Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

“it doesn’t follow.” the logic. Rather is self ego! That follow same line of thinking! Below imaginary level of thinking!
Still logical non sequitur.

And you still can't prove God exists.
 
Unapoandika "Mungu" unamqqnisha nini?

Maana ninwazi kwqmba haiwezekani uongo wowote ambao hajoo iwe Mungu.

Sasa, utajuaje unachoamini wewe kama Mungu wa kweli, ni Mungu wa kweli aliyepo na si hadithi tu?
Kiranga, kwanza fahamu maana ya neno imani. Kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo, ni bayana na mambo yasiyoonekana. naelewa kuwa sayansi bado haijathibitisha uwepo wa MUNGU. Kuelewa huku hakumaanishi kwamba siamini uwepo wa MUNGU na pia sayansi hubadilika kulingana na ugunduzi. Huwezi jua miaka kadhaa ijayo sayansi itagundua nini kuhusu uumbaji, wanasayansi bado wanachunguza mambo mengi Ila kwa sasa sayansi haijathibitisha lolote juu ya uwepo wa MUNGU. Kama wewe ni mwanasayansi na umesimamia upande huo sawa. Ila ukumbuke ukishaingiza imani sayansi haipaply. Ni mtu na MUNGU wake. Kujaribu kubadili msimamo wa imani ya mtu kwa kutumia sayansi ni matumizi mabaya ya sayansi. Sayansi haipo ili kuthibitisha hakuna MUNGU ipo kwa ajili ya uchunguzi na ugunduzi, wakigundua uwepo wa MUNGU watathibitisha, Ila mpaka sasa hawajagundua lolote. Ukitumia sayansi kubadili imani ya mtu hapo hatusemi tena ni sayansi bali dini ya upagani.
 
Unaelewa "kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo" ni contradiction?

Unaelewa huwezi kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo, na kuwa na hakika maana yake ni mambo yaliyotimia na kuthibitika kiasi kwamba huyatarajii tena, maana yameshathibitika?

Unaelewa kuwa ukitarajia kitu, huna hakika nacho, ndiyo maana unakitarajia?
 
sorry! Nilikusudia kumjibu Ighaghe.

Wakati nikiwa O-Level nilisoma kitabu cha Chemistry: Pale kwenye Dalton Atomic theory kama sijasahau anasema hivi: It looks clear to me that in the Beginning God created an atom that cannot be subdivided into small particles.
Lakini hilo halikuwafanya wanasayansi wasiendelee kuichinguza atom. Leo twajua kuwa atom ina definitions nyingi sana.
Kwa hiyo wanasayansi ni wadhambi kwa kumtafuta mtengeneza kiberiti ndani ya box la kiberiti kama alivyo Hawking.
Sayansi haipo ili kuthibitisha kuwa hakuna MUNGU. Ipo kwa ajili ya uchunguzi na ugunduzi, na mpaka sasa katika uchunguzi wa kisayansi hawajathibitisha uwepo wa MUNGU na sayansi haitumii imani. Siku wakithibitisha wataacknowladge uwepo wake Ila mpaka sasa hawajathibitisha. Achana na wapagani wanaotumia udhaifu wa sayansi kushindwa kuthibitisha uwepo wa MUNGU kupingana na imani ya waamini.
 
Can I have the copy of it ("Brief Answers To The Big Questions").?
Sasa hivi nakisoma hiki kipya "Brief Answers To The Big Questions".

Anaongelea hesabu za juu sana, zinazokubalika na kuheshimiwa na wanasayansi hodari wengi sana, halafu watu ambao hata hawajamsoma wanadismiss bila hata kuelewa msingi wa habari zake.

Yani Hawking anaongelea hesabu za how time freezes at the center of a black hole, halafu mtu hata hajui black hole ni nini anamtukana kwa kutumia mapokeo ya Biblia ambayo yamejaa uzushi.
 
Unaelewa "kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo" ni contradiction?

Unaelewa huwezi kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo, na kuwa na hakika maana yake ni mambo yaliyotimia na kuthibitika kiasi kwamba huyatarajii tena, maana yameshathibitika?

