Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

If you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Endelea kupasau kichwa chako kuyajua hayo yote na kujiona smart kuliko wale wote wasiotaka kuamini katika kile unachokiona ni sahihi

Mwisho wa siku mimi na wewe tutakufa na dunia ya watu tutaiacha kama ilivyo
 
Endelea kupasau kichwa chako kuyajua hayo yote na kujiona smart kuliko wale wote wasiotaka kuamini katika kile unachokiona ni sahihi

Mwisho wa siku mimi na wewe tutakufa na dunia ya watu tutaiacha kama ilivyo
Kufa kunaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?
 
Kufa kunaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?
Kwani mtu ukipinga Mungu hayupo au kukaa kimya na unacho kiamini kuna shida gani?

Maana mkuu nakuona furaha yako hapa JF ni kuelezea watu kuwa Mungu hayupo

ISHI MAISHA YAKO..ISHI KATIKA KILE UNACHOKIAMINI...MWISHO WA SIKU UTAKUFA AND LIFE GOES ON KAMA KAWAIDA
 
Swali lako linaonesha kwamba.

1. Ama hunisomi vizuri.
2. Ama unanisoma vizuri lakini hunielewi.
3. Ama unanisoma vizuri na kunielewa vizuri ila una hila na inda za kutaka ubishi tu.

Nimekueleza, mara nyingi sana, na mara ya mwisho nimekuletea mpaka kitabu, nikakuwekea mpaka ukurasa wa kuanza kusoma kuhusiana na "Problem of Evil" hapo juu.

Naweza kuandika sana hoja zangu hapa, lakini kitabu kimeandika vizuri sana kuliko ninavyoweza kuandika mimi.

Nakuuliza, umesoma kitabu?

Kama umeghafilika, hujasoma kitabiu, nakuwekea tena hapa.

Soma "Philosophy of Religion:An Aanthology", hususan kuanzia ukurasa 276 , "PART IV The Problem of Evil"

Soma, halafu tujibizane kisomi baada ya wewe kusoma.

Sio mimi najibizana kisomi baada ya kusoma, mwenzangu unajibizana nami kijingajinga kabla hujasoma.

Mpambano huo hautakuwa sawa.
Hicho kitabu ninacho muda tu,ila swali nililokuuliza hakuna jibu kwenye hicho kitabu.

Hivyo vitabu havina utofauti yani unachokifanya wewe hapa ni sawa yaliyomo kwenye hivyo vitabu.

Hili suala la kuhitimisha kuwa hakuna Mungu mnalichukulia kirahisi sana ndiyo maana unaweza ukaja hapa ukasema Mungu hayupo kisa watu wanakunya,nilishakwambia sana kuna watu wanakubali uwepo wa Mungu ila hizi hoja zenu hazina athari kwao kabisa na huwa wanawaunga mkono hoja zenu ila mnatofautiana kwenye hitimisho kwamba nyie mnahitimisha kwa kuondoa uwepo wa Mungu na wao huishia kwenye dini.

Kama kuna uchunguzi umefanywa wa kumsaka Mungu basi uletwe tujadili.
 
If God is not there then...
1. where did we came from?

2.if its due to spontaneous forces of the universe,where those forces originated from??

3.are those forces still existing or not?? If they are there,why can't they spontaneously create other humans and organisms as before because now organisms come into life only through reproduction!?? If they don't exist,where did they go?
 
Nikikwambia uelezee kwa uchache tu mambo uliyojifunza tofauti tofauti kutoka kwenye vitabu kumi tu,je utaweza?
Nisipoweza ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?

Hujanijibu kama umesoma kitabu nilichokuwekea hapa.
 
If God is not there then...
1. where did we came from?

2.if its due to spontaneous forces of the universe,where those forces originated from??

3.are those forces still existing or not?? If they are there,why can't they spontaneously create other humans and organisms as before because now organisms come into life only through reproduction!?? If they don't exist,where did they go?
How do you know the premise of question 3 is correct?

How do you know a baby born today is not created by God but by some forces -not necessarily spontaneous- that we do not understand, but that is not God?

Why is the whole thing limited to spontaneous forces on one hand and God on the other? Isn't this rather narrow?

Is it not possible that the answer could be neither?
 
Na kuwa hai nako kunaonesha nini? Ushafikiri hilo?
Kuwa hai katika ulimwengu ambao una kifo kunaonesha Mingu mjuzi wa yote, mwenye uwezobwote na upendo wote hayupo.

Naomba nitumie mfano mchafu kufikisha ujumbe safi.

Nikikojoa nusu lita, nikachukua maji safi nusu lita, nikachanganya mkojo wangu nusu lita na maji safi nusu lita, halafu nikakwambia kunywa maji safi nusu lita, yaliyochanganyika na mkoji wangu nusu lita, halafu ukakubali kunywa maji yaliyochanganyika na mkojo wangu, nusu kwa nusu, kwa namna ambayo huwezi kutenganisha mkojo na maji, ukahalalisha kunywa mkojo na maji ukisema "lakini nakunywa maji safi nusu lita" huku unajisahaulisha kwamba maji hayo yamechanganyika nusu kwa nusu na mkojo, utakuwa mpumbavu sana.

Mpumbavu sana.

Mpumbavu saaaanaaaa tu.
 
If God is not there then...
1. where did we came from?

2.if its due to spontaneous forces of the universe,where those forces originated from??

3.are those forces still existing or not?? If they are there,why can't they spontaneously create other humans and organisms as before because now organisms come into life only through reproduction!?? If they don't exist,where did they go?
Brilliant!
 
