Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Mimi sitafuti pa kutokea ila nahitaji ufafanuzi wa neno "ukweli" ambalo umelitumia katika swali lako la msingi kwa sababu maana uliyonipa ina mkanganyiko na inanifanya nisielewe swali lako ndiyo maana wewe unaamini suala la kuwepo kwa Mungu ni kweli wakati mimi naamini ni uongo!!....Naomba nipe maana ya neno ukweli ili niweze kujibu swali lako please!
Kaka katika utoaji wa maana ya tamko fulani umegawanyika katika sehemu kuu mbili :

1. Maana ya tamko kilugha,na hii ndio huwa imebeba uwanja mpana sana.

2. Maana ya tamko kwa fani husika,mfano wana kemia au watu wa kemia wana tafsiri maji kwa misingi ya fani yao.

Sasa niliposema juu ya tamko UKWELI ni ile maana ya kilugha ambayo ni pana zaidi,na kila jambo hutokea humo. Ndio maana nikasemaje,kama wewe unaipinga maana yangu kwanza ipinge kwa hoja zenye nguvu kisha nipe maana yako ya ukweli unavyoijua wewe,baada ya hapo ujibu swali nililo kuuliza.

Na mwisho nikakuuliza una amini kama Ukweli upo au pia huamini kama ukweli upo ?

Kwa mfano,nikikwambia wewe ni Behaviourist kama ulivyojiainisha kwetu na kweli ni wewe huu uitwa Ukweli au uongo ?

Tupende kuokoa muda bro....
 
Huku unapotumia muda mwingi ni matokeo tu bro. Una amini kuna Ukweli au huamini kwanza ?

Tusipoteze muda kwa jambo dogo kama hili. Hapa nataka uniambie wewe huwa unajuaje kama jambo fulani ni ukweli au kinyume chake. Mbona rahisi sana mzee.
Napoteza muda mwingi kutaka unipe maana ya neno "ukweli" kwa sababu msingi wa swali lako lote umelala hapo wakati mimi sijui maana ya neno hilo na maana uliyonipa awali imenipa mkanganyo zaidi!!
 
Napoteza muda mwingi kutaka unipe maana ya neno "ukweli" kwa sababu msingi wa swali lako lote umelala hapo wakati mimi sijui maana ya neno hilo!!

Kwa huu mwendo mimi na wewe tunaweza kuelewana.

Sasa nakupa kazi mzee,tafuta maana ya tamko "UKWELI" kwa mtu yeyote unae muamini na amekuzidi maarifa kisha uje uiweke hapa,halafu ujibu swali langu.

Zingatia : Swali langu nililokupa haliathiriwi na maana yoyote ile itakayo kuwa.

Hii ni ziada nakupa hapa,UONGO ni kinyume na hali halisi. Ukweli ni kinyume cha UONGO.

Nasubiri jibu.....
 
Hapo ndipo Behaviourist alishindwa ndio maana nikasisitiza asikae nyuma ya mgongo wa Kiranga, maana hata Kiranga mwenyewe fact zake zimebase kwenye theory za Hwakings ambazo hata yeye mwenyewe hawezi kuprove.

LAKINI KAMA KUNA KITABU KINASEMA MUNGU NI MJUZI MWENYE HURUMA MUELEWA MWENYE UPENDO MWENYE......................,
BASI SWALI KWANINI KUNA MAJANGA LIKE NATURAL DISASTER MAGONJWA MAUJI, VIFO UJINGA NK YATAKUWA YANAJIBIWA NA HIVYO VITABU VYENYEWE UKILAZIMA NJE YA HAPO HUWEZI PATA JIBU,
HUYO YESU HATUNA UHAKIKA KAMA ALIKUWE ZAIDI YA KUSOMA KWENYE VITABU TU NA HATA HIZO BIG BANG SIZANI HATA HUYO KIRANGA ANAWEZA DHIBITISHA UWEPO WAKE.
Vitabu vyenyewe vinaji contradict.

Hapa unaambiwa Mungu ana uweo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Pale unaambiwa, kuna watu fulani wabishi sana, hata msihangaike nao kuwahubiria habari za Mungu, Allah kawatia upofu macho yao, kawaziba masikio yao na mioyo yao kaifunga.