Unaelewa kuwa ukitarajia kitu, huna hakika nacho, ndiyo maana unakitarajia?
Una tarajia kuwa utakufa siku moja? Hiyo imani uliyo nayo juu ya kifo chako cha mbeleni ambacho hujakiona ndiyo hiyo hiyo imani tuliyo nayo juu ya uwepo wa MUNGU ambaye haonekani. Tunaamini kuwa kuna siku sayansi itathibitisha uwepo wa MUNGU au MUNGU atathibitisha uwepo wake. Au kuna sehemu sayansi imesema haitakaa ithibitishe na hata ikithibitisha itakana uwepo wa MUNGU? Kama ipo basi hiyo si sayansi tena ni dini ya upagani kwa mgongo wa sayansi. Sayansi hubadilika kulingana na gunduzi mpya
 
Kifo kimethibitishwa kibaioloji, kifizikia na kisayansi.

Zaidi, ni utimilifu wa second law of thermodynamics.

Sitarajii nitakufa siku moja.

Najua nitakufa siku moja.

Kufa ni jambo lililothibitishwa, si jambo la imani.

Wewe umethibitisha Mungu yupo?
 
hujui lini utakufa japo umeshathibitishiwa na sayansi kuwa lazima utakufa. Umetumia neno najua nitakufa siku moja, inamaanisha kuwa sayansi licha ya kuwa imeshimeshathibitisha kuwa utakufa lakini bado haijafahmu siri kuwa ni lini exactly na sababu itakuwa ipi. Siku kukigundulika kifaa cha kufahamu ya mbeleni ndo Utakuwa na uhakika. Na siku sayansi ikigundua uwepo wa MUNGU basi itathibitisha kama ilivyokuthibitishia kuwa utakufa bila kukupa tarehe. Kukuthibitishia kuwa MUNGU yupo sitatumia sayansi Ntatumia imani, jambo ambalo wewe kwa sasa una tatizo nalo.
 
Unaunganisha vitu visivyo na uhusiano.

Logical non sequitur.

Umeongea sana kuhusu kifo.

Unaelewa kifo tu kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
 
Nafikiri kuna jambo hatuelewani. Tukiongea kuhusu sayansi na tukibase kwenye sayansi hakuna uthibitisho wowote kuhusu uwepo wa MUNGU, Ila ugunduzi na utafiti wa ulimwengu bado unaendelea, sayansi haijamaliza kazi zake. Lolote linaweza kugundulika siku za usoni. Tukiongelea kiimani, mm naamini MUNGU yupo, na uthibitisho ni uwepo wa ulimwengu na mpangilio wake, haiwezekani Jupiter ikawepo na inaatract a lot of object material zielekee kwake na kuipita dunia ili ibaki salama, dunia iwe na mwezi wake ulio na mahusiano na bahari. Kuwe na soler system, milkway, local groups, clusters na whatever is beyond clusters. Tunaamini kuwa kuna engeneer na kumuelewa huyu engeneer ni sawa na gari kumuelewa aliyelitengeneza. Safari ni ndefu sanaa. Sasa unataka tuongelee uwepo wa MUNGU katika mantiki ipi? Ya kiimani au sayansi? Kama ni kiimani basi tutaanza mahubiri, kama ni kisayansi bado hakuna uthibitisho kuwa MUNGU yupo. Usichanganye hivi vitu viwili.
 
Sayansi mpaka sasa imeshindwa kugundua ni kwanini Venus inarotate clock-wise wakati sayari zingine ni anti-clockwise. Haijui what happen for real, kama bado hatuna namna ya kugundua vilivyoumbwa je muumbaji wake itakuwa rahisi? Tuipe subira sayansi Ila kwa ss ni sawa wakisema hakuna uthibitisho wa uwepo wa MUNGU kisayansi sababu ni kweli hawajagundua. Ila kiimani kama huamini hayo ni maamuzi yako usiseme huamini sbabu sayansi haijathibitisha wakati wanasayansi bado wanakesha wakichunguza. Halafu pia usitumie sayansi kupingana na imani ya uwepo wa MUNGU kwa kutumia imani za dini.
 