Nisipoweza ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?

Hujanijibu kama umesoma kitabu nilichokuwekea hapa.
Hapa hatujadili vitabu sasa kama unataka kujadili vitabu sema tujue kabisa tunajadili vitabu na hapo ndio suala la kusoma au kutokusoma kitabu fulani litakuwa na maana,lakini sio kuacha kujadiliana kisa sijasoma kitabu fulani sijui cha nani.

Wewe kama umesoma kitabu na ukaongeza maarifa basi hapa ndio sehemu ya kuonesha hayo maarifa maana tuna mitazamo tofauti na sio kushindana kusoma au kutosoma vitabu.

Halafu mie nimekuuliza tu au nimekuomba ueleze kwa ufupi mambo tofauti uliyojifunza kutoka kwenye vitabu kumi tu.
 
Kuwa hai katika ulimwengu ambao una kifo kunaonesha Mingu mjuzi wa yote, mwenye uwezobwote na upendo wote hayupo.

Naomba nitumie mfano mchafu kufikisha ujumbe safi.

Nikikojoa nusu lita, nikachukua maji safi nusu lita, nikachanganya mkojo wangu nusu lita na maji safi nusu lita, halafu nikakwambia kunywa maji safi nusu lita, yaliyochanganyika na mkoji wangu nusu lita, halafu ukakubali kunywa maji yaliyochanganyika na mkojo wangu, nusu kwa nusu, kwa namna ambayo huwezi kutenganisha mkojo na maji, ukahalalisha kunywa mkojo na maji ukisema "lakini nakunywa maji safi nusu lita" huku unajisahaulisha kwamba maji hayo yamechanganyika nusu kwa nusu na mkojo, utakuwa mpumbavu sana.

Mpumbavu sana.

Mpumbavu saaaanaaaa tu.
Nimeuliza kuwa hai kunaonesha nini? ushajibu kuwa kifo kinaonesha hakuna Mungu,sasa mie nataka kujua na uhai unaonesha nini?
 
Even if Stephen Hawking is all the things you said.

That does not prove God exists.

The logic that disputes the existence of God was established thousands of years before Stephen Hawking was born.

The very fact that you are defending a God who cannot defend himself shows that that Gid does not exist.

Prove God exists.

Back to my posts on page 15:
First of all, Yes, Steven Hawking wasn't the first to establish that God does not exist, the logics has been there for years. And we do get those ideas from some books written earlier.
Then my preposition to counters what Steven Hawking's hypothesis that shows God does exist is based on what others scientists have also proven after wondering through the Universe and some testing done in the laboratories. when we talk about BIG BANG theory, EXPANSION OF THE UNIVERSE and the Ultimate end of the Universe - BIG CRUNCH theories is something that has been tested and proven true through Hubble space station.

Let me give you example: If you are standing between two mountains and shout, you will here repeating voices that keep running for some time until it disappears. That's how the Hubble space came to reveal about the echoing of the big Bang and spontaneous expansion as the result of the Bang.

Now you questions comes here Kiranga: God the Almighty should defend himself!!!

Since your denials based on some books written by human beings I will present with you a divine book - the Holy Qur'an.

Here is the Answer:

1. Surat Al-Ambiyaa 21: 30: God explains the origin of the universe and He Himself caused the Bang and ascribe every living things to depend on water.
2. Surat Al-Ambiyaa 21:104: God explains the ultimate End of the Universe - The Big Crunch and that He will be the one to cause it as a must and ordained to Him and only to Him.

So He has Defended Himself! Logically proved 100%.

NOTE: Qur'an is not the Book of science but a Divine book from he Almighty God.
 
Back to my posts on page 15:
First of all, Yes, Steven Hawking wasn't the first to establish that God does not exist, the logics has been there for years. And we do get those ideas from some books written earlier.
Then my preposition to counters what Steven Hawking's hypothesis that shows God does exist is based on what others scientists have also proven after wondering through the Universe and some testing done in the laboratories. when we talk about BIG BANG theory, EXPANSION OF THE UNIVERSE and the Ultimate end of the Universe - BIG CRUNCH theories is something that has been tested and proven true through Hubble space station.

Let me give you example: If you are standing between two mountains and shout, you will here repeating voices that keep running for some time until it disappears. That's how the Hubble space came to reveal about the echoing of the big Bang and spontaneous expansion as the result of the Bang.

Now you questions comes here Kiranga: God the Almighty should defend himself!!!

Since your denials based on some books written by human beings I will present with you a divine book - the Holy Qur'an.

Here is the Answer:

1. Surat Al-Ambiyaa 21: 30: God explains the origin of the universe and He Himself caused the Bang and ascribe every living things to depend on water.
2. Surat Al-Ambiyaa 21:104: God explains the ultimate End of the Universe - The Big Crunch and that He will be the one to cause it as a must and ordained to Him and only to Him.

So He has Defended Himself! Logically proved 100%.

NOTE: Qur'an is not the Book of science but a Divine book from he Almighty God.
The Quran cannot be Gods book, since it has so many contradictions.

Do you realize that?