Hawa hata mfanye nini hawataelewa.

Sasa mtu unajiuliza.

Huyu Allah ana nguvu zote, maana yake akiziba hakuna w akufungua.

Kisha ana upendo wote.

Sasa kama ana upendo wote, kwa nini anawaziba watu wake wasimjue? Huku akijua kwamba akiwaziba hao ndiyo watoto wa mjini wanasema "ntolee".

Kibaya zaidi, Allah anasemahao ambao kawaziba wasimjue, na hawatamjua, kwa sababu akishawaziba hawana jinsi ya kufanya wamjue, atawahukumu vikali sana, kwa sababu hawajamjua, kutomjua mabako kumekuja kwa sababu yeye Allah kawaziba wasimjue.

Nikama baba anakataza watotowake wasiende shule wala kujifunza kusomana kuandika, halafu wakikua hawajui kusoma na kuandika, baba huyu huyu aliyekataza watoto wake wasijifunze kusoma na kuandika, awaadhibu vikali wanawe hao, kwa sababu hawajui kusoma na kuandika.

Watu wanasoma hicho kitabu, wanakubali hikikitabu cha Mungu, na haya maneno ya kijinga kabisa yaliyoandikwa hapa, ni ya Allah.

Mungu, mjuziwa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ujinga kabisa.
 
Mkuu bado hujaniconvice

Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.

Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.

Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"
Kuanzia hapa unasema ,unasema biblia imeandikwa na watu its Ok nakubali sawa lakini je? hao unaowasema wanajua kuisoma biblia vizuri wanasoma sawa na mawzo aliyokuwa anataka kurepresent muandishi?,mfn wa hili ni katuni za masudi kipanya anaweza kuchora katuni yake na kila mtu akapata tafsiri yake lakini ni Kipanya pekee anaeweza kutoa tafriri sahihi ya mchoro wake,pia hatuwezi kukataa maana utakayotoa wewe binafsi maana inaweza ikawa na mantiki kwako so hao unaosema wanajua kuisoma biblia vizuri wakija na fact ya kwamba muandishi alikua anamaanisha wanachosema wao ndio nitaanza kuamini ila sio vinginevyo.Maana biblia hatusomi tuu kama gazeti tunasomwa kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu na ndio maana wahubiri huomba watumiwe kama chombo tuu wasiongeze wala kupunguza neno la Mungu

Hii ni falalcy.

Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"

Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.

Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.

Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.

Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.

Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.

Hapa sijaelewa tafiri yako naona kama umetoka nje ya maada ila sio mbaya naomba nikujibu kwa uelewa wangu jinsi nilivyokuelewa na jinsi nanavyomuelewa Mungu.
Kuna mambo Mungu anafanya ili jina lake litukuzwe mfn Ayubu aliumwa na vitu vyote alivyonavyo viliondoka kwake na hata mke wake akajaribu kumshauri amuache Mungu lakini Ayubu alikataa,lakini sio kwamba katika kipindi chote hcho Ayubu alichokua napitia Mungu alikua hamuoni hapana alitaka jina lake litukuzwe ndio maana mwishoni Mungu alimrudishia vyote Ayubu na akampa mara mbili zaidi,mfn mwingine ni Lazaro huyu jamaa kabla hajafa Yesu aliambiwa rafiki yako mkubwa Lazaro anaumwa laikini Yesu alipotezea kama hajasikia wala hajaona akaendelea na habari ya kupiga Gospel siku ya nne baada ya Lazaro kuzikwa ndipo Yesu anawaambia twendeni kaburini kwa Lazaro na Bwana Yesu alifanikiwa kumfufua Lazaro kutoka mautini,hii yote ni kwaajili ya sifa na utkufu wa Mungu.Sasa linapokuja swala la huyu bwanamdogo Hawkin nasema tena ni kwaajili ya sifa na utukufu wa Mungu maana anayempinga Mungu kwa fact zake nyingi ameshindwa kutumia hizo fact kujiponya au hata kujisaidia japo kutumia hiyo science aliyonayo kuapata furaha kama watu wengine yaani kutembea vizuri kuogelea,maisha yote ya Hawkin yalikua ni kushindia PC tuu.nadhani hata wewe ndugu yangu kiranga unaweza kufanya kitu endapo tutakuweka sehemu moja kama huyu jamaa nawewe unaweza kutoa fact zako ili umkatae Mungu lakini kwa kuwa Mungu alikufahamu toka before alikupa uwezo wakujudge,kuchukua hatua na kufanya mambo mengine.

