Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Mimi si kwamba sitaki kutopata hitimisho juu ya hili jambo.

Au contraire! Nataka sana tu.

But the issue of god’s existence or non existence is a bit different, though.

On the one hand, I acknowledge all of the inconsistencies.

On the other, I’m like hmm...how do we know for certain, though?

The whole thing is a big old mystery that I believe no one has figured it out yet.

So until then, I’ll remain open minded....

I wont wholly dismiss it. But neither am I going to fully accept it.
Do you accept that we can at least start by eliminating some God ideas.

Like for example, that you are the omnipotent, omniscient, omni benevolent God who created the universe?
 
Do you accept that we can at least start by eliminating some God ideas.

Like for example, that you are the omnipotent, omniscient, omni benevolent God who created the universe?
💯 %.

And let me add this, most of the questions you raise are very valid, by the way.

So far I haven’t seen anyone answer them fully.
 
Ngoja nikusaidie kuweka tena kitu ulichouliza hapa, kama umesahau.

Umeuliza hivi

Jibu ni ndiyo.

Maelezo yote hayo yanajibu swali lako la mwisho "sasa wewe umetumia nini kusema hayupo?

Nakujibu swali ulilouliza halafu hata kusoma jibu hujui?

Hapo kuna haja gani ya kujadiliana nawe?

Nikikuambia usome "Philosophy of Religion:An Anthology" sehemu inayohusu "The Problem of Evil" utaweza?

Soma kitabu hiki naweka attachment kwa kujielimisha zaidi, hususan "PART IV The Problem of Evil page 276"
Hayo sio maelezo tu bali ni swali,nimeuliza ni uchunguzi gani uliyofanyika wa kumsaka Mungu na matokeo yakaja hayupo? Kwa sababu wewe unasema tufanye uchunguzi tusitumie imani na ndiyo maana mwishoni nikamalizia na swali la kwamba je wewe umetumia nini kusema hakuna Mungu? Maana hakuna uchunguzi uliyofanywa wa kumtafuta Mungu huko aliko. Sasa ukileta hoja za "kama Mungu angekuwepo sijui hivi mara vile"haziwezi kuwa fact.
 
Usomi mtupu.

Kuna mtu mmoja, nafikiri ni Cromwell, alisema, anashukuru wasioamini uwepo wa Mungu, kwa sababu kwa kupitia kuwasoma wao, anaimarisha imani yake.

Wwaamini wa kweli wanatakiwa kunishukuru mimi, kama Mungu wao ni wa kweli na yupo, maana ninaweza kuwaimarishia imani zao na kuwafanya wamuelewe zaidi Mungu.

Umesema vizuri kwamba mimi sina tatizo na wanaoamini Mungu. Najua ustaarabu, najua faragha ambayo imani inapewa, ndiyo maana katiba ya Tanzania inatoa uhuru wa kuabudu, na hili si jambo lililo katika katiba ya Tanzania tu, ni jambo lililo katika katiba nyingi sana, ni jambo lililopo hata katika haki za binadamu kama sehemu ya "The Universal Declaration of Human Rights" ya December 10 1948.

Sina tatizo na wanaoamini Mungu yupo. Hawa mtu akiwabana wasiamini atakuwa anaingilia haki zao za msingi za kuamini wanavyotaka. Juzijuzi hapa Rais Kagame wa Rwanda alianza kusema anataka wachungaji wote Rwanda wawe na degree, nikapinga hili kama kuingilia uhuru wa kuamini.

Tatizo langu ni kama ulivyosema, kwamba watu anasisitiza Mungu yupo as a fact, not as an article of faith.

Hapo ndipo tunaangalia logic ya kuwepo huyo Mungu tunaona hai make sense, in fact ina contradiction inayoonesha kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo.
Basi kwako wewe inawezekana kuamini jambo huku ukijua kabisa kuwa hilo jambo sio kweli,ndio maana unapinga suala mtu kuchukulia anachoamini kuwa ndio fact.
 
Ulishinda kwasababu ya uwezo,
Hata wenzio nao walisali lkn hawakushinda.

Kama sivyo basi Mungu ni mbaguzi na mpendeleaji, kwanini akuone we ni bora kuliko wengine?

Mimi sijawahi kosa Interview, huwa tunashindwana mshahara tu, lkn sijawahi sali hata siku moja.

Nimefanya interview ya Sekretarieti ya Ajira, nikashinda ila kufika kwenye taasisi husika mshahara wa mbuzi nikaacha.

Sijawahi muomba mungu zaidi ya kujiamini tu.
Kwahiyo mkuu unataka kusema kujiamini ndio kufanikiwa au hiyo ni kwako wewe tu?
 
💯 %.

And let me add this, most of the questions you raise are very valid, by the way.

So far I haven’t seen anyone answer them fully.