Contradictions / Difficulties in the Qur'an

Internal Contradictions:
  1. Who suffers loss if Muhammad was wrong? Sura 34:50 commands Muhammad to say, "If I go astray, I go astray only to my own loss," which is a severe factual error in the Qur'an as well as contradicting the teaching of the Qur'an in a number of other verses.
  2. Allah, Adam, and the Angels. There are a great number of problems and inconsistencies between the several accounts of Adam's creation, Allah's command to prostrate before Adam, Satans refusal, etc.
  3. Who Was the First Muslim? Muhammad [6:14, 163], Moses [7:143], some Egyptians [26:51], or Abraham [2:127-133, 3:67] or Adam, the first man who also received inspiration from Allah [2:37]?
  4. Can Allah be seen and did Muhammad see his Lord? Yes [S. 53:1-18, 81:15-29], No [6:102-103, 42:51].
  5. Were Warners Sent to All Mankind Before Muhammad? Allah had supposedly sent warners to every people [10:47, 16:35-36, 35:24], Abraham and Ishmael are specifically claimed to have visited Mecca and built the Kaaba [2:125-129]. Yet, Muhammad supposedly is sent to a people who never had a messenger before [28:46, 32:3, 34:44, 36:2-6]. This article also raises other issues: What about Hud and Salih who supposedly were sent to the Arabs? What about the Book that was supposedly given to Ishmael? Etc.
  6. What will be the food for the people in Hell? The food for the people in Hell will be only "Dhari" [Sura 88:6], or only foul pus from the washing of wounds [S. 69:36], or will they also get to eat from the tree of Zaqqum [S. 37:66]? Together, these verses constitute three contradictions.
  7. Can Angels Cause the Death of People? The Qur'an attacks those who worship anyone besides God (e.g. angels or prophets) because those can neither create, nor give life, nor cause anyone to die. Yet, the Qur'an explicitly states that one angel or several angels are causing certain people to die [Sura 4:97, 16:28, 32, 32:11].
  8. Confusion Concerning Identity of the Spirit and Gabriel (a long discussion of dozens of references)
  9. 'Iddah rules for divorced and widowed women appear to be arbitrary and inconsistent.
  10. Is there a minimum age of marriage for girls?
  11. To Marry or Not to Marry? The Qur'an forbids believers to marry idolatrous women [Sura 2:221], and calls Christians idolaters and unbelievers [9:28-33], but still allows Muslims to marry Christian women [5:5].
  12. Will it be accepted of them or not?
  13. Will Allah reward the good deeds of Unbelievers? S. 9:17 and 9:69 clearly say no. However, S. 99:7 implies yes. Moreover, S. 2:62 promises Christians reward for their good deeds. But S. 9:28-33; 5:17, 72-73 calls Christians idolaters, and S. 9:17 is very clear that idolaters will have no reward.
  14. Should Muslims Accept Peace or Not?
  15. Fighting All People Until They Do What?
  16. Compel them or Not?
  17. Can They Disbelieve in the Last Day and be Safe?
  18. Should Muslims show kindness to their parents? On the one hand, the Quran commands all Muslims to show kindness to their parents, even if they are disbelievers [17:23-24, 31:14-15, 29:8, etc.]. On the other hand, it demands not to show any love or friendship to those who oppose Muhammad, even if they are their parents [9:23, 58:22].
  19. Can one be a believer in God and oppose Muhammad at the same time?
  20. How many mothers does a Muslim have? Only one [58:2, the woman who gave birth and none else], or two [4:23, including the mother who nursed him], or at least ten [33:6]?
  21. And it just doesn't add up: Sura 4:11-12 and 4:176 state the Qur'anic inheritance law. When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife [4:12] which adds up to more than the available estate. A second example: A man leaves only his mother, his wife and two sisters, then they receive 1/3 [mother, 4:11], 1/4 [wife, 4:12] and 2/3 [the two sisters, 4:176], which again adds up to 15/12 of the available property.
  22. How many angels were talking to Mary? When the Qur'an speaks about the announciation of the birth of Jesus to the virgin Mary, Sura 3:42,45 speaks about (several) angels while it is only one in Sura 19:17-21. (This article has received many Muslim responses which are quoted or linked and/or discussed at the end of the article.)
  23. Further numerical discrepancies Does Allah's day equal to 1,000 human years (Sura 22:47, 32:5) or 50,000 human years (Sura 70:4)? --- According to Sura 56:7 there will be THREE distinct groups of people at the Last Judgement, but 90:18-19, 99:6-8, etc. mention only TWO groups. --- There are conflicting views on who takes the souls at death: THE Angel of Death [32:11], THE angels (plural) [47:27] but also "It is Allah that takes the souls (of men) at death." [39:42] Angels have 2, 3, or 4 pairs of wings [35:1]; but Gabriel had 600 wings. [Sahih Bukhari, Volume 4, Book 54, Number 455]
  24. How many days did Allah need to destroy the people of Aad? One day [54:19] or several days [41:16; 69:6,7]
  25. Six or eight days of creation? Sura 7:54, 10:3, 11:7, and 25:59 clearly state that God created "the heavens and the earth" in six days. But in 41:9-12 the detailed description of the creation procedure adds up to eight days. (This topic also includes many Muslim responses and further discussion.)
  26. Quick or Slow Creation? Allah creates the heavens and the earth in six days [7:54] and many Muslims want to be modern and scientific, and make that six eons, but then again, He creates instantaneously [2:117], "Be! And it is".
  27. Heavens or Earth? Which was created first? First earth and then heaven [2:29], heaven and after that earth [79:27-30].
  28. Calling together or ripping apart? In the process of creation heaven and earth were first apart and are called to come together [41:11], while 21:30 states that they were originally one piece and then ripped apart.