A most ridiculous assertion.

Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.

Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.

Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.

Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.

Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.

Kama ningekua mwalimu ningekuchapa mbele ya darasa

Huwezi kuongea vitu kama hivyo ukiwa na akili timamu.Tunasoma Physics kuna watu wanaelewa Physics kuliko kawaida na kuna wengine hawaielewi kabisa lakini sijawahi kusikia wasioelewa Physics wanasema Force,Gravity na Gravitational force ni vitu ambavyo havipo.Yaani kutokuelewa kwako au kutokujua kwako au kutokutilia mkazo kwako juu ya mambo ya mungu kusikufanye useme Mungu hayupo au kitu fulani hakipo kwasababu mimi sijawahi kukiona huo utakua ni zaidi ya upumbavu,Kama nyie mnavyoamini katika Physics kwa kuassume sijui pressure ni zero au friction force is negligible ndivyo na sisi tunaamini katika Mungu kwamba Utajiri na heshima na vyote vinapatikana kwake.

BWANA KIRANGA USIKUBALI KUSHIKWA AKILI AMINI UNACHOKIFAHAMU NA MOYO WAKO UNACHOKIKUBALI SIO WATU WANAOJIONA WANAAKILI WAMEANDIKA HATA WEWE UNAWEZA KUANDIKA NA KUNA WATU WATAKUAMINI.
NB.Sio BIBLIA kwa maana tumetahadharishwa kwamba ni lazima Roho Mtakatifu akuongoze na Roho Mtakatifu sio mtu
Umemaliza kila kitu mkuu
 
If you want to be a skeptic, there is no end to skepticism,you will end upin analysis paralysis that will question even your own existence.

You will be like the engineer who cannot build a brigde, because he cannot terminate the value of pi in decimal format.

Godel showed us the concept in his incompleteness theorems.

We have covered that above.

In a way, saying this is inconclusive a priori is contradicting step 1 above.

You are rejecting logical inquiry.

Let megive you the below example as an alert to never say never. Even when I say God does not exist, Ileave room to be proven wrong by asking people who say God exist to show proof.

By the way, you can devise a device as well as device a devise

de·vice
/dəˈvīs/
noun

  1. 1.
    a thing made or adapted for a particular purpose, especially a piece of mechanical or electronic equipment.
    "a measuring device"
    synonyms:implement, gadget, utensil, tool, appliance, apparatus, instrument, machine, mechanism, contrivance, contraption; More

    2.
    a plan, scheme, or trick with a particular aim.
    "writing a public letter is a traditional device for signaling dissent"
    synonyms😛loy, tactic, move, stratagem, scheme, plot, plan, trick, ruse, maneuver, machination, contrivance, expedient, dodge, wile
    "an ingenious legal device"

    10 impossibilities conquered by science

    Analysing starsIn his 1842 book The Positive Philosophy, the French philosopher Auguste Comte wrote of the stars: “We can never learn their internal constitution, nor, in regard to some of them, how heat is absorbed by their atmosphere.” In a similar vein, he said of the planets: “We can never know anything of their chemical or mineralogical structure; and, much less, that of organized beings living on their surface.”
Comte’s argument was that the stars and planets are so far away as to be beyond the limits of everything but our sense of sight and geometry. He reasoned that, while we could work out their distance, their motion and their mass, nothing more could realistically be discerned. There was certainly no way to chemically analyse them.

Ironically, the discovery that would prove Comte wrong had already been made. In the early 19th century, William Hyde Wollaston and Joseph von Fraunhofer independently discovered that the spectrum of the Sun contained a great many dark lines.

By 1859 these had been shown to be atomic absorption lines. Each chemical element present in the Sun could be identified by analysing this pattern of lines, making it possible to discover just what a star is made of.

