Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kiranga anapowashinda watu kwenye hii issue ya kwamba hakuna Mungu ni pale watu wanaposhindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu na Kiranga anatumia very simple Philosophy kama vile laws of contradictions na laws of consistency kukamata watu masikio yao na kuwaburuza anavyotaka, ila inauma sana pale unapoamini kuwa Mungu yupo halafu unashindwa kuthibitisha![emoji3][emoji3][emoji3]