Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Hakuna chochote apo
Mungu yupo aisee, kubali kataa.
Na izo proof ziko kiaasumption sana ni ambacho ni vigumu kutokea.
Lazima kuwa na kitu kilichotokea ambapo kuna nguvu ilikifanya nguvu hio at least iwe known.
 
Sielewi hiyo hoja vipi ikuunge mkono.

Pili madai yako ni feki kwa sababu huwezi kudai kuwa kuwepo kwa barabara ya lami kunathibitisha kutokuwepo kwa mtu alotengeneza.

Itakuwa ni akili mbovu sana ambayo hata katoto kadogo kanaweza kukutia doa.

Yani uwepo wa athari ukanushe uwepo wa chanzo cha athari hiyo?

Uwepo wa simu unathibitisha aloitengeneza simu hiyo huwezi tumia hoja eti simu inathibitisha kutokuwepo kwa mtu kwa nini udai hivyo?

Hapo contradiction ni kwa akili yako finyu tu mfano wa anaejaribu kuyakimbia makallio yake yaliyoko mgongoni.

Huelewi au madai hayo ni feki?

Hutakiwi kusema huelewi kitu halafu hapo hapo ukasema ni feki.

Ukisema ni feki maana yake umekielewa.

Contradiction.
 
This is the part i have liked the most """" Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time
before the Big Bang."""" "
 
This is the part i have liked most
"""" Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time
before the Big Bang."""
 
Sijasema kila kitu. Bali ni kwenye hayo maelezo ndo hakuna chochote ni kujaribu tu kupingana na ukweli.
Kiranga katika mas'ala haya kashindwa kutumia akili yake vyema.

Kwa hvyo kwa kauli yako hiyo kwa alivyoichukulia si anaweza kurupuka mtu mwingine akasema hata mtu anayeitwa kiranga hayupo kwa kauli hiyo,huu utakuwa ni ubishi ambao hautegemewi kwa mtu mzima kama kiranga ana akili zake timamu moja katika waheshimiwa hapa JF kujenga hoja kwa kauli hiyo.

Ni mtu ana akili zake ila katika mas'ala ya Mungu kashindwa kabisa kuifikirisha vyema akili yake.
 
mi naona kiranga anaweza akaona nyumba kubwa ipo sehemu halafu kwa kuwa hamuoni mjengaji akasema hii nyumba lazima itakua imejijenga mwenyewe .na akapambana kutetea hoja yake bila kusema hiyo nyumba imetokeaje bila kuwa na mjengaji.na hata ukimwambia hii nyumbv kuanzia msingi,nguzo,beams,roofing na finishing mpaka watu wanaishi humu lazima kuna mjengaji imara na sisi tunamheshimu na kumtukuza maana tunaishi kwenye hiyo nyumba ,yeye atasema tuthibitishe kama hiyo nyumba kuna aliyeijenga kwa kuwa tu hatujamuona na nyumba tumeikuta ikiwa imekamilika kikamilifu au tumejikuta tumezaliwa humo.
 
You are being a skeptic against Profesor Hawking's assertions, which claim to be based on science, as guessing.

Because the subject is unknowable.

But you are not enough of a skeptic.

Because you take the position that, believing that you exist is not guessing.

I can challenge you that, if you want to be a real skeptic, any foundation of your position that you exist is going to have an assumption, and you will not be able to justify all the assumptions.

Therefore, you will not be able to remove guessing from the assertion that you exist.

Aand if you say you exist, and this is not a giess, you will be contradicting yourself.

Because, on the one hand, you will be relegating Professor Hawking's assertions as guesswork - if anything, for a relatively valid reason that he cannot justify all the assumptions taken to reach the conclusion that God does not exists-, while you are actually doing the same thing - you cannot justify all the assumptions taken to reach the conclusion that you exist-

So, you are rejecting Professor Hawking's assertions as guesswork, while deep down, you assert your own existence on a foundation that cannot be verified without doubt, your existence is just as much of guesswork as Professor Hawkings assertion that God does not exist.

Godel's Incompleteness Theorems cover this neatly.

It is also the logic at the core of the nonexistence of God.
God exists but not in a comprehensible form.If God becomes comprehensible then he is not God in his entirety.It is therefore logical to say that human mind has no ability to comprehend the existence of God rather we can only comprehend our own existence to a limited degree.We therefore are correct if we say God does not exist within the limits of our own understanding.
 
Anachotafuta kiranga karibu atakipata.

Mana ametapatapa mpaka kaanzisha uzi ishara ya mtapa tapa
mi naona kiranga anaweza akaona nyumba kubwa ipo sehemu halafu kwa kuwa hamuoni mjengaji akasema hii nyumba lazima itakua imejijenga mwenyewe .na akapambana kutetea hoja yake bila kusema hiyo nyumba imetokeaje bila kuwa na mjengaji.na hata ukimwambia hii nyumbv kuanzia msingi,nguzo,beams,roofing na finishing mpaka watu wanaishi humu lazima kuna mjengaji imara na sisi tunamheshimu na kumtukuza maana tunaishi kwenye hiyo nyumba ,yeye atasema tuthibitishe kama hiyo nyumba kuna aliyeijenga kwa kuwa tu hatujamuona na nyumba tumeikuta ikiwa imekamilika kikamilifu au tumejikuta tumezaliwa humo.
 
mi naona kiranga anaweza akaona nyumba kubwa ipo sehemu halafu kwa kuwa hamuoni mjengaji akasema hii nyumba lazima itakua imejijenga mwenyewe .na akapambana kutetea hoja yake bila kusema hiyo nyumba imetokeaje bila kuwa na mjengaji.na hata ukimwambia hii nyumbv kuanzia msingi,nguzo,beams,roofing na finishing mpaka watu wanaishi humu lazima kuna mjengaji imara na sisi tunamheshimu na kumtukuza maana tunaishi kwenye hiyo nyumba ,yeye atasema tuthibitishe kama hiyo nyumba kuna aliyeijenga kwa kuwa tu hatujamuona na nyumba tumeikuta ikiwa imekamilika kikamilifu au tumejikuta tumezaliwa humo.
Na hapo ndipo inapobidi ukubaliane naye kwamba kama huwezi kuthibitisha uwepo wa mjengaji au kutokuwepo kwake basi wote mko sahihi kwa misimamo yenu mpaka hapo mjengaji atakapokuwepo kuthibitisha hilo bila shaka yoyote.
 
Mungu angekuwepo,(mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) tusingekunya wala kufa.

Tunakunya na kufa kwa sababu Mungu hayupo.

Unaelewa hilo?
Kwanza ww naona huamin km Mungu yupo?hivi ww unaupima uwezo wa Mungu hapo ulipo ni kwa neema za Mungu tu na endelea kuwaamini hao machizi wanaoona mtu alie tengeneza mti wa muembe ujue ni wakati upi uzae na upime kiasi cha sukari ktk matunda yake ni mpuuzi.Kama vitu hivi tuvitumiavo vina wangunduzi ila inapofika kwa binadam unasema hakuumbwa alitokea tu sijui na upupu wa bing bang theory aghaaaa
 
Back
Top Bottom