Hii ni hadithi isiyo na uthibitisho.
Thibitisha Mungu yupo.
Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.
Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.
Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"
James Kugel
How to Read the Bible
Hii ni falalcy.
Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"
Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.
Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.
Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.
Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.
Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.
A most ridiculous assertion.
Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.
Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.
Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.
Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.
Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.
Mkuu bado hujaniconvice
Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.
Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.
Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"
Kuanzia hapa unasema ,unasema biblia imeandikwa na watu its Ok nakubali sawa lakini je? hao unaowasema wanajua kuisoma biblia vizuri wanasoma sawa na mawzo aliyokuwa anataka kurepresent muandishi?,mfn wa hili ni katuni za masudi kipanya anaweza kuchora katuni yake na kila mtu akapata tafsiri yake lakini ni Kipanya pekee anaeweza kutoa tafriri sahihi ya mchoro wake,pia hatuwezi kukataa maana utakayotoa wewe binafsi maana inaweza ikawa na mantiki kwako so hao unaosema wanajua kuisoma biblia vizuri wakija na fact ya kwamba muandishi alikua anamaanisha wanachosema wao ndio nitaanza kuamini ila sio vinginevyo.Maana biblia hatusomi tuu kama gazeti tunasomwa kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu na ndio maana wahubiri huomba watumiwe kama chombo tuu wasiongeze wala kupunguza neno la Mungu
Hii ni falalcy.
Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"
Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.
Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.
Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.
Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.
Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.
Hapa sijaelewa tafiri yako naona kama umetoka nje ya maada ila sio mbaya naomba nikujibu kwa uelewa wangu jinsi nilivyokuelewa na jinsi nanavyomuelewa Mungu.
Kuna mambo Mungu anafanya ili jina lake litukuzwe mfn Ayubu aliumwa na vitu vyote alivyonavyo viliondoka kwake na hata mke wake akajaribu kumshauri amuache Mungu lakini Ayubu alikataa,lakini sio kwamba katika kipindi chote hcho Ayubu alichokua napitia Mungu alikua hamuoni hapana alitaka jina lake litukuzwe ndio maana mwishoni Mungu alimrudishia vyote Ayubu na akampa mara mbili zaidi,mfn mwingine ni Lazaro huyu jamaa kabla hajafa Yesu aliambiwa rafiki yako mkubwa Lazaro anaumwa laikini Yesu alipotezea kama hajasikia wala hajaona akaendelea na habari ya kupiga Gospel siku ya nne baada ya Lazaro kuzikwa ndipo Yesu anawaambia twendeni kaburini kwa Lazaro na Bwana Yesu alifanikiwa kumfufua Lazaro kutoka mautini,hii yote ni kwaajili ya sifa na utkufu wa Mungu.Sasa linapokuja swala la huyu bwanamdogo Hawkin nasema tena ni kwaajili ya sifa na utukufu wa Mungu maana anayempinga Mungu kwa fact zake nyingi ameshindwa kutumia hizo fact kujiponya au hata kujisaidia japo kutumia hiyo science aliyonayo kuapata furaha kama watu wengine yaani kutembea vizuri kuogelea,maisha yote ya Hawkin yalikua ni kushindia PC tuu.nadhani hata wewe ndugu yangu kiranga unaweza kufanya kitu endapo tutakuweka sehemu moja kama huyu jamaa nawewe unaweza kutoa fact zako ili umkatae Mungu lakini kwa kuwa Mungu alikufahamu toka before alikupa uwezo wakujudge,kuchukua hatua na kufanya mambo mengine.
A most ridiculous assertion.
Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.
Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.
Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.
Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.
Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.
Kama ningekua mwalimu ningekuchapa mbele ya darasa
Huwezi kuongea vitu kama hivyo ukiwa na akili timamu.Tunasoma Physics kuna watu wanaelewa Physics kuliko kawaida na kuna wengine hawaielewi kabisa lakini sijawahi kusikia wasioelewa Physics wanasema Force,Gravity na Gravitational force ni vitu ambavyo havipo.Yaani kutokuelewa kwako au kutokujua kwako au kutokutilia mkazo kwako juu ya mambo ya mungu kusikufanye useme Mungu hayupo au kitu fulani hakipo kwasababu mimi sijawahi kukiona huo utakua ni zaidi ya upumbavu,Kama nyie mnavyoamini katika Physics kwa kuassume sijui pressure ni zero au friction force is negligible ndivyo na sisi tunaamini katika Mungu kwamba Utajiri na heshima na vyote vinapatikana kwake.
BWANA KIRANGA USIKUBALI KUSHIKWA AKILI AMINI UNACHOKIFAHAMU NA MOYO WAKO UNACHOKIKUBALI SIO WATU WANAOJIONA WANAAKILI WAMEANDIKA HATA WEWE UNAWEZA KUANDIKA NA KUNA WATU WATAKUAMINI.
NB.Sio BIBLIA kwa maana tumetahadharishwa kwamba ni lazima Roho Mtakatifu akuongoze na Roho Mtakatifu sio mtu