Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kiranga anapowashinda watu kwenye hii issue ya kwamba hakuna Mungu ni pale watu wanaposhindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na Kiranga anatumia very simple Philosophy kama vile laws of contradictions na laws of consistency kukamata watu masikio yao na kuwaburuza anavyotaka, ila inauma sana pale unapoamini kuwa Mungu yupo halafu unashindwa kuthibitisha![emoji3][emoji3][emoji3]
 
JE ULISHATAFUTA MAJIBU YA MASWALI YAKO KUTOKA KWENYE HIVYO VITABU ULIVYOSOMA, MAANA MFANO HIYO MATAYO HAIANZII 5:48. JE MWANZO WAKE UMESHAUSOMA?
Vitabu gani??.....Yaani nipoteze muda wangu kwenye vitabu vinavyodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote wakati ameshindwa kuumba dunia ambayo haina magonjwa, ubakaji, vimbunga, ajali, tsunami, njaa e. t. c??!.... Cha msingi hapa thibitisha kuwa Mungu yupo ili uokoe wengi kwenye hili janga la Kiranga la kuburuza watu!!
 
Wewe unataka uthibitishiwe kwa namna ipi?

Kama vile kuthibitishiwa uwepo gari ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?

Au kama vile uwepo wa Akili ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?

Uthibitishiwe kwa namna gani yaani labda?
Kiranga anapowashinda watu kwenye hii issue ya kwamba hakuna Mungu ni pale watu wanaposhindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na Kiranga anatumia very simple Philosophy kama vile laws of contradictions na laws of consistency kukamata watu masikio yao na kuwaburuza anavyotaka, ila inauma sana pale unapoamini kuwa Mungu yupo halafu unashindwa kuthibitisha![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe unataka uthibitishiwe kwa namna ipi?

Kama vile kuthibitishiwa uwepo gari ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?

Au kama vile uwepo wa Akili ndo uthibitishiwe uwepo wa Mungu?

Uthibitishiwe kwa namna gani yaani labda?
Kwa hiyo mkuu ukiingia kwenye mtihani ukaulizwa thibitisha kuwa Tanzania ni Taifa huru utamgonga maswali aliekupa mtihani kama unavyonigonga maswali mimi kuwa uthibitishe kivipi??![emoji3][emoji3][emoji3]
 
This is the part i have liked the most """" Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time
before the Big Bang."""" "
Hahahaaa.

Craazy.

Nilisoma"A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" back in the 1990s, ameelezea kwa kirefu sana hayo mambo.

Kam hujakisoma na unapenda kufuatilia, nimekiweka hapo juu kama PDF attachment.
 
God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
This is a circular argument.

Therefore, it is not a logical argument.

Moreover, asserting thet God exists, but is incomprehensible, is an inherrent contradiction.

You need to comprehend God to rationally assert that he exists.
 
Vitabu gani??.....Yaani nipoteze muda wangu kwenye vitabu vinavyodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote wakati ameshindwa kuumba dunia ambayo haina magonjwa, ubakaji, vimbunga, ajali, tsunami, njaa e. t. c??!.... Cha msingi hapa thibitisha kuwa Mungu yupo ili uokoe wengi kwenye hili janga la Kiranga la kuburuza watu!!
HILI NDIO JIBU NILILOKUWA NALIHITAJI. HUNA HOJA ZAIDI YA KUJIFICHA NYUMA YA MGONGO WA KIRANGA.
 
Kama hakuna Mungu na tumetokea kwenye evolution kwanini kuna race tofauti?
Kwa sababu hakuna Mungu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upebdo wote angekuwepo, asingeumba watu wasio na akili za kushinda tofauti za rangi zao kisha akawapa rangi tofauti zinazowaletea matatizo mengi sana ya ubaguzi wa rangi mpaka kesho.

Tofauti za race/ rangi zinaonesha Mungu hayupo.

Hazioneshi Mungu yupo.

Kama watu wamefika hapawaipo kwa random mutation kama inavyosema evolution - granted, evolution bado ina maswali mengi, lakini sayansi haijidai kuwa na majibu yote sasa- so kama watu wamefikahapa kwa random mutation, tungetegemea tuone tu si watu wenye rangi tofauti, bali wengine wanaozaliwa vipofu, hawana miguu, wana vidole sita mapaka sanba mikononina miguuni,wenye deformities za ajabu ajabu.

Na hicho kinatokea.

Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwa ndiye anayeumba watu, kungekuwa si tu hamna tofauti za rangi zinazoleta matatizo katika jamii, bali hata vilema, hususan wa kuzaliwa, wasingekuwepo.
 
Thibitisha kuwa Mungu yupo kwanza kwa sababu hicho ndicho kiini cha uzi huu!
Hilo swali utapigwa chenga mpaka the heat death of the universe, hutapewa jibu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Anayebisha athibitishe Mungu yupo.
 
DHIBITISHA KAMA MUNGU HAYUPO.
Mungu hayupo kwa sababu Mungu anaeaminika na wewe kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote,mwenye huruma yote na mkamilifu asingeruhusu dunia ambayo mabaya yanawezekana!
 
Kwanza ww naona huamin km Mungu yupo?hivi ww unaupima uwezo wa Mungu hapo ulipo ni kwa neema za Mungu tu na endelea kuwaamini hao machizi wanaoona mtu alie tengeneza mti wa muembe ujue ni wakati upi uzae na upime kiasi cha sukari ktk matunda yake ni mpuuzi.Kama vitu hivi tuvitumiavo vina wangunduzi ila inapofika kwa binadam unasema hakuumbwa alitokea tu sijui na upupu wa bing bang theory aghaaaa
Kabla ya yote, thibitisha Mungu yupo.
 
Tafakari bora ya Siku [emoji41]

Kiranga na profesa wake na wapigiwe makofi tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]

Tunaendelea.........
We unatafuta angle ya kumuingiza Anunaki tu hapa, nishakustukia.
 
As far as I'm concerned, he was just guessing.

No one knows for sure where we come from or how the universe was created.

Hapa inabidi utuambie wewe umejuaje hili ? Unaposema hakuna anaejua wapi tumetoka na kwa vipi ulimwengu umeumbwa au umekuwepo ? Bila shaka una elimu ya ziada juu ya hilo.

Nipo.....
 
Mungu hayupo kwa sababu Mungu anaeaminika na wewe kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote,mwenye huruma yote na mkamilifu asingeruhusu dunia ambayo mabaya yanawezekana!
UNARUDI PALE PALE. MATAYO 5:48 KISHA UNAJIONA GENIUS.
YAANI NI SAWA NA MTU ALIYEKUWA KIPOFU AKAFNIKWA KUMUONA PUNDA KISHA AKARUDI KUWA KIPOFU, KWAHIYO KILA KITU UKIMWAMBIA YEYE ATAULIZA KAMA KINAFANANA NA PUNDA MAANDA NDIO PEKEE ALICHOKIONA.
 
Swali langu hujajibu mkuu!...Nilikuuliza thibitisha kuwa Mungu yupo!
 
Back
Top Bottom