That’s why when it comes to this question of God’s existence, I am a situational skeptic. I believe, thus far, no one really knows either way.

You guys can debate until the cows come home, in the end you will never come up with a consensus resolution.

It’s always been that way and it will continue to be that way for a long time to come.

If you disagree with me, just watch this space.

Prof. Hawking saying there’s no possibility of God in our universe won’t end the existence or no existence question of God.

That to me is proof that we don’t know for certain.

It doesn’t mean one day we won’t know. Just means that, so far we don’t know and we’re thirsting for knowledge, hence the never ending debate.
 
Wewe kama akili yako iko huru na haijashikiliwa tuambie kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?.....Yaani kuna magonjwa, vita, kuonewa, kudhulumiwa, vimbunga, tsunami, ufisadi, utekaji, kufa,baada ya kufa kuna moto, ubakaji e. t. c?....ina maana huyo Mungu mjuzi wa vyote na mwenye huruma yote ameshindwa kuzuia haya yasitokee???!
Ukijua chanzo cha hayo mabaya yote utajua kwanini Mungu mwenye sifa zote hizo ulizoztaja kayaruhusu yatokee.
 
Kaka katika utoaji wa maana ya tamko fulani umegawanyika katika sehemu kuu mbili :

1. Maana ya tamko kilugha,na hii ndio huwa imebeba uwanja mpana sana.

2. Maana ya tamko kwa fani husika,mfano wana kemia au watu wa kemia wana tafsiri maji kwa misingi ya fani yao.

Sasa niliposema juu ya tamko UKWELI ni ile maana ya kilugha ambayo ni pana zaidi,na kila jambo hutokea humo. Ndio maana nikasemaje,kama wewe unaipinga maana yangu kwanza ipinge kwa hoja zenye nguvu kisha nipe maana yako ya ukweli unavyoijua wewe,baada ya hapo ujibu swali nililo kuuliza.

Na mwisho nikakuuliza una amini kama Ukweli upo au pia huamini kama ukweli upo ?

Kwa mfano,nikikwambia wewe ni Behaviourist kama ulivyojiainisha kwetu na kweli ni wewe huu uitwa Ukweli au uongo ?

Tupende kuokoa muda bro....

Mimi sijui maana ya neno "ukweli" na ndiyo maana nikaomba ufafanuzi kutoka kwako na nimeweka ushahidi hapa kuprove kuwa sijui maana ya hilo neno pale tulipoulizana issue za uwepo wa Mungu kuwa "ni kweli" au ni "uongo" na wote tuliona ule mkanganyiko hapa!!.... kwa hiyo kuniambia nikupe maana yangu mimi ya hilo neno ni kunionea kwa sababu silijui!

Swala la mimi kuamini kuwa ukweli upo au haupo kwa kifupi kabisa ni kwamba siwezi kuamini kitu ambacho sikijui!!

Please naomba nipe maana ya hili neno ili nijibu swali lako la msingi, ukweli ni nini?
 
Halafu leo nataka nikufundishe matumizi ya tamko "nge" katika hali halisi na kilugha pia. Kwa ufupi matumizia ya "nge" huendana na ujinga,kukataa. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia jambo lililopita kwa wakati wa sasa ili aliweke sawa sawa lile lile kwa namna ile ile. Hapa nitakupa mifano ikibidi.

Wewe asili yako ni yapi ? Yaani unajua chanzo chetu sisi au ulimwengu chanzo chake ni kipi ?

Au wewe unaulezea vipi ulimwengu na asili yake ?
Nakupa nge nyingine hapa.

Mawenge
 
Wapi nimesema kuwa nimeshindwa?... umetumia kigezo gani kusema kuwa nimeshindwa???.... Mimi humu nachat na watu wengine wengi tu, ulitakiwa usubiri jibu lako na siyo kuamini bila ushahidi wowote kuwa nimeshindwa!!
Ok nitumie njia zipi kukudhibitishia uwepo wa mungu tofauti na hizo za Kiranga.?
 
Nakupa nge nyingine hapa.