  29. What was man created from? A blood clot [96:1-2], water [21:30, 24:45, 25:54], "sounding" (i.e. burned) clay [15:26], dust [3:59, 30:20, 35:11], nothing [19:67] and this is then denied in 52:35, earth [11:61], a drop of thickened fluid [16:4, 75:37]
  30. What were jinn created from?
  31. The descent of the Quran: Piecemeal or all at once?
  32. Examining the inherent problems with the descent of the Quran
  33. Is half the Quran already fully detailed?
  34. Fully Detailed Or Incomplete? The Qur'an claims for itself to be (fully) detailed, that nothing is left out of the book [6:38, 6:114, 12:111, 16:89 etc.]. However there are plenty of important issues which are left unclear in the Qur'an. This article discusses the confusion found in the quranic statements on wine.
  35. Is the Quran Completely Clear or Not?
  36. The Perspicuity of the Quran and It’s Mysterious Letters
  37. Worshiping the Same or a Different God? Muhammad is commanded to speak to the disbelievers: ... nor do you worship what I worship [109:3]. However, other verses in the Qur'an state clearly that those disbelieving his message are in fact worshiping the same God, Allah.
  38. Did the Meccan Polytheist Believe That Allah Was The Supreme Being?
  39. To Intercede or Not To Intercede? - That is the Question! The Qur'an makes contradictory statements whether on the Day of Judgment intercession will be possible. No: [2:122-123, 254; 6:51; 82:18-19; etc.]. Yes: [20:109; 34:23; 43:86; 53:26; etc.]. Each position can be further supported by ahadith.
  40. How the Islamic Doctrine of Intercession undermines Allah's Omniscience
  41. Where is Allah and his throne? Allah is nearer than the jugular vein [50:16], but he is also on the throne [57:4] which is upon the water [11:7], and at the same time so far away, that it takes between 1,000 and 50,000 years to reach him [32:5, 70:4].
  42. The origin of calamity? Is the evil in our life from Satan [38:41], Ourselves [4:79], or Allah [4:78]?
  43. How merciful is Allah's mercy? He has prescribed mercy for himself [6:12], yet he does not guide some, even though he could [6:35, 14:4].
  44. Does Allah command to do evil? No [7:28, 16:90]. Yes [17:16, ]. Two examples are also given, where Allah clearly commanded or permitted indecent actions [2:229-230, 2:187].
  45. Should Muhammad Get Paid Or Shouldn’t He?
  46. A Contradiction Regarding Muhammad's Fatherhood
  47. Will there be inquiry in Paradise? "neither will they question one another" [23:101] but nevertheless they will be "engaging in mutual inquiry" [52:25], "and they will ... question one another" [37:27].
  48. Are angels protectors? "NO protector besides Allah" [2:107, 29:22]. But in Sura 41:31 the angels themselves say: "We are your protectors in this life and the Hereafter." And also in other suras is their role described as guarding [13:11, 50:17-18] and protecting [82:10].
  49. Is Allah the only Wali? On the one hand, Allah is supposedly the only wali (protector, helper, friend) [9:116, 17:111, 32:4, 42:28], on the other hand, the messenger and the believers are walis [5:55, 9:71], Allah has walis [10:62], and he raises walis [4:75].
  50. Does Allah Act Alone Or Does He Have Partners That Assist Him?
  51. Is Allah the Only Judge or Not?
  52. Is Allah the only sovereign or isn’t he?
  53. Are all obedient and prostrating to Allah? That is the claim in 16:49 and 30:26, but dozens of verses speak of the proud disobedience of Satan [7:11, 15:28-31, 17:61, 20:116, 38:71-74, 18:50] as well of many different human beings who reject His commands and His revelations.
  54. Does Allah forgive shirk? Shirk is considered the worst of all sins, but the author of the Qur'an seems unable to decide if Allah will ever forgive it or not. No [4:48, 116], Yes [4:153, 25:68-71]. Abraham committed this sin of polytheism as he takes moon, sun, stars to be his Lord [6:76-78], yet Muslims believe that all prophets are without any sin.
  55. Abraham and the Sun
  56. Abraham's Monotheism
  57. Abraham's Progeny? How the Qur'an messed up Abraham's family tree
  58. Did All Prophets Receive the Same Book?
  59. The event of worship of the golden calf: The Israelites repented about worshipping the golden calf BEFORE Moses returned from the mountain [7:149], yet they refused to repent but rather continued to worship the calf until Moses came back [20:91]. Does Aaron share in their guilt? No [20:85-90], yes [20:92, 7:151].
  60. Was Jonah cast on the desert shore or was he not? "Then We cast him on a desert shore while he was sick" [37:145] "Had not Grace from his Lord reached him, he would indeed have been cast off on the naked shore while he was reprobate." [68:49]
  61. Moses and the Injil? Jesus is born more than 1,000 years after Moses, but in 7:157 Allah speaks to Moses about what is written in the Injil [the book given to Jesus].
  62. Can slander of chaste women be forgiven? Yes [24:5], No [24:23].
  63. How do we receive the record on Judgment Day? On Judgement day the lost people are given the Record (of their bad deeds): Behind their back [84:10], or in their left hand [69:25].
  64. Can angels disobey? No angel is arrogant, they all obey Allah [16:49-50], but: "And behold, we said to the ANGELS: 'Bow down to Adam'. And THEY bowed down, EXCEPT Iblis. He refused and was haughty." [2:34]. This article includes links to answers to four Muslim responses.
  65. How many wings does an angel have? Angels have 2, 3, or 4 wings [35:1]; but Gabriel had 600 wings according to Sahih al-Bukhari.
  66. Is Satan an angel or a jinn?
  67. Three contradictions in 2:97 and 16:101-103 Who brings the revelation from Allah to Muhammad? The ANGEL Gabriel [2:97], or the Holy Spirit [16:102]? The new revelation confirms the old [2:97] or substitutes it [16:101]? The Qur'an is PURE Arabic [16:103] but there are numerous foreign, non-Arabic words in it.
