Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Sasa nataka twende taratibu mimi na wewe, Kiranga ukweli anaujua na madhaifu yake nimeshamuonyesha katika kuhoji,kujibu maswali,na kadhalika katika elimu ya mantiki. Na mimi yule nimeshamwambia kabisa sijadiliani nae tena kuhusu suala hili,sababu nina uhakika majibu nilimpa tena ya kiakili.

Wewe nakuona mpya katika kadhia hii,sasa nataka niende na wewe sawa. Naanzia hapa.

Wewe ni vigezo gani huwa unatumia kuupata ukweli ? Yaani kwako wewe uthibitisho ni nini ?

Ukijibu hapa tutaendelea kutokea hapa. Ila kwa masharti maswali yangu umwe unayajibu na mimi maswali yako nitakujibu sababu huwa siachi kujibi swali na kama sijui nasema sijui na kama nimekosea nakiri kosa.

Nasubiri jibu.....

Kabla sijajibu swali lako nitaomba ufafanuzi sehemu ambazo sijaelewa katika swali lako,na sehemu ambayo sijaelewa na ambayo nahitaji ufafanuzi ni moja tu nayo ni:

Ukweli ni nini?... yaani nataka uniambie ukweli ni nini kwa sababu umetumia neno hili kwenye swali lako nami silijui!
 
Hapa inabidi utuambie wewe umejuaje hili ? Unaposema hakuna anaejua wapi tumetoka na kwa vipi ulimwengu umeumbwa au umekuwepo ? Bila shaka una elimu ya ziada juu ya hilo.

Nipo.....

Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.

Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.

Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.

Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
 
Kabla sijajibu swali lako nitaomba ufafanuzi sehemu ambazo sijaelewa katika swali lako,na sehemu ambayo sijaelewa na ambayo nahitaji ufafanuzi ni moja tu nayo ni:

Ukweli ni nini?
Je niprove(thibitisha) kwa njia ipi? Ndio swali langu kuu. Sijashindwa na wala sintoshindwa.
 
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.

Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.

Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.

Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
HILI NDILO JIBU KUU. ILA KWA WALE TU AMBAO HAWAJASHIKIWA AKILI.
 
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

In a new book that was published posthumously, Stephen Hawking, who died in March, wrote that it is impossible for God to exist in our universe.

From his desk at Cambridge University and beyond, Stephen Hawking sent his mind spiraling into the deepest depths of black holes, radiating across the endless cosmos and swirling back billions of years to witness time's first breath. He viewed creation as a scientist, and when he was called to discuss creation's biggest puzzles — Where do we come from? What is our purpose? Are we alone? — he answered as a scientist, often to the chagrin of religious critics.

In Stephen Hawking's final book "Brief Answers to Big Questions," published Tuesday (Oct. 16) by Bantam Books, the professor begins a series of 10 intergalactic essays by addressing life's oldest and most religiously fraught question of all: Is there a God? [Big Bang to Civilization: 10 Amazing Origin Events]

Hawking's answer — compiled from decades of prior interviews, essays and speeches with the help of his family, colleagues and the Steven Hawking Estate — should come as no surprise to readers who have followed his work, er, religiously.

  • aHR0cDovL3d3dy5saXZlc2NpZW5jZS5jb20vaW1hZ2VzL2kvMDAwLzEwMi8yMTYvb3JpZ2luYWwvc3RlcGhlbi1oYXdraW5nLU9ORS1USU1FLVVTRS5qcGc=
Credit: Frederick M. Brown/Getty Images

"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
In life, Hawking was a vocal champion of the Big Bang theory — the idea that the universe began by exploding suddenly out of an ultradense singularity smaller than an atom. From this speck emerged all the matter, energy and empty space that the universe would ever contain, and all that raw material evolved into the cosmos we perceive today by following a strict set of scientific laws. To Hawking and many like-minded scientists, the combined laws of gravity, relativity, quantum physics and a few other rules could explain everything that ever happened or ever will happen in our known universe.
"If you like, you can say the laws are the work of God, but that is more a definition of God than a proof of his existence," Hawking wrote.

With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work.

"Did God create the quantum laws that allowed the Big Bang to occur?" Hawking wrote. "I have no desire to offend anyone of faith, but I think science has a more compelling explanation than a divine creator."
Hawking's explanation begins with quantum mechanics, which explains how subatomic particles behave. In quantum studies, it's common to see subatomic particles like protons and electrons seemingly appear out of nowhere, stick around for a while and then disappear again to a completely different location. Because the universe was once the size of a subatomic particle itself, it's plausible that it behaved similarly during the Big Bang, Hawking wrote.
"The universe itself, in all its mind-boggling vastness and complexity, could simply have popped into existence without violating the known laws of nature," he wrote.

