Endelea kupasau kichwa chako kuyajua hayo yote na kujiona smart kuliko wale wote wasiotaka kuamini katika kile unachokiona ni sahihiIf you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Kufa kunaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Endelea kupasau kichwa chako kuyajua hayo yote na kujiona smart kuliko wale wote wasiotaka kuamini katika kile unachokiona ni sahihi
Mwisho wa siku mimi na wewe tutakufa na dunia ya watu tutaiacha kama ilivyo
Kwani mtu ukipinga Mungu hayupo au kukaa kimya na unacho kiamini kuna shida gani?Kufa kunaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Unaelewa hilo?
Hicho kitabu ninacho muda tu,ila swali nililokuuliza hakuna jibu kwenye hicho kitabu.Swali lako linaonesha kwamba.
1. Ama hunisomi vizuri.
2. Ama unanisoma vizuri lakini hunielewi.
3. Ama unanisoma vizuri na kunielewa vizuri ila una hila na inda za kutaka ubishi tu.
Nimekueleza, mara nyingi sana, na mara ya mwisho nimekuletea mpaka kitabu, nikakuwekea mpaka ukurasa wa kuanza kusoma kuhusiana na "Problem of Evil" hapo juu.
Naweza kuandika sana hoja zangu hapa, lakini kitabu kimeandika vizuri sana kuliko ninavyoweza kuandika mimi.
Nakuuliza, umesoma kitabu?
Kama umeghafilika, hujasoma kitabiu, nakuwekea tena hapa.
Soma "Philosophy of Religion:An Aanthology", hususan kuanzia ukurasa 276 , "PART IV The Problem of Evil"
Soma, halafu tujibizane kisomi baada ya wewe kusoma.
Sio mimi najibizana kisomi baada ya kusoma, mwenzangu unajibizana nami kijingajinga kabla hujasoma.
Mpambano huo hautakuwa sawa.
Na kuwa hai nako kunaonesha nini? Ushafikiri hilo?Kufa kunaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Unaelewa hilo?
Nikikwambia uelezee kwa uchache tu mambo uliyojifunza tofauti tofauti kutoka kwenye vitabu kumi tu,je utaweza?
Nisipoweza ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Nikikwambia uelezee kwa uchache tu mambo uliyojifunza tofauti tofauti kutoka kwenye vitabu kumi tu,je utaweza?
How do you know the premise of question 3 is correct?If God is not there then...
1. where did we came from?
2.if its due to spontaneous forces of the universe,where those forces originated from??
3.are those forces still existing or not?? If they are there,why can't they spontaneously create other humans and organisms as before because now organisms come into life only through reproduction!?? If they don't exist,where did they go?
Kuwa hai katika ulimwengu ambao una kifo kunaonesha Mingu mjuzi wa yote, mwenye uwezobwote na upendo wote hayupo.Na kuwa hai nako kunaonesha nini? Ushafikiri hilo?
Brilliant!If God is not there then...
1. where did we came from?
2.if its due to spontaneous forces of the universe,where those forces originated from??
3.are those forces still existing or not?? If they are there,why can't they spontaneously create other humans and organisms as before because now organisms come into life only through reproduction!?? If they don't exist,where did they go?
Hapa hatujadili vitabu sasa kama unataka kujadili vitabu sema tujue kabisa tunajadili vitabu na hapo ndio suala la kusoma au kutokusoma kitabu fulani litakuwa na maana,lakini sio kuacha kujadiliana kisa sijasoma kitabu fulani sijui cha nani.Nisipoweza ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Unaelewa hilo?
Hujanijibu kama umesoma kitabu nilichokuwekea hapa.
Nimeuliza kuwa hai kunaonesha nini? ushajibu kuwa kifo kinaonesha hakuna Mungu,sasa mie nataka kujua na uhai unaonesha nini?Kuwa hai katika ulimwengu ambao una kifo kunaonesha Mingu mjuzi wa yote, mwenye uwezobwote na upendo wote hayupo.
Naomba nitumie mfano mchafu kufikisha ujumbe safi.
Nikikojoa nusu lita, nikachukua maji safi nusu lita, nikachanganya mkojo wangu nusu lita na maji safi nusu lita, halafu nikakwambia kunywa maji safi nusu lita, yaliyochanganyika na mkoji wangu nusu lita, halafu ukakubali kunywa maji yaliyochanganyika na mkojo wangu, nusu kwa nusu, kwa namna ambayo huwezi kutenganisha mkojo na maji, ukahalalisha kunywa mkojo na maji ukisema "lakini nakunywa maji safi nusu lita" huku unajisahaulisha kwamba maji hayo yamechanganyika nusu kwa nusu na mkojo, utakuwa mpumbavu sana.