  68. Do not say, "Three"!? It is impossible to recite Sura 4:171 without transgressing the command contained in it.
  69. The infinite loop problem Sura 26:192,195,196: "It (the Qur'an) is indeed a revelation from the Lord of the Worlds, ... in clear Arabic speech and indeed IT (the Qur'an) is in the writings of the earlier (prophets)." Now, the 'earlier writings' are the Torah and the Injil for example, written in Hebrew and Greek. HOW can an ARABIC Qur'an be contained in books of other languages? Furthermore, it would have to contain this very passage of the Qur'an since the Qur'an is properly contained in them. Hence these earlier writings have to be contained in yet other earlier writings and we are in an infinite loop, which is absurd.
  70. Is the Torah like the Qur'an, or is it not? The Muslim claim of the corruption of the Bible leads to a contradiction between S. 2:24 and 17:88 on the one hand, and 28:49 and 46:10 on the other.
  71. Should Jews and Christians follow the Bible or the Quran?
  72. "An old woman" and God's character About the story of Lot: "So we delivered him and his family, - all exept an old woman who lingered behind." [Sura 26:170-171] And again: "But we saved him and his family, exept his wife: she was of those who lagged behind. [Sura 7:83]. Either this is a contradiction or if indeed Lot's wife is derogatorily called "an old woman" then this does not show much respect for her as a wife of a prophet.
  73. More problems with the story of Lot "And his people gave NO answer but this: They said, "Drive them out of your city: these are indeed men who want to be clean and pure!" [Sura 7:82 & 27:56]. Yet: "But his people gave NO answer but this: They said: "Bring us the Wrath of Allah if thou tellest the truth." [Sura 29:29]. Obviously these answers are different.
  74. The "pleasure" of Allah? Is God's action of punishment or mercy and guidance or misguidance arbitrary?
  75. Did Abraham smash the idols? The accounts of Abraham, Suras 19:41-49, 6:74-83 differ quite a bit from Sura 21:51-59. While in Sura 21 Abraham confronts his people strongly, and even destroys the idols, in Sura 19 Abraham shuts up after his father threatens him to stone him for speaking out against the idols. And he seems not only to become silent, but even to leave the area ("turning away from them all").
  76. What about Noah's son? According to Sura 21:76, Noah and his family is saved from the flood, and Sura 37:77 confirms that his seed survived. But Sura 11:42-43 reports that Noah's son drowns.
  77. Was Noah driven out? "Before them *the people of Noah* rejected (their messenger): They rejected Our servant and said, 'Here is One possessed!' And he was driven out." [Sura 54:9] Now, if he is driven out [expelled from their country] how come they can scoff at him while he is building the ark since we read "Forthwith he (starts) constructing the Ark: Every time that the Chiefs of *his people* passed by him, they threw ridicule on him." [Sura 11:38] He cannot be both: Driven out and near enough that they can regularly pass by.
  78. Pharaoh's Magicians: Muslims or Rejectors of Faith? Did the Magicians of Pharaoh, Egyptians, become believers in the God of Moses [7:103-126; 20:56-73; S. 26:29-51] or did only Israelites believe in Moses [10:83]?
  79. How many gods did the Egyptians worship?
  80. Pharaoh's repentance in the face of death? According to Sura 10:90-92, Pharaoh repented "in the sight of death" and was saved. But Sura 4:18 says that such a thing can't happen.
  81. Abrogation? "The words of the Lord are perfect in truth and justice; there is NONE who can change His words." [Sura 6:115] Also see 6:34 and 10:64. But then Allah (Muhammad?) sees the need to exchange some of them for "better ones" [Sura 2:106, 16:101]. And it is not for ignorant people to question Allah because of such practices!
  82. Guiding to truth? "Say: 'God - He guides to the truth; and which is worthier to be followed ...?" [Sura 10:35] But how much is left over of this worthiness when we also read: "Allah leads astray whom he pleases, and he guides whom He pleases, ..." [Sura 14:4]. And how do we know in which of Allah's categories of pleasure we fall? How sure can a Muslim be that he is one of those guided right and not one of those led astray?
  83. What is the punishment for adultery? Flogging with a 100 stripes (men and women) [24:2], "confine them to houses until death do claim them (lifelong house arrest - for the women) [4:15]. For men: "If they repent and amend, leave them alone" [4:16]. 24:2 contradicts both the procedure for women and men in Sura 4. And why is the punishment for women and men equal in Sura 24 but different in Sura 4?
  84. How are the sexually immoral supposed to be punished?
  85. The Problem of Divine Sovereignty, Predestination, Salvation and Human Free Will
  86. Who suffers the consequence of sins? The Qur'an declares that everyone will be held responsible only for his own sins [S. 17:13-15, 53:38-42]. Yet, the Qur'an accuses the Jews of Muhammad's day for the sins committed some 2000 years earlier by other Jews, e.g. worshipping the Golden Calf idol.
  87. Will Christians enter Paradise or go to Hell? Sura 2:62 and 5:69 say "Yes", Sura 5:72 (just 3 verses later) and 3:85 say "No".
  88. God alone or also men? Clear or incomprehensible? The Qur'an is "clear Arabic speech." [16:103] Yet "NONE knows its interpretation, save only Allah." [3:7]. Actually, "men of understanding do grasp it." [3:7]
  89. Was Pharaoh Drowned or Saved when chasing Moses and the Israelites? Saved [10:92], drowned [28:40, 17:103, 43:55].
  90. When Commanded Pharaoh the Killing of the Sons? When Moses was a Prophet and spoke God's truth to Pharaoh [40:23-25] or when he was still an infant [20:38-39]?
