Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Subscribed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up, watu hadi leo wakisoma wanaona kitu alafu kuna kubwazima hapo juu linaleta upuuzi wake.Subscribed
Ulifikia wapi mkuu
Kwani wewe umefikia wapiUlifikia wapi mkuu
Usafiri ni ishu asee
Nimekutana na hayo mapicha picha ya mzigo wa 40$ alaf shipping cost 135$.Kwani wewe umefikia wapi
Alibaba wanauza jumla mzigo wanaupakia kwnye container la futi 20 au 40 yani min order kwanzia piece 1000 kwa rejareja nao wanauza sema ndo hivyo wanatuma kw dhl ndo mana gharama inakuwa kubwaNimekutana na hayo mapicha picha ya mzigo wa 40$ alaf shipping cost 135$.
Nimemdirect seller atume kwa maagents wa Tanzania waulete
Amekamatwa tayarihuyu jamaa mwenye huu uzi alienda wapi?
na nani?Amekamatwa tayari
Kamati ya roho mbayana nani?
Ushauri muruwa, shida yetu waswahili ni moja, ukianzisha biashara ya vitumbua mtaa mzima watauza vitumbua, hapo mtoa mada kazungumzia smart watch, basi kila mtu atameza nzima nzima bila kufanya analysis ya bidhaa gani afanyie biashara kulingana na eneo alipo.
Utakufa maskini always negative, kwahali hii watu makini watazidi kuima JF.