That still doesn't explain away the possibility that God created that proton-size singularity, then flipped the quantum- mechanical switch that allowed it to pop. But Hawking says science has an explanation here, too. To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
Black holes, like the universe before the Big Bang, condense into a singularity. In this ultra-packed point of mass, gravity is so strong that it distorts time as well as light and space. Simply put, in the depths of a black hole, time does not exist.

Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time before the Big Bang."

"We have finally found something that doesn’t have a cause, because there was no time for a cause to exist in," Hawking wrote. "For me this means that there is no possibility of a creator, because there is no time for a creator to have existed in."

This argument will do little to persuade theistic believers, but that was never Hawking's intent. As a scientist with a near-religious devotion to understanding the cosmos, Hawking sought to "know the mind of God" by learning everything he could about the self-sufficient universe around us. While his view of the universe might render a divine creator and the laws of nature incompatible, it still leaves ample space for faith, hope, wonder and, especially, gratitude.

"We have this one life to appreciate the grand design of the universe," Hawking concludes the first chapter of his final book, "and for that I am extremely grateful."
Originally published on Live Science.

cc James Comey

I have found these debates on God vs science by atheist scientists vs scientists who believe in God very interesting:
https://www.google.com/search?q=the+god+delusion+debate+youtube&ie=utf-8&oe=utf-8&client=firefox-b

Bro hujasoma biblia na unakimbilia kukashfu maswala ya Mungu

Kwanza,kabisa anasema mimi ni Mungu niliyefanya vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,So anza kujiuliza ni vitu vingapi visivyoonekana? ukipata jibu hapo ndio uje kuhoji kwa vitu vinavyoonekana ambavyo unamlaumu Mungu

Hii ni hadithi isiyo na uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo.

Pili,Mungu anajipambanua kupitia biblia kwamba ameumba MEMA na MABAYA lakini (anatushauri) yaani uamuzi ni wako kuchagua yaliyo mema au mabaya,mbele zaidi amepambanua kwamba mema ni kwaajili ya wema na mabaya kwaajili ya wabaya.So its your option too to blame GOD because of your choice.

Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.

Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.

Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"

James Kugel

How to Read the Bible

Tatu,Huyu Hawking anamkataa Mungu kwa fact zake lakini ningependa fact anazozisema angezitumia kutengeneza DAMU ya binadamu au angetumia hiyo science na ujuzi na ujuzi alionano kujitibu ugonjwa wa kupalalize aliokua nao kabla kifo hakijampata,Kwa kifupi Mungu amejipambanua sana ndio maana hata katika kipindi cha Musa kuwapeleka Waisraeli kaanani Mungu alisema nakutuma Musa kwa Farao lakini nitamfanyia moyo mgumu ili kwamba ajue mimi ni Mungu niliekutuma,ndio maana ya yale mapigo kumi kwa wamisri,haya mambo hata hivi leo yapo mfno ni Bwana Hawkin amemkataa Mungu kwa fact nzuri lakini kwanini asitumie fact zake kujifanya awe perfect yeye binafsi badala yakupinga wengine,kwanini asingetumia muda wake mwingi kutafuta dawa ya ugonjwa wake? au yeye alivyokuwa alijiona mkamilifu? na kama alijiona mkamilifu kwanini asione na vingine viko kamili?

Hii ni falalcy.

Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"

Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.

Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.

Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.

Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.

Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.

Tusimjaji Mungu wakati vitu tunavyoviona vinatushinda tutawezaje kujaji tusivyoviona?,kama tumeshindwa kujua lile dude kubwa la air marasyia lilipoenda tutajuaje mambo ya Mungu?

A most ridiculous assertion.

Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.

Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.

Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.

Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.

Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.
 
Kabla sijajibu swali lako nitaomba ufafanuzi sehemu ambazo sijaelewa katika swali lako,na sehemu ambayo sijaelewa na ambayo nahitaji ufafanuzi ni moja tu nayo ni:

Ukweli ni nini?... yaani nataka uniambie ukweli ni nini kwa sababu umetumia term hii kwenye swali lako nami siijui!
Ukweli ni hali au jambo fulani kama lilivyo. Kadhalika ukweli ni kinyume cha uongo. Ukijua maana ya uongo bila shaka utajua maana ya ukweli.

Nakupa faida. Maana ya maana inaelezwa kwa njia kadhaa. Hapa nakupa njia mbili au tatu.

1. Ninaweza kutoa maana ya jambo kwa maelezo kwa kuruhusu kuingia yale yote yahusuyo jambo husika na kuzuia kuingia yale yote yasiyo husika.

2. Naweza kutoa maana kwa mifano. Yaani naweza kukuonyesha hali ya mtu mfulani ukajua nini maana ya jambl fulani.

Nipo.....
 
