mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Je niprove(thibitisha) kwa njia ipi? Ndio swali langu kuu. Sijashindwa na wala sintoshindwa.Mungu hayupo ndiyo maana umeshindwa kuthibitisha uwepo wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je niprove(thibitisha) kwa njia ipi? Ndio swali langu kuu. Sijashindwa na wala sintoshindwa.Mungu hayupo ndiyo maana umeshindwa kuthibitisha uwepo wake!
Sasa nataka twende taratibu mimi na wewe, Kiranga ukweli anaujua na madhaifu yake nimeshamuonyesha katika kuhoji,kujibu maswali,na kadhalika katika elimu ya mantiki. Na mimi yule nimeshamwambia kabisa sijadiliani nae tena kuhusu suala hili,sababu nina uhakika majibu nilimpa tena ya kiakili.
Wewe nakuona mpya katika kadhia hii,sasa nataka niende na wewe sawa. Naanzia hapa.
Wewe ni vigezo gani huwa unatumia kuupata ukweli ? Yaani kwako wewe uthibitisho ni nini ?
Ukijibu hapa tutaendelea kutokea hapa. Ila kwa masharti maswali yangu umwe unayajibu na mimi maswali yako nitakujibu sababu huwa siachi kujibi swali na kama sijui nasema sijui na kama nimekosea nakiri kosa.
Nasubiri jibu.....
Hapa inabidi utuambie wewe umejuaje hili ? Unaposema hakuna anaejua wapi tumetoka na kwa vipi ulimwengu umeumbwa au umekuwepo ? Bila shaka una elimu ya ziada juu ya hilo.
Nipo.....
Je niprove(thibitisha) kwa njia ipi? Ndio swali langu kuu. Sijashindwa na wala sintoshindwa.Kabla sijajibu swali lako nitaomba ufafanuzi sehemu ambazo sijaelewa katika swali lako,na sehemu ambayo sijaelewa na ambayo nahitaji ufafanuzi ni moja tu nayo ni:
Ukweli ni nini?
HILI NDILO JIBU KUU. ILA KWA WALE TU AMBAO HAWAJASHIKIWA AKILI.Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.
Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.
Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.
Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
In a new book that was published posthumously, Stephen Hawking, who died in March, wrote that it is impossible for God to exist in our universe.
From his desk at Cambridge University and beyond, Stephen Hawking sent his mind spiraling into the deepest depths of black holes, radiating across the endless cosmos and swirling back billions of years to witness time's first breath. He viewed creation as a scientist, and when he was called to discuss creation's biggest puzzles — Where do we come from? What is our purpose? Are we alone? — he answered as a scientist, often to the chagrin of religious critics.
In Stephen Hawking's final book "Brief Answers to Big Questions," published Tuesday (Oct. 16) by Bantam Books, the professor begins a series of 10 intergalactic essays by addressing life's oldest and most religiously fraught question of all: Is there a God? [Big Bang to Civilization: 10 Amazing Origin Events]
Hawking's answer — compiled from decades of prior interviews, essays and speeches with the help of his family, colleagues and the Steven Hawking Estate — should come as no surprise to readers who have followed his work, er, religiously.
Credit: Frederick M. Brown/Getty Images
![]()
"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
In life, Hawking was a vocal champion of the Big Bang theory — the idea that the universe began by exploding suddenly out of an ultradense singularity smaller than an atom. From this speck emerged all the matter, energy and empty space that the universe would ever contain, and all that raw material evolved into the cosmos we perceive today by following a strict set of scientific laws. To Hawking and many like-minded scientists, the combined laws of gravity, relativity, quantum physics and a few other rules could explain everything that ever happened or ever will happen in our known universe.
"If you like, you can say the laws are the work of God, but that is more a definition of God than a proof of his existence," Hawking wrote.
With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work.
"Did God create the quantum laws that allowed the Big Bang to occur?" Hawking wrote. "I have no desire to offend anyone of faith, but I think science has a more compelling explanation than a divine creator."
