Swali lako linaonesha kwamba.
1. Ama hunisomi vizuri.
2. Ama unanisoma vizuri lakini hunielewi.
3. Ama unanisoma vizuri na kunielewa vizuri ila una hila na inda za kutaka ubishi tu.
Nimekueleza, mara nyingi sana, na mara ya mwisho nimekuletea mpaka kitabu, nikakuwekea mpaka ukurasa wa kuanza kusoma kuhusiana na "Problem of Evil" hapo juu.
Naweza kuandika sana hoja zangu hapa, lakini kitabu kimeandika vizuri sana kuliko ninavyoweza kuandika mimi.
Nakuuliza, umesoma kitabu?
Kama umeghafilika, hujasoma kitabiu, nakuwekea tena hapa.
Soma "Philosophy of Religion:An Aanthology", hususan kuanzia ukurasa 276 , "PART IV The Problem of Evil"
Soma, halafu tujibizane kisomi baada ya wewe kusoma.
Sio mimi najibizana kisomi baada ya kusoma, mwenzangu unajibizana nami kijingajinga kabla hujasoma.
Mpambano huo hautakuwa sawa.