Kwa mtazamo wa watu wengi wanavyochangia hapa, ni vigumu kama sio haiwezekani kupata majibu ya hayo maswali ya Kiranga.
Kwanza, watu wanamvamia au kumshambulia yeye badala ya hoja zake, wakishafanya hivyo, utulivu wa kutulia kwenye mjadala unapotea ndio unaona mtu hawazi anaandika tu ilimradi aonekane na yeye yupo kwenye ushindani, tunashindwa kuelewa kwamba hapa cha msingi sio nani anashinda ila anateteaje hoja zake.

Kwa upande wangu siwezi kubishana kuthibitisha uwepo wa Mungu. Sana sana ntaelezea kwanini naamini Mungu yupo.
 
💯 %.

And let me add this, most of the questions you raise are very valid, by the way.

So far I haven’t seen anyone answer them fully.
You are far too kind.

So how do we go about weeding out some theories as crackpot God ideas?

Wwhat compass can we use, to guide us to true north so to speak?
 
Kwa mtazamo wa watu wengi wanavyochangia hapa, ni vigumu kama sio haiwezekani kupata majibu ya hayo maswali ya Kiranga.
Kwanza, watu wanamvamia au kumshambulia yeye badala ya hoja zake, wakishafanya hivyo, utulivu wa kutulia kwenye mjadala unapotea ndio unaona mtu hawazi anaandika tu ilimradi aonekane na yeye yupo kwenye ushindani, tunashindwa kuelewa kwamba hapa cha msingi sio nani anashinda ila anateteaje hoja zake.

Kwa upande wangu siwezi kubishana kuthibitisha uwepo wa Mungu. Sana sana ntaelezea kwanini naamini Mungu yupo.

Kitu au jambo ambalo ni mystery haliwezi kuwa na majibu ya haraka haraka na yaliyonyooka.
 
Naomba niboreshe mjadala, niliwahi kuuliza kwamba hata ukienda walipokusanyika watu wanaoamini uwepo wa Mungu, wenye imani moja na kufuata utaratibu sawa, unaweza kushangaa ukiwauliza kila mmoja akuelezee Mungu ni nani ukapata majibu tofauti kwa kutoka kwa waumini wenye imani moja ambao ungefikiria kwamba ufahamu au uelewa wa Mungu unatakiwa ulingane au ufanane kwa wote.

Nnachosisitiza ni kwamba, uelewa, mtizamo au ufahamu kuhusu Mungu unatofautiana sana kati ya mtu na mtu kutokana na mazingira aliyotokea, familia, kiwango cha elimu, malezi, taifa, mapito ya maisha n,k.

Mijadala kama hii ilitakiwa isaidie kujenga hoja za uelewa wa Mungu.

NB. Binafsi naamini uwepo wa Mungu,ni yupi, hilo ni mjadala mwingine.
 
Kwa mtazamo wa watu wengi wanavyochangia hapa, ni vigumu kama sio haiwezekani kupata majibu ya hayo maswali ya Kiranga.
Kwanza, watu wanamvamia au kumshambulia yeye badala ya hoja zake, wakishafanya hivyo, utulivu wa kutulia kwenye mjadala unapotea ndio unaona mtu hawazi anaandika tu ilimradi aonekane na yeye yupo kwenye ushindani, tunashindwa kuelewa kwamba hapa cha msingi sio nani anashinda ila anateteaje hoja zake.

Kwa upande wangu siwezi kubishana kuthibitisha uwepo wa Mungu. Sana sana ntaelezea kwanini naamini Mungu yupo.
Maneno ya hekima sana.

Na mimi ukishaanza kunielezea kwa nini unaamini Mungu yupo hapo hapo naona kama nina violate haki yako ya kuamini bila kuhojiwa.

As long as unaamini, mimi naona una haki ya kuamini bila maswali.

Sina tatizo kabisa na watu wanaosema wanaamini Mungu yupo.

Hawa wana faragha ya kipekee kuwaruhusu kuamini bila bughudha za maswali yoyote.

Tatizo langu linakuja mtu anaposema anajua as a fact kwamba Mungu yupo.

Akisema hivyo tu, anajiondolea faragha ya imani na anakuja kwenye uwanja wa uthibitisho.
 
Kitu au jambo ambalo ni mystery haliwezi kuwa na majibu ya haraka haraka na yaliyonyooka.
Kuwezekana kuwepo kwa mystery kwenye mawazo yetu kuna m contradict Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kama yupo, anaweza kutupa majibu, halafu anatuachia mystery, hiyo ni emotional strain ambayo Mungu mkarimu kama huyo hatakiwi kuifanya.
 
Basi kwako wewe inawezekana kuamini jambo huku ukijua kabisa kuwa hilo jambo sio kweli,ndio maana unapinga suala mtu kuchukulia anachoamini kuwa ndio fact.
Hapa ndiyo umeandika nini mbona hueleweki?