Hawking's explanation begins with quantum mechanics, which explains how subatomic particles behave. In quantum studies, it's common to see subatomic particles like protons and electrons seemingly appear out of nowhere, stick around for a while and then disappear again to a completely different location. Because the universe was once the size of a subatomic particle itself, it's plausible that it behaved similarly during the Big Bang, Hawking wrote.
"The universe itself, in all its mind-boggling vastness and complexity, could simply have popped into existence without violating the known laws of nature," he wrote.
That still doesn't explain away the possibility that God created that proton-size singularity, then flipped the quantum- mechanical switch that allowed it to pop. But Hawking says science has an explanation here, too. To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
Black holes, like the universe before the Big Bang, condense into a singularity. In this ultra-packed point of mass, gravity is so strong that it distorts time as well as light and space. Simply put, in the depths of a black hole, time does not exist.
Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time before the Big Bang."
"We have finally found something that doesn’t have a cause, because there was no time for a cause to exist in," Hawking wrote. "For me this means that there is no possibility of a creator, because there is no time for a creator to have existed in."
This argument will do little to persuade theistic believers, but that was never Hawking's intent. As a scientist with a near-religious devotion to understanding the cosmos, Hawking sought to "know the mind of God" by learning everything he could about the self-sufficient universe around us. While his view of the universe might render a divine creator and the laws of nature incompatible, it still leaves ample space for faith, hope, wonder and, especially, gratitude.
"We have this one life to appreciate the grand design of the universe," Hawking concludes the first chapter of his final book, "and for that I am extremely grateful."
Originally published on Live Science.
cc James Comey
Bro hujasoma biblia na unakimbilia kukashfu maswala ya Mungu
Kwanza,kabisa anasema mimi ni Mungu niliyefanya vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,So anza kujiuliza ni vitu vingapi visivyoonekana? ukipata jibu hapo ndio uje kuhoji kwa vitu vinavyoonekana ambavyo unamlaumu Mungu
Pili,Mungu anajipambanua kupitia biblia kwamba ameumba MEMA na MABAYA lakini (anatushauri) yaani uamuzi ni wako kuchagua yaliyo mema au mabaya,mbele zaidi amepambanua kwamba mema ni kwaajili ya wema na mabaya kwaajili ya wabaya.So its your option too to blame GOD because of your choice.
Tatu,Huyu Hawking anamkataa Mungu kwa fact zake lakini ningependa fact anazozisema angezitumia kutengeneza DAMU ya binadamu au angetumia hiyo science na ujuzi na ujuzi alionano kujitibu ugonjwa wa kupalalize aliokua nao kabla kifo hakijampata,Kwa kifupi Mungu amejipambanua sana ndio maana hata katika kipindi cha Musa kuwapeleka Waisraeli kaanani Mungu alisema nakutuma Musa kwa Farao lakini nitamfanyia moyo mgumu ili kwamba ajue mimi ni Mungu niliekutuma,ndio maana ya yale mapigo kumi kwa wamisri,haya mambo hata hivi leo yapo mfno ni Bwana Hawkin amemkataa Mungu kwa fact nzuri lakini kwanini asitumie fact zake kujifanya awe perfect yeye binafsi badala yakupinga wengine,kwanini asingetumia muda wake mwingi kutafuta dawa ya ugonjwa wake? au yeye alivyokuwa alijiona mkamilifu? na kama alijiona mkamilifu kwanini asione na vingine viko kamili?
Tusimjaji Mungu wakati vitu tunavyoviona vinatushinda tutawezaje kujaji tusivyoviona?,kama tumeshindwa kujua lile dude kubwa la air marasyia lilipoenda tutajuaje mambo ya Mungu?
HILI NDILO JIBU KUU. ILA KWA WALE TU AMBAO HAWAJASHIKIWA AKILI.
