Hakuna sababu inayoeleweka ya kufanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aachie ulimwengu ambao haumthibitishi yeye kwa dhahiri kiasi cha watu kutaabikasana na dini elfu kwa elfu wakimtafuta.
Sawa. Hakuna sababu inayoeleweka kwa uelewa wako. Hilo sikatai.
Mungu akiwa hivyo, atakuwa anafanya utani wa kikatili sana kwa viumbe wake dhaifu.
Hiyo nayo ni tafsiri yako, kwamba, akiwa hivyo atakuwa anafanya utani wa kikatili.
Kwa upande mwingine, katikaulimwengu ambao Mungu hayupo, Mungu kuwepo kwake kutoweza kujulinkana ni kitu kisicho cha ajabu.
Kwa sababu hata uchunguze vipi, mtu anaweza kukwambia tu"Mungu yupo, ilawewe hujamtafuta vya kutosha".
Huyo mtu akikwambia hivyo, tukisadiki kwamba yeye anamjua, nawe si umwambie akuambie jinsi yeye alivyomtafuta hadi akampata!
Au kama vipi mwambie tu akuonyeshe alipo.
Kamahayupo, huwezi kujua kwa uhakikakwamba hayupo, kwa sababu hayupo.
Neno muhimu hapo ni ‘kama’.
Ni kama umwambie mtoto atafute pipi ambayo haipokwenye nyumba, hata apekue vipi haioni, na akiambiwa ipo, hajatafuta vya kutosha, hawezi kujua kwamba huo ni uongo nje ya nadharia na dhana, kwa sababu inawezekana yeye anatafuta chini ya mazulia, wakati pipi imesimikwa ukutani katikati ya ufa kwenye matofaliikafichwa na kabati zito.
Kama.....
Yani dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote naupendo wote kuumba ulimwengu huu kuna contradictions kibao tu.
Contradictions zinazoonesha hayupo.
That’s one way of looking at it.
Other ways are:
Labda yupo lakini hatumwelewi vizuri na ndo maana tunaona hivyo tuonavyo.
Au yupo lakini hayupo hivyo inavyodaiwa yupo, yaani mwenye sifa zote hizo.
Na ukisema hatuwezi kuthibitisha conclusively kwamba hayupo, naweza kukwambia hatuwezi kuthibitisha chochote conclusively if you really want to go with the nitty gritties.
Kwa hiyo unakubali kwamba hatuwezi kuthibitisha conclusively kuhusu uwepo wake, siyo?
Kwamba hata wewe huwezi kuthibitisha kwamba upo.
Oh no. Mimi naweza.
Nipo naandika hapa. Ninayo driver’s license, nina passport, nina SSN, naweza kuja ulipo na tukapata cuppa, cheti cha kuzaliwa ninacho, rekodi zangu kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu zipo.
Sasa siwezi vipi kuthibitisha kwamba nipo?
At somepoint a threshold must be drawn.
Ok, fine. But how can you do that with inconclusive evidence?
Descartes alisema "I think, therefore I exist".
Mtu anayetakakuwa skeptic hapo,anawezakusema Descartes anajuaje kwamba anafikiria yeye na yeye si simulation tu ya software inayomfanya ajisikie kamaanafikiria?
Mtu anaweza kuhoji chochote kile.
Ila kuna tofauti ya reasonable na unreasonable.
If someone is stuck too deep in stupid, there’s nothing that can be done to pull them out especially if they want to be stuck in there....