Mawenge
Nacheka sana bro. "Nge" yako si "nge" ninayoikusudia hapa,hata kama hujaona tatizo hapa. Tunga sentensi iwe na tamko "nge" kwa "mawenge" na "ningekula" na mfano wako.

Hapa najua si kosa lako,bali kosa ni uchachefu wa elimu kwako. Hapa huchelewi kusema " Kama mungu muweza wa yote,mwenye hura yote ......."

Halafu hili tamko " yote" mara "zote" mmelipata wapi ? Hivi kweli "Ukamilifu" uko sawa na "yote" au "zote" ?
 
Kwa huu mwendo mimi na wewe tunaweza kuelewana.

Sasa nakupa kazi mzee,tafuta maana ya tamko "UKWELI" kwa mtu yeyote unae muamini na amekuzidi maarifa kisha uje uiweke hapa,halafu ujibu swali langu.

Zingatia : Swali langu nililokupa haliathiriwi na maana yoyote ile itakayo kuwa.

Hii ni ziada nakupa hapa,UONGO ni kinyume na hali halisi. Ukweli ni kinyume cha UONGO.

Nasubiri jibu.....
Wewe ndiyo unatakiwa kunipa maana ya neno "ukweli" kwa sababu kilicho ukweli kwako kinaweza kuwa ni uongo kwa mtu mwingine kama tulivyoona kwenye mfano wetu wa juu ya uwepo wa Mungu, kwa hiyo nikienda kumuuliza mtu mwingine anisaidie kunipa maana ya neno hilo anaweza kunipa maana ambayo kwako wewe ni sawa na "uongo" na kusababisha mimi nijibu swali lako la msingi vibaya!!

Ukweli ni nini?.....Please niambie ukweli ni nini ili niweze kujibu swali lako la Msingi!!
 
Kutokujua kwa uhakika ni ushahidi wa kwamba hatujui.

Hatujui kama yupo ama hayupo licha ya kwamba yapo mazingira flani flani yanayoelemea katika upande flani, i.e. yupo ama hayupo.

Tungekuwa tunajua kwa uhakika, kama yupo au hayupo, huu ubishani wala usingekuwepo.

Watu huwa hatubishani pasipo kikomo kuhusu mambo yanayojulikana kwa uhakika.
Hakuna sababu inayoeleweka ya kufanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aachie ulimwengu ambao haumthibitishi yeye kwa dhahiri kiasi cha watu kutaabikasana na dini elfu kwa elfu wakimtafuta.

Mungu akiwa hivyo, atakuwa anafanya utani wa kikatili sana kwa viumbe wake dhaifu.

Kwa upande mwingine, katikaulimwengu ambao Mungu hayupo, Mungu kuwepo kwake kutoweza kujulinkana ni kitu kisicho cha ajabu.

Kwa sababu hata uchunguze vipi, mtu anaweza kukwambia tu"Mungu yupo, ilawewe hujamtafuta vya kutosha".

Kamahayupo, huwezi kujua kwa uhakikakwamba hayupo, kwa sababu hayupo.

Ni kama umwambie mtoto atafute pipi ambayo haipokwenye nyumba, hata apekue vipi haioni, na akiambiwa ipo, hajatafuta vya kutosha, hawezi kujua kwamba huo ni uongo nje ya nadharia na dhana, kwa sababu inawezekana yeye anatafuta chini ya mazulia, wakati pipi imesimikwa ukutani katikati ya ufa kwenye matofaliikafichwa na kabati zito.

Yani dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote naupendo wote kuumba ulimwengu huu kuna contradictions kibao tu.

Contradictions zinazoonesha hayupo.

Na ukisema hatuwezi kuthibitisha conclusively kwamba hayupo, naweza kukwambia hatuwezi kuthibitisha chochote conclusively if you really want to go with the nitty gritties.

Kwamba hata wewe huwezi kuthibitisha kwamba upo.

At somepoint a threshold must be drawn.

Descartes alisema "I think, therefore I exist".

Mtu anayetakakuwa skeptic hapo,anawezakusema Descartes anajuaje kwamba anafikiria yeye na yeye si simulation tu ya software inayomfanya ajisikie kamaanafikiria?
 