  91. When/how are the fates determined? "The night of power is better than a thousand months. The angels and spirit descend therein, by the permission of their Lord, with all decrees." [97:3,4] "Lo! We revealed it on a blessed night." [44:3] To Muslims, the "Night of Power" is a blessed night on which fates are settled and on which everything relating to life, death, etc., which occurs throughout the year is decreed. It is said to be the night on which Allah's decrees for the year are brought down to the earthly plane. In other words, matters of creation are decreed a year at a time. Contradicting this, Sura 57:22 says, "No affliction befalls in the earth or in your selves, but it is in a Book before we create it." This means it is written in the Preserved Tablet, being totally fixed in Allah's knowledge before anyone was created. All of the above is contradicted by "And every man's fate We have fastened to his own neck." This says that man alone is responsible for what he does and what happens to him. [17:13]
  92. Wine: Good or bad? Strong drink and ... are only an infamy of Satan's handiwork. [5:90, also 2:219]. Yet on the other hand in Paradise are rivers of wine [47:15, also 83:22,25]. How does Satan's handiwork get into Paradise?
  93. Good News of Painful Torture? Obviously, announcing torment and suffering to anyone is bad news, not good news. However, the Qur'an announces the good news of painful torment [3:21, 4:138, 9:3, 9:34, 31:7, 45:8, and 84:24].
  94. Jinns and men created for worship or for Hell? Created only to serve God [Sura 51:56], many of them made for Hell [Sura 7:179].
  95. Preferred for Hell? S. 17:70 says that Allah prefers (all) the children of Adam over many of his creatures, but S. 98:6 declares the majority of men to be the worst of creatures, many of them being even created specifically for Hell (S. 7:179).
  96. Will people stay in Hell forever, or not?
  97. Will all Muslims go to Hell? According to Sura 19:71 every Muslim will go to Hell (for at least some time), while another passage states that those who die in Jihad will go to Paradise immediately.
  98. Will Allah disgrace Muslims? On the day of judgment Allah will not humiliate or disgrace the Prophet and those who believe in him [S. 66:8]. However, 19:71 says that everyone will enter Hell, and 3:192 states that whomsoever Allah sends to Hell, is disgraced thereby.
  99. Will Jesus burn in Hell? Jesus is raised to Allah, [Sura 4:158], near stationed with him [Sura 3:45], worshiped by millions of Christians, yet Sura 21:98 says, that all that are worshiped by men besides Allah will burn in Hell together with those who worship them.
  100. Is Jesus God or Not? In Sura 16:17, 20-21 and S. 25:3 we find a criterion to distinguish the true God from false gods. Yet, according to S. 3:49, 55, 4:157-158, 5:110, 6:2, and 38:71-72 Jesus satisfies the definition and should be considered true Deity.
  101. Is Jesus Like Adam? S. 3:59 makes this claim, but how many aspects of likeness are there really?
  102. Can there be a son without a consort? Allah cannot have a son without a consort [Sura 6:101], but Mary can have a son without a consort because that is easy for Allah [Sura 19:21].
  103. Who is the father of Jesus? A more involved argument that is difficult to summarize in one sentence.
  104. Begetting and Self-sufficiency A self-contradiction on account of confused terminology.
  105. Could Allah have a son? Sura 39:4 affirms and Sura 6:101 denies this possibility.
  106. Did Jesus Die already? Sura 3:144 states that all messengers died before Muhammad. But 4:158 claims that Jesus was raised to God (alive?).
  107. One Creator or many? The Qur'an uses twice the phrase that Allah is "the best of creators" [23:14, 37:125]. What other creators are in mind? On the other hand, many verses make clear that Allah alone is "the creator of all things" [e.g. 39:62]. There is nothing left for others to be a creator of.
  108. From among all nations or from Abraham's seed? Sura 29:27 states that all prophets came Abraham's seed. But 16:36 claims that Allah raised messengers from among every people.
  109. Marrying the wives of adopted sons? It is important that Muslims can marry the divorced wives of adopted sons [Sura 33:37], yet it is forbidden to adopt sons [Sura 33:4-5].
  110. Messengers were never sent to other than their own people? So it is claimed in Sura 14:4 and 30:47. However, the Bible and the Qur'an, and the Muslim traditions confirm that Jonah was sent to a different nation.
  111. Messengers Were Sent Only to Their Own People? Sura 14:4 states that never was a messenger sent except in the language of his own people. Yet, the Quran itself claims that Jesus is supposed to be a sign to all people, that the Torah and Gospel are for all people, that Moses was sent to Pharaoh of Egypt, and that Muhammad is sent to all of mankind. The hadith also claim that Noah was sent to "the inhabitants of the earth".
  112. Did Allah give a Greek Injil to the Jews?
  113. What kind of book is the Injil?
  114. Messengers Amongst the Jinns and Angels? Allah sent only men as messengers [Suras 12:109, 21:7-8, 25:20-21] but there seemingly are messengers from Jinns and Angels [6:130; 11:69,77; 22:75; etc., see article for details].
  115. Do all of God's messengers eat food?
  116. A Messenger from among the beasts? Allah sent only men as messengers [Suras 12:109, 21:7-8, 25:20-21]. Yet, the Qur'an also speaks about a beast that is a messenger from Allah to men [S. 27:82].
  117. Is Muhammad Only A Warner or a Prophet/Messenger?
  118. Did the Messengers Perform Miracles?
  119. Divinely Inspired Ignorance?
  120. Which Prophets Did the Jews Kill?
  121. Another eleven contradictions...
Further:



