Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Awali ya yote.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wewe huna uelewa wa kubishana na mimi.

Ndiyo maana hujui hata "immanent critique" ni nini.

Google that shit kwanza.

Soma. Uielewe vizuri.

Kama una maswali hujaielewa niulize.

Siwezi kuendelea na mjadala na wewe mpaka uniridhishe umeelewa "immanent critique" ni nini kwanza.
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ndiyo maana unakimbilia kuwa mwanamazingaombwe ya kulazimisha mambo.
We nawe thibitisha kuwa mungu Hayupo na utupe majibu ya asili ya ulimwengu tukuelewe.. Sisi tukimpata mtengenezaji hatuna tatizo tunakuelewa kinacho matter utupe majibu nini Asili ya hivi vitu vyote ulimwwnguni.
 
We nawe thibitisha kuwa mungu Hayupo na utupe majibu ya asili ya ulimwengu tukuelewe.. Sisi tukimpata mtengenezaji hatuna tatizo tunakuelewa kinacho matter utupe majibu nini Asili ya hivi vitu vyote ulimwwnguni.
Kwanza umesha assume kuna mtengenezaji.

Wrong assumption.

Unaelewa hilo?
 

1. Maandiko yako ndiyo yanayoonyesha unamwona Stephen Hawking kama Mungu. Kama humwoni kama Mungu kwa nini huamini au hukubaliani na wanasayansi wengine ambao wamegundua mambo mengi mbalimbali, lakini wanaamini Mungu yupo? 2. Ni criteria gani ulizotumia kuamua kuwapuuza hao wanasayansi wanaoamini Mungu yupo na kukubaliana na huyo Stephen Hawking wako?
3. Kama Mungu hayupo kwa nini wewe na wengine kama wewe mtumie nguvu nyingi hivyo kupinga uwepo wake?
 
ooh my God help kiranga
he has the brain but he doesn't understand
he has the eyes but he doesn't see
he has the ears but he doesn't hear

wewe kiranga ukitaka mimi ni google hiyo sheet ya immanent critique na mimi nikikuambia google religous books usome.....tukifanya hivi utoweza pata jibu kamwe alaf wewe uko kwa ajili ya kubishana na si kuelewa....alaf hoja zako za kukataa Mungu hayupo zimekaa kitoto sana mfano anasema et Mungu angekuwepo tusingekuwa tunakunya? kwa hiyo hajui maana ya kula ni nini na makapi ya chakula ni nini?

wewe si unajifanya unauelewa mkubwa sawa mimi nakiri ninauelewa mdogo kama usemavyo ila nataka majibu ya maswali yangu kwenye ule uzi niliokutag ukijibu yale nitaamini wewe kweli unauwezo mkubwa
maana mara zote unakuwa unapenda tu kuuliza na kujibiwa na si kuulizwa na kujibu

alaf we kiranga hata mimi vitabu nimesoma sana ila sitaki kutumia references za vitabu kukujibu sababu we can't come over ndio maana natumia common understanding kukujibu
 
Kwanza umesha assume kuna mtengenezaji.

Wrong assumption.

Unaelewa hilo?
Kwa hyo wewe apoo unataka kunamhia ninii..

Waswahili wanasema usione vya eleya ujue vimeundwa.

Embu jitazame kwanza wewe umepewa kichwa, miguu, mikono na vilivyobaina ya miguu na kichwa alaf unasema hujatengenezwa, inaingia akilini ?


Embu tazama chakula unachokula kinapotokeaa.. Nafaka zote na mengine mengi, inachukuliwa mbegu inafukiwa ardhini inasubiriwa mvua ijee kustawisha bado ikichupua na kukoaaa inatoa mbegu zaidi ya ile moja iliyopandwa, hii aingii akilini ?

Usiku na mchana, majira ya mwaka na mengine kibao, alaf kweli hakuna mtengenezaji hiyo inaingia akilini kweli ?

Rasilimali zote umezikuta na zote ni kwa faida yetu sisi. Lakini bado unadai assumption katika vile alivyotengeneza mtengenezaji, haingii akilini ?


Mkuu tusizuunguke koteee huko we nambie tu mhusika Wa ulimwengu mkubwa huu ni nani ?
 
