwa mtumie message muuzaji umwambie shipping gani unataka na kama ataweza kufuatilia gharama zake kutuma, muulize pia kama ana option nyingine ya shipping kama unayoitaka wewe haipo.....Nikiingia eBay na kuchagua bidhaa naona wameshanitajia na shipping agent FedEx, je ni mnunuzi anataja shipping agent au ni suppliers? Na je kuna namna ya mimi kupendekeza my favourite shipping agent??
Tatizo ni kwamba kwa mfano Hawa made in China au global source wao ukirequest kitu wanakuunganisha na ma supplier wa hivyo vitu direct zen wao wanakutumia bidhaa walizonazo kwenye email direct na mode of payment Yao moja wapo ni bank account kwa swift code, je kwa mfano umelipa kwa bank afu jamaa wakazingua unapataje pesa yako? Kwa eBay wao wako poa coz jamaa akizingua wanarefund pesa yote
Ngoja nikujibu nitoe na update hapa pia
Email ni kwa ajili ya updates, maelezo kama haya siyo kila mtu atataka so ngoja nikuoneshe maelezo ambayo nitakua natuma kwa watu walioweka email.
Update:
kwenye hii post Nimeziandika step zote as promised "soma title na angalia kama thread haija deliver" nikasema kuwa ataependa kujifunza zaidi aingie kwenye blog, siyo kila mtu, kama imetosha hapo unaweza ukaishia hapo. these are facts.
watu walioingia kwenye blog wamekuta sehemu ya kuacha maoni yao ya nini wanataka kujifunza zaidi ili kuweza kufanya biashara kama hivi, wametoa maoni ya jinsi gani wanataka nitoe mafunzo, wengi wamesema kwa PDF na video. Mimi na collect information, sijui kila kitu. nilikua nawaza nitengeneza course kwenye CD wakati it was the least wanted way kwa watu wanavyotaka kupata information. (below are the results)
And ofcourse i was going kuwekea price tag course nzima, im using up my time and also ku filter watu kama nnaemjibu hapa, ambao wamekuja kuvunja watu moyo tu. Niliuliza pia kwenye blog kama wanaweza kulipia watalipa bei gani na majibu nimepokea range kutoka 5,000 hadi 100,000. Nilichojifunza ni wengi sana wanataka wajue jinsi gani wanaweza kuanza lakini hawana mtaji hata kidogo, so hiyo pia imenibadilisha mawazo.
PDF nliyokua naandika yenye page zaidi ya 30 na (ndiyo maana sijajibu watu wengi sana) majibu yote yatakuepo kwenye PDF hii, nilitaka nii package niuze lakini baada ya results nikaona nitoe bure ili watu waanze, wakishaanza kupata faida ndo waje wapate advanced course, sifichi kitu, so by tarehe 13-14 ntatoa PDF bure yenye maelezo yote ya jinsi gani kuanza na biashara hizi, yenye majibu ya 99% ya maswali yaliyouliza hapa. download link itakuepo kwenye blog, na ntawatumia kwanza KWENYE EMAIL.
Baada ya hapo kutakua na private course kwa VIDEO na PDF's, na maelezo ziada kwa watao taka kulipa (very optional) hii itakua ni advanced zaidi kwa kuwa nitacho kua nafundisha kama mtu hana mtaji hata kidogo hatoweza, inahitaji investment kidogo kama website, advertising costs na kadhalika ili kuuza kwa haraka zaidi na kuvuka mipaka kuuza hadi nje ya nchi. watu wachache tu ntawapa mda wangu kwa kipindi cha mwezi mzima watanipata mda wowote kwa email, simu na facebook tukiwa tunapitia wote hii course na kujibu kila kitu, kama this extra knowledge is worth it wataotaka watalipia. tutatengeneza group pia la facebook (au whatsapp) na kujenga business partnerships tukiwa tunafundishana kuepuka vikwazo na jinsi ya kutatua matatizo na kufanikiwa pamoja hii itakua ni exclusive group kwa baadhi ya watu, wengi wao nishawaona kutokana na majibu waliyoweka kwenye survey iliyokuepo kwenye blog.
So far sijamlipisha mtu kitu chochote.
Also just as an addition nitaandika thread nyingine very soon yenye maelezo marefu na kuonyesha product nyingine ninayoifanyia kazi zaidi ya mwaka inaingiza faida, this will be the last time na reveal any business ambayo nafanya kwa maana hujui ni nani anaesoma, i just hope ita inspire watu wachache waanze kujisukuma na kufanya biashara sasahivi.
Also hakuna whatsapp group in the mean time kwa wanaonicheki na kuuliza.
Ahsante
Im an open book.