Further pages with Muslim responses:

  • A summary response to (some of items) above
  • Misha'al Al-Kadhi's response titled "Does the Word of God in the Noble Qur'an Contain Contradictions?" He never informed me that he was writing about me ... Maybe he hoped that as long as I don't know about it he will not be refuted? Carefully compare my reasoning and his reply, since many times he only responds to the short abstract given on this page, without paying any attention to the detailed discussion of each of these contradictions, found when one follows the given links.
  • The same approach was taken by Laaman Ball in his Response to Internal Contradictions which prompted my question in return.
  • Some interesting responses from the sectarian Qur'an Only camp: [*]
  • Osama Abdallah also put together a number of responses [*]
  • Answering Islam's Critics is Shabir Ally's new page in response to the Qur'an Contradictions. Having just written a response to only the first entry above, he already claims they are all invalid. That seems somewhat premature to us.


External Contradictions:



  1. Introductory question
    Science:
  2. Solomon listening to ants? In Sura 27:18-19 Solomon overhears a "conversation of ants".
    Is this possible based on our knowledge about the mode and complexity of ant communication?
  3. The stars and the moon The Qur'an teaches that there are seven heavens one above the other [67:3, 71:15], and that the stars are in the lower heaven [67:5, 37:6, 41:12], but the moon is depicted as being in/inside the seven heavens [71:16], even though in reality the stars are much further away from the earth than the moon.
  4. Qur'an and Science: Section Four in Dr. Campbell's book
  5. Qur'an and Embryology
  6. Can non-living matter think, feel and have a will?
  7. The human embryonic development
  8. The place of Sun rise and Sun set
  9. The Seven Earths
  10. Stars created to be thrown at devils?
  11. Sun and moon are subject to man?
  12. Mountains and Earthquakes
  13. The impossible conversation
  14. Solomon and the animals...
  15. Allah's forgotten creatures
  16. Shaking the trunk of the palm tree?
  17. Thinking with the breasts?
  18. All things are made in pairs? Sura 51:49 claims that everything is created in pairs. But this is not true! There are quite a number of things that have no counterpart and species where only one gender exists.
  19. Are Fruits Male and Female?
  20. History:
  21. The Qur'an Attacks ... Christianity?
  22. Selling Joseph for a few Dirhams? (before coins were even invented)
  23. Moses and the Samaritan?
  24. The farthest Mosque?
  25. Alexander the Great, a Muslim?
  26. None else was named "John" before John the Baptist?
  27. Two Pharaohs who crucified?
  28. Burnt bricks in Egypt?
  29. How many gods did the Egyptians worship?
  30. Israel, the Quran and the Promised Land
  31. Were they utterly destroyed?
  32. What kind of book is the Injil?
  33. Jesus was not crucified?
  34. The anachronistic title al-`Aziz given to Potiphar [with special gratitude to Islamic Awareness for making such a big deal about a minor point on a defunct web page, and forcing the issue into public attention.]


The Qur'an in Contradiction to the Earlier Revelations:

Ultimately, the strongest, most serious problem of the Qur'an is that it affirms the scriptures of the Jews and the Christians as authentic and true revelation from God (cf. what the Qur'an says about the Bible), while radically denying central aspects of their message, e.g. the core themes of sacrifice and atonement in the Torah, the crucifixion of Jesus, the deity of Jesus and even the mere messianic title "Son of God" for Jesus, the very nature of God, the fall and the sinfulness of man (*, *), necessity and means of salvation, etc. For this reason Muslims had to invent the unwarranted theory of corruption of the earlier scriptures, even against the clear testimony of the Qur'an itself.

In the following some smaller discrepancies between the Qur'an and the scriptures it supposedly confirms.


  1. Historical Compressions:
  2. Saul, David, Gideon and Goliath
  3. A Samaritan tempting the Israelites in Moses time?
  4. Prophets and Kings in Israel before the time of Moses?
  5. Moses and the Gospel?
  6. Punishment for future disobedience?
  7. Mary, the sister of Aaron?
  8. Pharaoh and Haman?
  9. A Pharaoh Who Forgot to Die in Time?
  10. Was there a second period of slaying the sons of the Israelites?
  11. Moses or Jacob?
  12. Did Joseph's parents go to Egypt?
  13. Abraham's name
  14. Abraham and Solomon
  15. Other contradictions in comparison to the Bible:
    Introductory remark
  16. Did God teach Adam the names of the animals?
  17. Noah's Age
  18. Were Believers Really Called Muslims Before the Time of Muhammad?
  19. The Quran’s Mistakes regarding the Biblical Patriarchs
  20. Who Adopted Moses: Pharaoh’s Daughter or Pharaoh’s Wife?
  21. Adoption by Adaption analyzes various discrepancies inf the quranic version of the stories of Moses and Joseph.
  22. A Flood in the time of Moses?
  23. Israel, the Quran and the Promised Land
  24. The Quran, Moses and the Tablets of Stone
  25. Solomon Working with Demons
  26. Israel's Response to the Covenant: ‘We Obey’ or ‘We Disobey’?
  27. Where is the Blood?
  28. Divinely Inspired Ignorance?
  29. Which Prophets Did the Jews Kill?
  30. What kind of book is the Injil?
  31. Animal sacrifices for Christians?
  32. Why did the Queen of Sheba come to Solomon?
  33. Ezra the Son of God?
  34. Jesus reached old age?
  35. Did the golden calf say 'Moo'?
  36. Did disobedience result in extra commandments?
  37. How many messengers were sent to Noah's people?
    Further discussion: Who are those messengers that were rejected by Noah's people?
  38. The Progeny of Abraham?
  39. Two young men?
  40. How many wings does an angel have?