Kwa sababu hakuna Mungu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upebdo wote angekuwepo, asingeumba watu wasio na akili za kushinda tofauti za rangi zao kisha akawapa rangi tofauti zinazowaletea matatizo mengi sana ya ubaguzi wa rangi mpaka kesho.

Tofauti za race/ rangi zinaonesha Mungu hayupo.

Hazioneshi Mungu yupo.

Kama watu wamefika hapawaipo kwa random mutation kama inavyosema evolution - granted, evolution bado ina maswali mengi, lakini sayansi haijidai kuwa na majibu yote sasa- so kama watu wamefikahapa kwa random mutation, tungetegemea tuone tu si watu wenye rangi tofauti, bali wengine wanaozaliwa vipofu, hawana miguu, wana vidole sita mapaka sanba mikononina miguuni,wenye deformities za ajabu ajabu.

Na hicho kinatokea.

Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwa ndiye anayeumba watu, kungekuwa si tu hamna tofauti za rangi zinazoleta matatizo katika jamii, bali hata vilema, hususan wa kuzaliwa, wasingekuwepo.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha mkuu unajudge mambo ya Mungu kwa upeo wako sio kutokana na maandiko au reality of life

Kwahii paragraph yako ndogo naomba nikujibu kifupi tuu

Mosi<kama ulivyosema hapo juu kwamba Mungu ni waupendo na vitu vingine vyote pia Mungu ndie aliyeumba MEMA na MABAYA yaani huo ubaguzi unaoongelea ni Mungu pia amaeuumba lakini amesema ameumba MEMA kwaajili ya WEMA na MABAYA kwaajili ya WABAYA mwisho kabisa ametushauri tuchague yaliyo mema.So unapoongelea ubaguzi usitaje ubaguzi wa rangi tuu taja kila aina ya ubaguzi hata ile xenophobia ya SA ni ubaguzi hata anaofanya jiwe kuteua kanda ya ziwa ni ubaguzi uleule hata kumtenga ndugu yako pia ni ubaguzi kwa kuwa Mungu alitoa option ya watu kuchagua kati ya mema na mabaya so huwezi kumlaumu Mungu juu ya machaguo ya watu binafsi ni kuwalaumu watu wenyewe.

Pili,Umeongelea pia kwamba Mungu alifanya kwa upendeleo nisamehe kama nimekuelewa vibaya,lakini hapana nakataa Mungu hana upendeleo kama angekua anaupendeleo nadhani wazungu wasingetuhitaji ila kuna ujinga tuu ambao waafrika tunao na wazungu wanautumia kama opportunity,huwezi kusema mzungu anatusababishia umaskini wakati sisi tumekaa huku kazi yetu kuchati whatsapp na fb na tukirudi kwenye reality ya maisha tunaongeza wake na watoto wakati hela ya vocha tuu inatukimbiza.Kwaufupi tuu naomba usiseme tena kuwa Mungu ni mbaguzi juu ya rangi nyeusi ila jitahidi sana kuiambia rangi nyeusi iache ujinga na upumbavu
 
Hii ni hadithi isiyo na uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo.

Biblia ina makosa mengi sana, imeandikwa na watu tu,hakuna Mungu anayesemwa ndani ya Biblia.

Wataalam wanaoisoma Biblia katikalugha yake ya asili,sio wewe unayesoma tafsiri, waliofundisha Bibliampaka Harvard, kama James L Kugel,wamesema hilo, si mimi.

Tatizo hata James L Kugel sijui kamaushamsikia. Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"

James Kugel

How to Read the Bible

Hii ni falalcy.

Ni kamaunasema "BMW imeanzishwa na Mjapani Tokyo"

Nakwambia, hapana, BMW ni gari ya Wajerumani,si ya Wajapani.

Halafu unaniambiahujui kitu,kwanza mtu mwenyewe huwezi hata kutengeneza tairi la gari.

Yani hujui kwamba, kama kweli BMWimeanzishwa Ujerumani na Wajerumani, hata nisipojua kujaza upepo tairi, licha ya kulitengeneza, huko kukosa kujua kwangu kujaza upepo tairi hakufanyi BMW iwe imeanzishwa Tokyo Japan a Wajapani.

Katikalogic hii ni logical non sequitur.Unaunganisha mambo mawili ambayo hayana ususiani.

Yani ni sawa na mimi nisemewewe huwezi kupika pilau kwa sababu unavuta sigara. Wakati hamna uhusiani wowote katika ya kujua kupika pilau na kuvuta sigara.

A most ridiculous assertion.

Kutovielewa tunavyoviona ni ushahidi Mungu hayupo,si ushahidi Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingekuwa mchoyo wa elimusana kutunyimakujua tunavyoviona mpaka tusote sana mambo na hata hapomengine hatuelewi.