Unaelewa kwamba unaweza kuamini kitu kuwa fact wakati kitu hicho si fact?
 
Hayo sio maelezo tu bali ni swali,nimeuliza ni uchunguzi gani uliyofanyika wa kumsaka Mungu na matokeo yakaja hayupo? Kwa sababu wewe unasema tufanye uchunguzi tusitumie imani na ndiyo maana mwishoni nikamalizia na swali la kwamba je wewe umetumia nini kusema hakuna Mungu? Maana hakuna uchunguzi uliyofanywa wa kumtafuta Mungu huko aliko. Sasa ukileta hoja za "kama Mungu angekuwepo sijui hivi mara vile"haziwezi kuwa fact.
Mbona nimekujibu kwamba nimetumia logical consistency, na nikakuambia huwezi kukwepa logical consistency, kwa sababu hata unapouliza swali linalotaka jibu unatumia logical consistency?

Umeelewa hapo?

Umesoma hicho kitabu nilichokuwekea "The Philosophy of Religion: An Anthology", hususan kuanzia PART IV The Problem of Evil page 276 ?
 
Maneno ya hekima sana.

Na mimi ukishaanza kunielezea kwa nini unaamini Mungu yupo hapo hapo naona kama nina violate haki yako ya kuamini bila kuhojiwa.

As long as unaamini, mimi naona una haki ya kuamini bila maswali.

Sina tatizo kabisa na watu wanaosema wanaamini Mungu yupo.

Hawa wana faragha ya kipekee kuwaruhusu kuamini bila bughudha za maswali yoyote.

Tatizo langu linakuja mtu anaposema anajua as a fact kwamba Mungu yupo.

Akisema hivyo tu, anajiondolea faragha ya imani na anakuja kwenye uwanja wa uthibitisho.
Na hakuna anayeamini Mungu huku anajua hayupo.
 
Hapa ndiyo umeandika nini mbona hueleweki?

Unaelewa kwamba unaweza kuamini kitu kuwa fact wakati kitu hicho si fact?
Hoja sio usahihi wa unachokiamini bali ni wewe kusema una tatizo na watu wenye kusema Mungu yupo kama fact ila hauna tatizo na wenye kuamini Mungu yupo. Kama mtu hatakiwi kuchukulia kama fact anachokiamini sasa anaamini ili iweje?
 
Mbona nimekujibu kwamba nimetumia logical consistency, na nikakuambia huwezi kukwepa logical consistency, kwa sababu hata unapouliza swali linalotaka jibu unatumia logical consistency?

Umeelewa hapo?

Umesoma hicho kitabu nilichokuwekea "The Philosophy of Religion: An Anthology", hususan kuanzia PART IV The Problem of Evil page 276 ?
Swali la msingi kabisa ni kwamba kuna uchunguzi uliyofanywa wa kumsaka Mungu na majibu yakaja hayupo? hili ndio swali la kwanza kuuliza kabla ya kukuuliza wewe unatumia nini kusema hakuna Mungu.

Kwa sababu wewe umetaka tufanye uchunguzi.
 
Nimekinunua leo, sijaanza kukisoma bado.

20181022_005931.jpg
 
Swali la msingi kabisa ni kwamba kuna uchunguzi uliyofanywa wa kumsaka Mungu na majibu yakaja hayupo? hili ndio swali la kwanza kuuliza kabla ya kukuuliza wewe unatumia nini kusema hakuna Mungu.

Kwa sababu wewe umetaka tufanye uchunguzi.
Swali lako linaonesha kwamba.

1. Ama hunisomi vizuri.
2. Ama unanisoma vizuri lakini hunielewi.
3. Ama unanisoma vizuri na kunielewa vizuri ila una hila na inda za kutaka ubishi tu.

Nimekueleza, mara nyingi sana, na mara ya mwisho nimekuletea mpaka kitabu, nikakuwekea mpaka ukurasa wa kuanza kusoma kuhusiana na "Problem of Evil" hapo juu.

Naweza kuandika sana hoja zangu hapa, lakini kitabu kimeandika vizuri sana kuliko ninavyoweza kuandika mimi.

Nakuuliza, umesoma kitabu?

Kama umeghafilika, hujasoma kitabiu, nakuwekea tena hapa.

Soma "Philosophy of Religion:An Aanthology", hususan kuanzia ukurasa 276 , "PART IV The Problem of Evil"

Soma, halafu tujibizane kisomi baada ya wewe kusoma.

Sio mimi najibizana kisomi baada ya kusoma, mwenzangu unajibizana nami kijingajinga kabla hujasoma.

Mpambano huo hautakuwa sawa.
 
Attachments

Back
Top Bottom