Nacheka sana bro. "Nge" yako si "nge" ninayoikusudia hapa,hata kama hujaona tatizo hapa. Tunga sentensi iwe na tamko "nge" kwa "mawenge" na "ningekula" na mfano wako.

Hapa najua si kosa lako,bali kosa ni uchachefu wa elimu kwako. Hapa huchelewi kusema " Kama mungu muweza wa yote,mwenye hura yote ......."

Halafu hili tamko " yote" mara "zote" mmelipata wapi ? Hivi kweli "Ukamilifu" uko sawa na "yote" au "zote" ?
You are such an idiot you do not see an insult when it is flung your way.

I have to spell it out for you.

Thibitisha Mungu yupo.
 
This is a circular argument.

Therefore, it is not a logical argument.

Moreover, asserting thet God exists, but is incomprehensible, is an inherrent contradiction.

You need to comprehend God to rationally assert that he exists.
Does rationality exist?I think the problem here is that we are trying to apply objectivity in a concept that does not exists objectively.The existence of God is merely a subjective concept which means that both sides of the argument are correct.
 
Mkuu bado hujaniconvice

Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.

Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.

Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"
Kuanzia hapa unasema ,unasema biblia imeandikwa na watu its Ok nakubali sawa lakini je? hao unaowasema wanajua kuisoma biblia vizuri wanasoma sawa na mawzo aliyokuwa anataka kurepresent muandishi?,mfn wa hili ni katuni za masudi kipanya anaweza kuchora katuni yake na kila mtu akapata tafsiri yake lakini ni Kipanya pekee anaeweza kutoa tafriri sahihi ya mchoro wake,pia hatuwezi kukataa maana utakayotoa wewe binafsi maana inaweza ikawa na mantiki kwako so hao unaosema wanajua kuisoma biblia vizuri wakija na fact ya kwamba muandishi alikua anamaanisha wanachosema wao ndio nitaanza kuamini ila sio vinginevyo.Maana biblia hatusomi tuu kama gazeti tunasomwa kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu na ndio maana wahubiri huomba watumiwe kama chombo tuu wasiongeze wala kupunguza neno la Mungu

Hii ni falalcy.

Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"

Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.

Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.

Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.

Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.

Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.

Hapa sijaelewa tafiri yako naona kama umetoka nje ya maada ila sio mbaya naomba nikujibu kwa uelewa wangu jinsi nilivyokuelewa na jinsi nanavyomuelewa Mungu.
Kuna mambo Mungu anafanya ili jina lake litukuzwe mfn Ayubu aliumwa na vitu vyote alivyonavyo viliondoka kwake na hata mke wake akajaribu kumshauri amuache Mungu lakini Ayubu alikataa,lakini sio kwamba katika kipindi chote hcho Ayubu alichokua napitia Mungu alikua hamuoni hapana alitaka jina lake litukuzwe ndio maana mwishoni Mungu alimrudishia vyote Ayubu na akampa mara mbili zaidi,mfn mwingine ni Lazaro huyu jamaa kabla hajafa Yesu aliambiwa rafiki yako mkubwa Lazaro anaumwa laikini Yesu alipotezea kama hajasikia wala hajaona akaendelea na habari ya kupiga Gospel siku ya nne baada ya Lazaro kuzikwa ndipo Yesu anawaambia twendeni kaburini kwa Lazaro na Bwana Yesu alifanikiwa kumfufua Lazaro kutoka mautini,hii yote ni kwaajili ya sifa na utkufu wa Mungu.Sasa linapokuja swala la huyu bwanamdogo Hawkin nasema tena ni kwaajili ya sifa na utukufu wa Mungu maana anayempinga Mungu kwa fact zake nyingi ameshindwa kutumia hizo fact kujiponya au hata kujisaidia japo kutumia hiyo science aliyonayo kuapata furaha kama watu wengine yaani kutembea vizuri kuogelea,maisha yote ya Hawkin yalikua ni kushindia PC tuu.nadhani hata wewe ndugu yangu kiranga unaweza kufanya kitu endapo tutakuweka sehemu moja kama huyu jamaa nawewe unaweza kutoa fact zako ili umkatae Mungu lakini kwa kuwa Mungu alikufahamu toka before alikupa uwezo wakujudge,kuchukua hatua na kufanya mambo mengine.