Satanic kiranga, you're demons possessed, unatumia nguvu kubwa yenye hoja dhaifu kupinga uwepo wa Mungu,ukiulizwa kuna Oxygen? unasema ndiyo ipo,ukiulizwa kuna nature?
Unasema ipo,tukikuuliza leta oxygen na nature ili tu prove uwepo wake,huwezi kuvileta,sasa nani asiye na akili kati yangu mimi na wewe?
Yaani unaonyesha hapa u zero brain wako kwa nguvu zote,wewe ni mmoja ya watu wenye ufahamu mdogo kabisa duniani,upo kwenye kaliba ya wapumbavu wenzako kina Hawking, very stupid, ukiulizwa kuna ndoto? Unasema ipo, tukikuomba uibebe ndoto utuletee huwezi kuileta.
Hayo ni mambo yaliyopo beyond our reasonable thinking capacity, yapo ktk spiritual formation ila yapo,mpumbavu huamini ktk kile ambacho anaweza kukiona tu kwa macho,ana akili yake ipo limited kama yako.
Limited wits believe in limited things,but unlimited wits believe beyond




Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu tu kufikiri endapo Wanasayansi wa kwanza wangesema kuna MUNGU(AMBAYE MIMI BINAFSI NAAMINI YUPO) jinsi amabavyo sayansi ingekuwa na utofauti sasa hivi, Wanasansi wangetaka kuchunguza universe au wangetafuta huyu MUNGU anatakiwa aabudiwe vipi? Wangegundua vimelea vya backteria/Virus au wangetafuta namna nzuri ya kufanya maombi endapo tumepata magonjwa?Mpaka kufikia sasa Uwepo wa MUNGU ni imani, Na wote tunafahamu maana ya neno imani, Sayansi haitegemei Imani. Kunauwezekano kabisa kuwa Wanasayansi huwa wanasali na kumuomba huyo ambaye kazi yao inakataa kuamini visivyoonekana au visivyo na ushahidi.Maandiko ya Sayansi ni kwa ajili ya wanasayansi ili kuwe na mwendelezo wa uchunguzi wa kisayansi uliokwisha fanyika. Huenda kuna siku Atatokea mwanasayansi atakayeleta ushahidi kuwa MUNGU yupo kwa sababu tu amegundua jambo ndani ya blackholes au nyota kwa kutumia mwendelezo wa maandiko ambayo yalianza kuandikwa na asiyeamini kuwa yupo MUNGU,na yeye ataandika na wengine wataendeleza uchunguzi wao mpaka tutakapofikia kuzungumza lugha moja. Mpaka wakati huo, povu la kuwahukumu wanasayansi na wagunduzi, binadamu wenzetu na kuwaona kuwa wao ni wadhambi sana tuachane nalo.
 
Wakati nikiwa O-Level nilisoma kitabu cha Chemistry: Pale kwenye Dalton Atomic theory kama sijasahau anasema hivi: It looks clear to me that in the Beginning God created an atom that cannot be subdivided into small particles.
Lakini hilo halikuwafanya wanasayansi wasiendelee kuichinguza atom. Leo twajua kuwa atom ina definitions nyingi sana.
Kwa hiyo wanasayansi ni wadhambi kwa kumtafuta mtengeneza kiberiti ndani ya box la kiberiti kama alivyo Hawking.
 
Wewe hata unaelewa kwamba an atom can be divided into smaller parts?
 
Unapoandika "Mungu" unamqqnisha nini?

Maana ninwazi kwqmba haiwezekani uongo wowote ambao hajoo iwe Mungu.

Sasa, utajuaje unachoamini wewe kama Mungu wa kweli, ni Mungu wa kweli aliyepo na si hadithi tu?
 

sorry! Nilikusudia kumjibu Ighaghe.

Wakati nikiwa O-Level nilisoma kitabu cha Chemistry: Pale kwenye Dalton Atomic theory kama sijasahau anasema hivi: It looks clear to me that in the Beginning God created an atom that cannot be subdivided into small particles.
Lakini hilo halikuwafanya wanasayansi wasiendelee kuichinguza atom. Leo twajua kuwa atom ina definitions nyingi sana.
Kwa hiyo wanasayansi ni wadhambi kwa kumtafuta mtengeneza kiberiti ndani ya box la kiberiti kama alivyo Hawking.
 
well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…