Do you accept that we can at least start by eliminating some God ideas.Mimi si kwamba sitaki kutopata hitimisho juu ya hili jambo.
Au contraire! Nataka sana tu.
But the issue of god’s existence or non existence is a bit different, though.
On the one hand, I acknowledge all of the inconsistencies.
On the other, I’m like hmm...how do we know for certain, though?
The whole thing is a big old mystery that I believe no one has figured it out yet.
So until then, I’ll remain open minded....
I wont wholly dismiss it. But neither am I going to fully accept it.
💯 %.Do you accept that we can at least start by eliminating some God ideas.
Like for example, that you are the omnipotent, omniscient, omni benevolent God who created the universe?
Hayo sio maelezo tu bali ni swali,nimeuliza ni uchunguzi gani uliyofanyika wa kumsaka Mungu na matokeo yakaja hayupo? Kwa sababu wewe unasema tufanye uchunguzi tusitumie imani na ndiyo maana mwishoni nikamalizia na swali la kwamba je wewe umetumia nini kusema hakuna Mungu? Maana hakuna uchunguzi uliyofanywa wa kumtafuta Mungu huko aliko. Sasa ukileta hoja za "kama Mungu angekuwepo sijui hivi mara vile"haziwezi kuwa fact.Ngoja nikusaidie kuweka tena kitu ulichouliza hapa, kama umesahau.
Umeuliza hivi
Jibu ni ndiyo.
Maelezo yote hayo yanajibu swali lako la mwisho "sasa wewe umetumia nini kusema hayupo?
Nakujibu swali ulilouliza halafu hata kusoma jibu hujui?
Hapo kuna haja gani ya kujadiliana nawe?
Nikikuambia usome "Philosophy of Religion:An Anthology" sehemu inayohusu "The Problem of Evil" utaweza?
Soma kitabu hiki naweka attachment kwa kujielimisha zaidi, hususan "PART IV The Problem of Evil page 276"
Basi kwako wewe inawezekana kuamini jambo huku ukijua kabisa kuwa hilo jambo sio kweli,ndio maana unapinga suala mtu kuchukulia anachoamini kuwa ndio fact.Usomi mtupu.
Kuna mtu mmoja, nafikiri ni Cromwell, alisema, anashukuru wasioamini uwepo wa Mungu, kwa sababu kwa kupitia kuwasoma wao, anaimarisha imani yake.
Wwaamini wa kweli wanatakiwa kunishukuru mimi, kama Mungu wao ni wa kweli na yupo, maana ninaweza kuwaimarishia imani zao na kuwafanya wamuelewe zaidi Mungu.
Umesema vizuri kwamba mimi sina tatizo na wanaoamini Mungu. Najua ustaarabu, najua faragha ambayo imani inapewa, ndiyo maana katiba ya Tanzania inatoa uhuru wa kuabudu, na hili si jambo lililo katika katiba ya Tanzania tu, ni jambo lililo katika katiba nyingi sana, ni jambo lililopo hata katika haki za binadamu kama sehemu ya "The Universal Declaration of Human Rights" ya December 10 1948.
Sina tatizo na wanaoamini Mungu yupo. Hawa mtu akiwabana wasiamini atakuwa anaingilia haki zao za msingi za kuamini wanavyotaka. Juzijuzi hapa Rais Kagame wa Rwanda alianza kusema anataka wachungaji wote Rwanda wawe na degree, nikapinga hili kama kuingilia uhuru wa kuamini.
Tatizo langu ni kama ulivyosema, kwamba watu anasisitiza Mungu yupo as a fact, not as an article of faith.
Hapo ndipo tunaangalia logic ya kuwepo huyo Mungu tunaona hai make sense, in fact ina contradiction inayoonesha kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo.
Kwahiyo mkuu unataka kusema kujiamini ndio kufanikiwa au hiyo ni kwako wewe tu?Ulishinda kwasababu ya uwezo,
Hata wenzio nao walisali lkn hawakushinda.
Kama sivyo basi Mungu ni mbaguzi na mpendeleaji, kwanini akuone we ni bora kuliko wengine?
Mimi sijawahi kosa Interview, huwa tunashindwana mshahara tu, lkn sijawahi sali hata siku moja.
Nimefanya interview ya Sekretarieti ya Ajira, nikashinda ila kufika kwenye taasisi husika mshahara wa mbuzi nikaacha.
Sijawahi muomba mungu zaidi ya kujiamini tu.
💯 %.
And let me add this, most of the questions you raise are very valid, by the way.
So far I haven’t seen anyone answer them fully.
You are far too kind.💯 %.
And let me add this, most of the questions you raise are very valid, by the way.
So far I haven’t seen anyone answer them fully.
Kwa mtazamo wa watu wengi wanavyochangia hapa, ni vigumu kama sio haiwezekani kupata majibu ya hayo maswali ya Kiranga.
Kwanza, watu wanamvamia au kumshambulia yeye badala ya hoja zake, wakishafanya hivyo, utulivu wa kutulia kwenye mjadala unapotea ndio unaona mtu hawazi anaandika tu ilimradi aonekane na yeye yupo kwenye ushindani, tunashindwa kuelewa kwamba hapa cha msingi sio nani anashinda ila anateteaje hoja zake.