A most ridiculous assertion.

Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.

Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.

Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.

Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.

Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.

Kama ningekua mwalimu ningekuchapa mbele ya darasa

Huwezi kuongea vitu kama hivyo ukiwa na akili timamu.Tunasoma Physics kuna watu wanaelewa Physics kuliko kawaida na kuna wengine hawaielewi kabisa lakini sijawahi kusikia wasioelewa Physics wanasema Force,Gravity na Gravitational force ni vitu ambavyo havipo.Yaani kutokuelewa kwako au kutokujua kwako au kutokutilia mkazo kwako juu ya mambo ya mungu kusikufanye useme Mungu hayupo au kitu fulani hakipo kwasababu mimi sijawahi kukiona huo utakua ni zaidi ya upumbavu,Kama nyie mnavyoamini katika Physics kwa kuassume sijui pressure ni zero au friction force is negligible ndivyo na sisi tunaamini katika Mungu kwamba Utajiri na heshima na vyote vinapatikana kwake.

BWANA KIRANGA USIKUBALI KUSHIKWA AKILI AMINI UNACHOKIFAHAMU NA MOYO WAKO UNACHOKIKUBALI SIO WATU WANAOJIONA WANAAKILI WAMEANDIKA HATA WEWE UNAWEZA KUANDIKA NA KUNA WATU WATAKUAMINI.
NB.Sio BIBLIA kwa maana tumetahadharishwa kwamba ni lazima Roho Mtakatifu akuongoze na Roho Mtakatifu sio mtu
First things first sijaribu kuku convince kwa sababu sijui kama una uwezo wa kuwa convinced.

Unaelewa hilo?

Na inawezekana kabisa mimi ndiye ninajaribu kuji convince kwamba Mungu yupo kwa kusoma hoja zenu, lakini zinapwaya na mnashindwa kuni convince.
 
You are such an idiot you do not see an insult when it is flung your way.

I have to spell it out for you.

Thibitisha Mungu yupo.
Naona umeshaelewa sasa.... Nimemaliza bro.
 
That’s why when it comes to this question of God’s existence, I am a situational skeptic. I believe, thus far, no one really knows either way.

You guys can debate until the cows come home, in the end you will never come up with a consensus resolution.

It’s always been that way and it will continue to be that way for a long time to come.

If you disagree with me, just watch this space.

Prof. Hawking saying there’s no possibility of God in our universe won’t end the existence or no existence question of God.

That to me is proof that we don’t know for certain.

It doesn’t mean one day we won’t know. Just means that, so far we don’t know and we’re thirsting for knowledge, hence the never ending debate.
We can't know for certain that there is no invisible golden elephant in the middle of your living room, right now.

That does not make us entertain the idea of one existing now, does it?
 
Wewe ndiyo unatakiwa kunipa maana ya neno "ukweli" kwa sababu kilicho ukweli kwako kinaweza kuwa ni uongo kwa mtu mwingine kama tulivyoona kwenye mfano wetu wa juu ya uwepo wa Mungu, kwa hiyo nikienda kumuuliza mtu mwingine anisaidie kunipa maana ya neno hilo anaweza kunipa maana ambayo kwako wewe ni sawa na "uongo" na kusababisha mimi nijibu swali lako la msingi vibaya!!

Ukweli ni nini?.....Please niambie ukweli ni nini ili niweze kujibu swali lako la Msingi!!
Kuhusu Ukweli nimeshakuelza bro na wewe ukakiri ya kuwa maana yangu inakukanganya sasa nimekupa wewe nafasi ya kutafuta maana ya UKWELI popote ilipo ili uje kuitumia kujibi swali langu a mwanzo.

Hili swali ninalo kuuliza kuhusu Ukweli ndio msingi wa mijadala yote kwa wakanamungu,na hili swali niliwahi kumuuliza Kiranga na matokeo yake anayajua mwenyewe.

Nasisitiza tena na tena. Swali langu halibadiliki ni lile lile.
 
Back
Top Bottom