 
Kwani mtu ukipinga Mungu hayupo au kukaa kimya na unacho kiamini kuna shida gani?

Maana mkuu nakuona furaha yako hapa JF ni kuelezea watu kuwa Mungu hayupo

ISHI MAISHA YAKO..ISHI KATIKA KILE UNACHOKIAMINI...MWISHO WA SIKU UTAKUFA AND LIFE GOES ON KAMA KAWAIDA
Unataka kunipangia kuishi maisha yangu?

Hapa tuna kaulimbiu kwamba we dare to talk openly.

Mimi narekebisha uongo.

Habari ya kuwepo kwa Mungu ni uongo.

Uongo unaleta mabaya mengi sana.

Naurekebisha.

Nikikwambia wewe una tatizo gani mimi ninapoumulika uongo?

Unapenda kufuga uongo?
 
Hicho kitabu ninacho muda tu,ila swali nililokuuliza hakuna jibu kwenye hicho kitabu.

Hivyo vitabu havina utofauti yani unachokifanya wewe hapa ni sawa yaliyomo kwenye hivyo vitabu.

Hili suala la kuhitimisha kuwa hakuna Mungu mnalichukulia kirahisi sana ndiyo maana unaweza ukaja hapa ukasema Mungu hayupo kisa watu wanakunya,nilishakwambia sana kuna watu wanakubali uwepo wa Mungu ila hizi hoja zenu hazina athari kwao kabisa na huwa wanawaunga mkono hoja zenu ila mnatofautiana kwenye hitimisho kwamba nyie mnahitimisha kwa kuondoa uwepo wa Mungu na wao huishia kwenye dini.

Kama kuna uchunguzi umefanywa wa kumsaka Mungu basi uletwe tujadili.
Hujasoma hicho kitabu.

Ndiyo maana unashindwa kujadiliana nami kw akutumia hicho kitabu.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Hutakuja kuweza.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Hapa hatujadili vitabu sasa kama unataka kujadili vitabu sema tujue kabisa tunajadili vitabu na hapo ndio suala la kusoma au kutokusoma kitabu fulani litakuwa na maana,lakini sio kuacha kujadiliana kisa sijasoma kitabu fulani sijui cha nani.

Wewe kama umesoma kitabu na ukaongeza maarifa basi hapa ndio sehemu ya kuonesha hayo maarifa maana tuna mitazamo tofauti na sio kushindana kusoma au kutosoma vitabu.

Halafu mie nimekuuliza tu au nimekuomba ueleze kwa ufupi mambo tofauti uliyojifunza kutoka kwenye vitabu kumi tu.

Nimejufunza kwamba.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Ni rahisi sana kumuelewa prof hawking kuliko kiranga,nadhani kama ningekua naongea na prof mwenyewe tungeelewana zaidi maana binafsi hua naona kiranga anafanya mambo kua magumu bila sababu.

Kadiri ninapoona nguvu nyingi zinatumika kupinga uwepo wa Mungu, ndivyo pia ninavyoendelea kuamini zaidi kuwa yupo kwa sababu kama asingekuwepo kusingekuwa na sababu ya kutumia nguvu kama hizo kumpinga. Lakini 1) je, ni nini kilikuwepo kabla ya 'Big Bang' na ni nani (kama wanasayansi wanavyodai) anaweza kutoa evidence kama kulikuwa na 'something' au 'nothing'? 2) Kwa nini katika kila jamii ya wanadamu kuna idea ya kuwepo kwa Mungu? 3) Hii inaonyesha watu naturally wana experience of God's presence. 4) Kwa upande mwingine, atheists are just denying, but by just denying something can't make it non-existent. 5) If proof or evidence is necessary in science, this shouldn't be so in theism because the latter is based on faith, whose object is not proof or evidence, but on certainty in what God has revealed to us.
 
Hujasoma hicho kitabu.

Ndiyo maana unashindwa kujadiliana nami kw akutumia hicho kitabu.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Hutakuja kuweza.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.

Kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu siyo ushahidi kuwa Mungu hayupo. Uwepo wa Mungu hautegemei kama watu fulani wataweza kuthibitisha au watashindwa kuthibitisha. Mfano, kama umeona na una watoto na kama kwa maoni ya mtu anayekuuliza kama umeoa na una watoto atasema umeshindwa kuthibisha kama umeoa na una watoto na kama kweli umeoa na una watoto, then whether uthibitishe au usithibitishe au ushindwe kuthibitisha (kwa maoni yake) utakuwa umeoa na utakuwa una watoto. Kuoa na kuwa na watoto kwako hakutategemea kama unaweza kuthibitisha au la. Ndivyo ninavyoona hata kwa upande wa Mungu.
 
Back
Top Bottom