Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

wote t
Na hapo ndipo inapobidi ukubaliane naye kwamba kama huwezi kuthibitisha uwepo wa mjengaji au kutokuwepo kwake basi wote mko sahihi kwa misimamo yenu mpaka hapo mjengaji atakapokuwepo kuthibitisha hilo bila shaka yoyote.
uko sahihi? yani hata huyo anayesema nyumba inaweza ikajichimba msingi yenyewe hadi ikajipaua yenyewe,huo si uchizi sasa
 
"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
Kwa maneno yake haya tu inatosha kuona kuwa hana UHAKIKA ila ni Imani yake ambayo maswali mengi hana majibu
1. What were these utradense smaller than an atom? Where are they from?
Jicho tu la mtu linatosha kuonyesha lilikuwa designed in completeness. Haliku evolve. How? Ziangalie seli za Retina ile lensi , iris na mfumo wa fahamu utajua kuwa haujaanza kama primitive ili mtu aone
 
With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe "so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work"
Mtu akisimamia huu msimamo anaweza kuwa right ingawa bado ni fumbo hata kwake amekufa bila scientific proof ya kilicho banged. Na kuhusu time kuwa Mungu hakuwepo kwa sabbu muda haukwepo nafkiri hapo ndiyo mwisho wa Hawking thinking inaweza ikawa ndiyo mwanzo wa mystery of God.
 
Watadai ni force of gravity lakini ajabu ni kuwa force hiyo haina nguvu ya kufanya miujiza
Rafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha at least juu ya:
1.consistent theory
2.theory of special relativity
3.The Law of Singularity
4.The big bang theory
5.Laws of contradictions

Kama hivyo vitu hapo juu huna maarifa navyo usijisumbue kupambana na kiranga na ni vyema ukakimbilia kwenye majukwaa ya umbea ili ukajifiche huko!
 
Rafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha juu ya:
1.consistent theory
2.theory of special relativity
3.The Law of Singularity
4.The big bang theory

Kama hivyo vitu hapa juu huna maarifa navyo usijisumbue kupambana na kiranga ni vyema ukakimbilia kwenye majukwaa ya umbea ili ukajifiche huko!
Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni Maimuna
 
"How do you know that you actually exist here and you are not a simulation of some bits of information some billions of light years away?

Tafakari bora ya Siku [emoji41]

Kiranga na profesa wake na wapigiwe makofi tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]

Tunaendelea.........
 
Si kweli mkuu
Rafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha at least juu ya:
1.consistent theory
2.theory of special relativity
3.The Law of Singularity
4.The big bang theory

Kama hivyo vitu hapo juu huna maarifa navyo usijisumbue kupambana na kiranga na ni vyema ukakimbilia kwenye majukwaa ya umbea ili ukajifiche huko!
Sio kweli mkuu.

Hayo yote ni kutaka kufanya ubongo usiwaze nje ya hao walioweka hizo theory.

Kama hao ni binadamu wamewaza hizo theory wakaziweka basi jua wapo wanaoweza kuwaza tofauti na hizo theory pia.

Katika mas'ala haya kiranga kashindwa kuitumia akili yake vyema.
 
Dada yangu asikutishe mtu kuhusu kujadili jambo ambalo fikra yako inaweza kulijadili eti kisa hukupitia elimu fulani na fuani.

Huko ni kukutia uwoga ambao yeye anao juu ya jambo fulani.

Watu wana dhana tofauti kuhusu uwepo wa Mungu kinyume na hizo nadharia
Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni Maimuna
 
Back
Top Bottom