Ukweli ni hali au jambo fulani kama lilivyo. Kadhalika ukweli ni kinyume cha uongo. Ukijua maana ya uongo bila shaka utajua maana ya ukweli.Kabla sijajibu swali lako nitaomba ufafanuzi sehemu ambazo sijaelewa katika swali lako,na sehemu ambayo sijaelewa na ambayo nahitaji ufafanuzi ni moja tu nayo ni:
Ukweli ni nini?... yaani nataka uniambie ukweli ni nini kwa sababu umetumia term hii kwenye swali lako nami siijui!
Kwa sababu hakuna Mungu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upebdo wote angekuwepo, asingeumba watu wasio na akili za kushinda tofauti za rangi zao kisha akawapa rangi tofauti zinazowaletea matatizo mengi sana ya ubaguzi wa rangi mpaka kesho.
Tofauti za race/ rangi zinaonesha Mungu hayupo.
Hazioneshi Mungu yupo.
Kama watu wamefika hapawaipo kwa random mutation kama inavyosema evolution - granted, evolution bado ina maswali mengi, lakini sayansi haijidai kuwa na majibu yote sasa- so kama watu wamefikahapa kwa random mutation, tungetegemea tuone tu si watu wenye rangi tofauti, bali wengine wanaozaliwa vipofu, hawana miguu, wana vidole sita mapaka sanba mikononina miguuni,wenye deformities za ajabu ajabu.
Na hicho kinatokea.
Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwa ndiye anayeumba watu, kungekuwa si tu hamna tofauti za rangi zinazoleta matatizo katika jamii, bali hata vilema, hususan wa kuzaliwa, wasingekuwepo.
Hii ni hadithi isiyo na uthibitisho.
Thibitisha Mungu yupo.
Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.
Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.
Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"
James Kugel
How to Read the Bible
Hii ni falalcy.
Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"
Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.
Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.
Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.
Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.
Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.
A most ridiculous assertion.
Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.
Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.
Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.
Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.
Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.
Je ukipona hapo utasemaje ?Huyo kaumwa kwa sababu Mungu hayupo.
Wote tunaumwakwa sababu Mungu hayupo.
Mungu angekuwepo, hakuna mtu ambaye angeumwa ugonjwa wowote.
Maimuna au maamuma?Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni Maimuna
Watu kama nyinyi tunaenda kwa hoja za kiakili na kimazingira.Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.
Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.
Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.
Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Bado sijakuelewa, nikisema "hakuna Mungu" huo ni ukweli au ni uongo?Ukweli ni hali au jambo fulani kama lilivyo. Kadhalika ukweli ni kinyume cha uongo. Ukijua maana ya uongo bila shaka utajua maana ya ukweli.
Nakupa faida. Maana ya maana inaelezwa kwa njia kadhaa. Hapa nakupa njia mbili au tatu.
1. Ninaweza kutoa maana ya jambo kwa maelezo kwa kuruhusu kuingia yale yote yahusuyo jambo husika na kuzuia kuingia yale yote yasiyo husika.
2. Naweza kutoa maana kwa mifano. Yaani naweza kukuonyesha hali ya mtu mfulani ukajua nini maana ya jambl fulani.
Nipo.....
Watu kama nyinyi tunaenda kwa hoja za kiakili na kimazingira.
Kwanza hujaelewa swali langu bro. Soma tena swali bro kisha ulijibu kwa utulivu..... Relax
Kama ni kweli kwamba hatuna ushahidi wowote wa tulipotokaniwapi, huo niushahidi zaidi kwamba hatujatokakwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.
Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.
Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.
Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Huo ni ukweli,na hili swali linaingia katika yale maswali ya uongo. Sababu hapajawahi kutokuwepo na Mola muumba.Nikisema hakuna Mungu huo ni ukweli au ni uongo?
Sasa Ngabu kama mtu akiandika historia ya familia yao au biography inakataliwa uhalali wa alicho andika sababu yameandikwa kwenye kitubu kama zinavyo andikwa hadithi zingine?Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.
Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.
Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.
Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Unaposema wewe hujaona ushahidi wa kuonyesha wapi tumetoka. Inabidi utuambie kwamba ni upi udhaifu wa hoja ulizowahi kuzisoma mpaka ukafikia hitimisho la kauli yako hiyo.Sijalielewaje swali lako? Nieleweshe basi...