Kwa upande wangu siwezi kubishana kuthibitisha uwepo wa Mungu. Sana sana ntaelezea kwanini naamini Mungu yupo.
Maneno ya hekima sana.Kwa mtazamo wa watu wengi wanavyochangia hapa, ni vigumu kama sio haiwezekani kupata majibu ya hayo maswali ya Kiranga.
Kwanza, watu wanamvamia au kumshambulia yeye badala ya hoja zake, wakishafanya hivyo, utulivu wa kutulia kwenye mjadala unapotea ndio unaona mtu hawazi anaandika tu ilimradi aonekane na yeye yupo kwenye ushindani, tunashindwa kuelewa kwamba hapa cha msingi sio nani anashinda ila anateteaje hoja zake.
Kwa upande wangu siwezi kubishana kuthibitisha uwepo wa Mungu. Sana sana ntaelezea kwanini naamini Mungu yupo.
Kuwezekana kuwepo kwa mystery kwenye mawazo yetu kuna m contradict Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Kitu au jambo ambalo ni mystery haliwezi kuwa na majibu ya haraka haraka na yaliyonyooka.
Hapa ndiyo umeandika nini mbona hueleweki?Basi kwako wewe inawezekana kuamini jambo huku ukijua kabisa kuwa hilo jambo sio kweli,ndio maana unapinga suala mtu kuchukulia anachoamini kuwa ndio fact.
Mbona nimekujibu kwamba nimetumia logical consistency, na nikakuambia huwezi kukwepa logical consistency, kwa sababu hata unapouliza swali linalotaka jibu unatumia logical consistency?Hayo sio maelezo tu bali ni swali,nimeuliza ni uchunguzi gani uliyofanyika wa kumsaka Mungu na matokeo yakaja hayupo? Kwa sababu wewe unasema tufanye uchunguzi tusitumie imani na ndiyo maana mwishoni nikamalizia na swali la kwamba je wewe umetumia nini kusema hakuna Mungu? Maana hakuna uchunguzi uliyofanywa wa kumtafuta Mungu huko aliko. Sasa ukileta hoja za "kama Mungu angekuwepo sijui hivi mara vile"haziwezi kuwa fact.
Sijaweka neno kufanikiwa hapo mkuu,Kwahiyo mkuu unataka kusema kujiamini ndio kufanikiwa au hiyo ni kwako wewe tu?
Na hakuna anayeamini Mungu huku anajua hayupo.Maneno ya hekima sana.
Na mimi ukishaanza kunielezea kwa nini unaamini Mungu yupo hapo hapo naona kama nina violate haki yako ya kuamini bila kuhojiwa.
As long as unaamini, mimi naona una haki ya kuamini bila maswali.
Sina tatizo kabisa na watu wanaosema wanaamini Mungu yupo.
Hawa wana faragha ya kipekee kuwaruhusu kuamini bila bughudha za maswali yoyote.
Tatizo langu linakuja mtu anaposema anajua as a fact kwamba Mungu yupo.
Akisema hivyo tu, anajiondolea faragha ya imani na anakuja kwenye uwanja wa uthibitisho.
Hoja sio usahihi wa unachokiamini bali ni wewe kusema una tatizo na watu wenye kusema Mungu yupo kama fact ila hauna tatizo na wenye kuamini Mungu yupo. Kama mtu hatakiwi kuchukulia kama fact anachokiamini sasa anaamini ili iweje?Hapa ndiyo umeandika nini mbona hueleweki?
Unaelewa kwamba unaweza kuamini kitu kuwa fact wakati kitu hicho si fact?
Yani hapa nimetoka kuangali video ya muziki ya mtu ambaye anafanya jitihada sana na anajiamini ila hadi leo hajafanikiwa.Sijaweka neno kufanikiwa hapo mkuu,
Pia, Jitihada zako ndio mafanikio yako.
Swali la msingi kabisa ni kwamba kuna uchunguzi uliyofanywa wa kumsaka Mungu na majibu yakaja hayupo? hili ndio swali la kwanza kuuliza kabla ya kukuuliza wewe unatumia nini kusema hakuna Mungu.Mbona nimekujibu kwamba nimetumia logical consistency, na nikakuambia huwezi kukwepa logical consistency, kwa sababu hata unapouliza swali linalotaka jibu unatumia logical consistency?
Umeelewa hapo?
Umesoma hicho kitabu nilichokuwekea "The Philosophy of Religion: An Anthology", hususan kuanzia PART IV The Problem of Evil page 276 ?
Swali lako linaonesha kwamba.Swali la msingi kabisa ni kwamba kuna uchunguzi uliyofanywa wa kumsaka Mungu na majibu yakaja hayupo? hili ndio swali la kwanza kuuliza kabla ya kukuuliza wewe unatumia nini kusema hakuna Mungu.
Kwa sababu wewe umetaka tufanye uchunguzi.