Nafikiri kuna jambo hatuelewani. Tukiongea kuhusu sayansi na tukibase kwenye sayansi hakuna uthibitisho wowote kuhusu uwepo wa MUNGU, Ila ugunduzi na utafiti wa ulimwengu bado unaendelea, sayansi haijamaliza kazi zake. Lolote linaweza kugundulika siku za usoni. Tukiongelea kiimani, mm naamini MUNGU yupo, na uthibitisho ni uwepo wa ulimwengu na mpangilio wake, haiwezekani Jupiter ikawepo na inaatract a lot of object material zielekee kwake na kuipita dunia ili ibaki salama, dunia iwe na mwezi wake ulio na mahusiano na bahari. Kuwe na soler system, milkway, local groups, clusters na whatever is beyond clusters. Tunaamini kuwa kuna engeneer na kumuelewa huyu engeneer ni sawa na gari kumuelewa aliyelitengeneza. Safari ni ndefu sanaa. Sasa unataka tuongelee uwepo wa MUNGU katika mantiki ipi? Ya kiimani au sayansi? Kama ni kiimani basi tutaanza mahubiri, kama ni kisayansi bado hakuna uthibitisho kuwa MUNGU yupo. Usichanganye hivi vitu viwili.
Umekwepa kabisa kuongelea suala la kifo tena naona.
 
Mbona huhoji kwanini ktk chemistry hiyo hiyo mgunduzi alikiri uwepo wa Mungu?
Kwa sababu sayansi haijadili mtu, inajadili hoja.

Dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ishathibitishwa kwamba ni ya uongo.

Kwa "the problem of evil".

Tatizo unapinga vitu ambavyo hata huvielewi.

Nikikuuliza "the problem of evil" ni nini unaweza kufafanua?
 
Umekwepa kabisa kuongelea suala la kifo tena naona.
Ok mkuu, labda nimekuwa Mzito kuelewa hoja yako kuhusu kifo imejikita wapi hasa. Kwenye sayansi au kwenye imani ya Dini?, maana kwa imani ya Dini kifo ni usingizi tu' tutaamka tena siku moja tukiwa na miili mipya. Ukifikiri kama mwanasayansi hili nililolisema halina maana. Ila ukiamini si kwamba litamake sense tu bali utaona uhalisia wake na utaelewa ni kwanini sayansi na imani ya Dini havitakiwi viunganishwe kwenye kutoa conclusion kuhusu uwepo wa MUNGU
 
Kwa sababu sayansi haijadili mtu, inajadili hoja.

Dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ishathibitishwa kwamba ni ya uongo.

Kwa "the problem of evil".

Tatizo unapinga vitu ambavyo hata huvielewi.

Nikikuuliza "the problem of evil" ni nini unaweza kufafanua?
Mungu siyo mtu bali ni spirit, evil imetokana na Devil,sasa huwezi kutambua uwepo wa evil ukakana kutambua uwepo wa Devil,vilevile huwezi kutambua uwepo wa good, ukakana kutambua uwepo wa God,kimsingi hueleweki unabisha nini na una support nini.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na devil wala evil?
 
Ok mkuu, labda nimekuwa Mzito kuelewa hoja yako kuhusu kifo imejikita wapi hasa. Kwenye sayansi au kwenye imani ya Dini?, maana kwa imani ya Dini kifo ni usingizi tu' tutaamka tena siku moja tukiwa na miili mipya. Ukifikiri kama mwanasayansi hili nililolisema halina maana. Ila ukiamini si kwamba litamake sense tu bali utaona uhalisia wake na utaelewa ni kwanini sayansi na imani ya Dini havitakiwi viunganishwe kwenye kutoa conclusion kuhusu uwepo wa MUNGU

Unaweza kuthibitisha kifo ni usingizi tu, tutaamka tena, na kwamba habari hizo si uongo?
 
Ndio. Lakini nitatumia Biblia ambayo wewe huiamini na utaanza kuniambia nikupe ushahidi kuwa hizo si hadithi tu.
 
Ambao hutaweza kunipa.

Unajua Biblia inajipinga yenyewe na hivyo haiwezi kuwa inasema ukweli, kwa sababu unajipinga yenyewe?
 
Back
Top Bottom