Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Nimekutana na hayo mapicha picha ya mzigo wa 40$ alaf shipping cost 135$.
Nimemdirect seller atume kwa maagents wa Tanzania waulete
Alibaba wanauza jumla mzigo wanaupakia kwnye container la futi 20 au 40 yani min order kwanzia piece 1000 kwa rejareja nao wanauza sema ndo hivyo wanatuma kw dhl ndo mana gharama inakuwa kubwa
 
Uzi mzuri. Gharama ya kusafirisha mzigo wa kama gram 700 ni kama kiasi gani?
 
Kaapfo Mboro
Ushauri muruwa, shida yetu waswahili ni moja, ukianzisha biashara ya vitumbua mtaa mzima watauza vitumbua, hapo mtoa mada kazungumzia smart watch, basi kila mtu atameza nzima nzima bila kufanya analysis ya bidhaa gani afanyie biashara kulingana na eneo alipo.
 
Back
Top Bottom