Mpumbavu sana.
Mpumbavu saaaanaaaa tu.
Even if Stephen Hawking is all the things you said.
That does not prove God exists.
The logic that disputes the existence of God was established thousands of years before Stephen Hawking was born.
The very fact that you are defending a God who cannot defend himself shows that that Gid does not exist.
Prove God exists.
The Quran cannot be Gods book, since it has so many contradictions.Back to my posts on page 15:
First of all, Yes, Steven Hawking wasn't the first to establish that God does not exist, the logics has been there for years. And we do get those ideas from some books written earlier.
Then my preposition to counters what Steven Hawking's hypothesis that shows God does exist is based on what others scientists have also proven after wondering through the Universe and some testing done in the laboratories. when we talk about BIG BANG theory, EXPANSION OF THE UNIVERSE and the Ultimate end of the Universe - BIG CRUNCH theories is something that has been tested and proven true through Hubble space station.
Let me give you example: If you are standing between two mountains and shout, you will here repeating voices that keep running for some time until it disappears. That's how the Hubble space came to reveal about the echoing of the big Bang and spontaneous expansion as the result of the Bang.
Now you questions comes here Kiranga: God the Almighty should defend himself!!!
Since your denials based on some books written by human beings I will present with you a divine book - the Holy Qur'an.
Here is the Answer:
1. Surat Al-Ambiyaa 21: 30: God explains the origin of the universe and He Himself caused the Bang and ascribe every living things to depend on water.
2. Surat Al-Ambiyaa 21:104: God explains the ultimate End of the Universe - The Big Crunch and that He will be the one to cause it as a must and ordained to Him and only to Him.
So He has Defended Himself! Logically proved 100%.
NOTE: Qur'an is not the Book of science but a Divine book from he Almighty God.
Unataka kunipangia kuishi maisha yangu?Kwani mtu ukipinga Mungu hayupo au kukaa kimya na unacho kiamini kuna shida gani?
Maana mkuu nakuona furaha yako hapa JF ni kuelezea watu kuwa Mungu hayupo
ISHI MAISHA YAKO..ISHI KATIKA KILE UNACHOKIAMINI...MWISHO WA SIKU UTAKUFA AND LIFE GOES ON KAMA KAWAIDA
Hujasoma hicho kitabu.Hicho kitabu ninacho muda tu,ila swali nililokuuliza hakuna jibu kwenye hicho kitabu.
Hivyo vitabu havina utofauti yani unachokifanya wewe hapa ni sawa yaliyomo kwenye hivyo vitabu.
Hili suala la kuhitimisha kuwa hakuna Mungu mnalichukulia kirahisi sana ndiyo maana unaweza ukaja hapa ukasema Mungu hayupo kisa watu wanakunya,nilishakwambia sana kuna watu wanakubali uwepo wa Mungu ila hizi hoja zenu hazina athari kwao kabisa na huwa wanawaunga mkono hoja zenu ila mnatofautiana kwenye hitimisho kwamba nyie mnahitimisha kwa kuondoa uwepo wa Mungu na wao huishia kwenye dini.
Kama kuna uchunguzi umefanywa wa kumsaka Mungu basi uletwe tujadili.
Hapa hatujadili vitabu sasa kama unataka kujadili vitabu sema tujue kabisa tunajadili vitabu na hapo ndio suala la kusoma au kutokusoma kitabu fulani litakuwa na maana,lakini sio kuacha kujadiliana kisa sijasoma kitabu fulani sijui cha nani.
Wewe kama umesoma kitabu na ukaongeza maarifa basi hapa ndio sehemu ya kuonesha hayo maarifa maana tuna mitazamo tofauti na sio kushindana kusoma au kutosoma vitabu.
Halafu mie nimekuuliza tu au nimekuomba ueleze kwa ufupi mambo tofauti uliyojifunza kutoka kwenye vitabu kumi tu.
Ni rahisi sana kumuelewa prof hawking kuliko kiranga,nadhani kama ningekua naongea na prof mwenyewe tungeelewana zaidi maana binafsi hua naona kiranga anafanya mambo kua magumu bila sababu.
Hujasoma hicho kitabu.
Ndiyo maana unashindwa kujadiliana nami kw akutumia hicho kitabu.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Hutakuja kuweza.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.