Hali hiyo inatokana na ukwelikwamba Mungu hayupo.

Naona kuna trend ya watu kuchukua ushahidi unaoonesha Mungu hayupo, na kuufanya uwe ushahidi unaoonesha Mungu yupo.

Wanageuza mambo kama kifo, magonjwa, ujinga kuw aushahidi kwamba Mungu yupo.

Habari za kuwezekana kuwepokifo, magonjwa na ujinga ni ushahidi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo, magonjwa na ujinga visingewezekana kuwepo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
 
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.

Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.

Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.

Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Watu kama nyinyi tunaenda kwa hoja za kiakili na kimazingira.

Kwanza hujaelewa swali langu bro. Soma tena swali bro kisha ulijibu kwa utulivu..... Relax
 
Ukweli ni hali au jambo fulani kama lilivyo. Kadhalika ukweli ni kinyume cha uongo. Ukijua maana ya uongo bila shaka utajua maana ya ukweli.

Nakupa faida. Maana ya maana inaelezwa kwa njia kadhaa. Hapa nakupa njia mbili au tatu.

1. Ninaweza kutoa maana ya jambo kwa maelezo kwa kuruhusu kuingia yale yote yahusuyo jambo husika na kuzuia kuingia yale yote yasiyo husika.

2. Naweza kutoa maana kwa mifano. Yaani naweza kukuonyesha hali ya mtu mfulani ukajua nini maana ya jambl fulani.

Nipo.....
Bado sijakuelewa, nikisema "hakuna Mungu" huo ni ukweli au ni uongo?
 
Watu kama nyinyi tunaenda kwa hoja za kiakili na kimazingira.

Kwanza hujaelewa swali langu bro. Soma tena swali bro kisha ulijibu kwa utulivu..... Relax

Sijalielewaje swali lako? Nieleweshe basi...
 
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.

Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.

Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.

Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Kama ni kweli kwamba hatuna ushahidi wowote wa tulipotokaniwapi, huo niushahidi zaidi kwamba hatujatokakwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Naangalia swali hili kwa misingi hii.

1. You either accept logical inquiry as your guide or not.
2. If you do not accept logical inquiry, anything goes and there is no basis for anything and you might as well stop everything right there,because going forward requires a logical progression from one point to another.
3. If you accept logicalinquiry, you can device a way to converge towards the truth in a verifiable way
4. If you device a way to converge towards the truth in a verifiable way, contradictions will be barred,they weed out misunderstandings or lies.
5. The God (omnipotent, imniscient, omnibenevolent) idea, one who amde this universe as it is, has an inherrent contradiction in that the universe allows evil to exist. Was God forced to create the universe this way by some reason? Or did he choose the universe to be this way by purpose? If he was forced, he can't be omnipotent. If he had choice but chose to make us suffer, he can't be omni benevolent.
6. There is a contradiction that creates a mutualexlusivity in the characteristics of God in a way that a God who is omnipotent, omniscient and omni benevolent, not only does not exist,but cannot exist logically

I understand that Hawking is largely following the same line of thought.
 
Nikisema hakuna Mungu huo ni ukweli au ni uongo?
Huo ni ukweli,na hili swali linaingia katika yale maswali ya uongo. Sababu hapajawahi kutokuwepo na Mola muumba.

Kwanza bro,twende kwa utaratibu mzuri. Kuna swali nilikuuliza ila hujalijibu. Wewe lako uliuliza nimekujibu. Sasa naomba unijibu swali langu la kwanza kwako kisha uulize swali lako nilijibu.

Hapa hutakiwi kuruka swali. Nipo....
 
Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote unaonishawishi kuwa kuna anayejua tulipotoka.

Kama wewe unao au unaujua huo ushahidi, niwekee hapa.

Ila usiniletee hekaya za kwenye vitabu kama biblia na kadhalika.

Vilevile, huyo Hawking naye anatabiri tu. Hajui.
Sasa Ngabu kama mtu akiandika historia ya familia yao au biography inakataliwa uhalali wa alicho andika sababu yameandikwa kwenye kitubu kama zinavyo andikwa hadithi zingine?
 
Sijalielewaje swali lako? Nieleweshe basi...
Unaposema wewe hujaona ushahidi wa kuonyesha wapi tumetoka. Inabidi utuambie kwamba ni upi udhaifu wa hoja ulizowahi kuzisoma mpaka ukafikia hitimisho la kauli yako hiyo.

Kwa sababu kama huna elimu ya jambo fulani ni vigumu kulizungumzia jambl hilo,na ukifanya hivyo utakuwa unaikosea adabu elimu.
 
Back
Top Bottom