Huna imani na Biblia, na usipokuwa na imani kwako Biblia ni kitabu tu kama vitabu vingine vya hadithi. Huwezi kuitumia kwa namna nyingine yoyote zaidi ya hadithi. Pale roho yako(ambayo mpaka sasa sayansi ya mwanadamu haina uelewa kuwa ni nini hicho) itakapokuwa tayari kumtafuta MUNGU nje ya sayansi za kibinadamu, mambo mengi utayaona kwa mtazamo tofauti.Ambao hutaweza kunipa.
Unajua Biblia inajipinga yenyewe na hivyo haiwezi kuwa inasema ukweli, kwa sababu unajipinga yenyewe?
Hujajibu niliyokuuliza.Huna imani na Biblia, na usipokuwa na imani kwako Biblia ni kitabu tu kama vitabu vingine vya hadithi. Huwezi kuitumia kwa namna nyingine yoyote zaidi ya hadithi. Pale roho yako(ambayo mpaka sasa sayansi ya mwanadamu haina uelewa kuwa ni nini hicho) itakapokuwa tayari kumtafuta MUNGU nje ya sayansi za kibinadamu, mambo mengi utayaona kwa mtazamo tofauti.
Siwezi kukujibu kwa sababu majibu yangu yatamfaa mtu ambaye roho yake inamtafuta MUNGU kwa njia ya imani si sayansi. Wewe unatumia akili hata nikikujibu u will oversmart me with science questions ilihali mm Situmii akili zangu natumia imani niliyo nayo juu ya uwepo wa MUNGU kwa kutumia maandiko matakatifu tuliyorithishwa na mababu zetu waliokuwepo kipindi hicho. By the way maandiko yana mambo mazuri yanayohimiza tupendane na kusaidiana sisi kwa sisi, kwa nini nisiyafate?Hujajibu niliyokuuliza.
Uliyojibu sijakuuliza.
Siwezi kukujibu kwa sababu majibu yangu yatamfaa mtu ambaye roho yake inamtafuta MUNGU kwa njia ya imani si sayansi. Wewe unatumia akili hata nikikujibu u will oversmart me with science questions ilihali mm Situmii akili zangu natumia imani niliyo nayo juu ya uwepo wa MUNGU kwa kutumia maandiko matakatifu tuliyorithishwa na mababu zetu waliokuwepo kipindi hicho. By the way maandiko yana mambo mazuri yanayohimiza tupendane na kusaidiana sisi kwa sisi, kwa nini nisiyafate?
Mm ndio siwezi thibitisha ndio maana natumia imani ya maandiko. Na si mm tu hata sayansi mpaka sasa haiwezi thibitisha. Nafsi yangu imekataa kukubali kuwa kwa sababu nimeshindwa kuthibitisha, na kwa sababu sayansi bado haijathibitisha basi hakuna MUNGU. Hivyo nikatafuta nje ya ubongo wangu na sayansi nikamkuta kwenye maandiko matakatifu, nikaamini. Una alternative nyingine ya uthibitisho kuwa hakuna MUNGU? Usiniambie sayansi maana bado kuna mambo mengi sayansi haijayagundua. Udhaifu ni mkubwa bado. Udhaifu ukipungua pungua pengine watagundua huko mbeleni, who knows?Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha roho ipo.
Yani wewe tatizo lako ni huu ulimwengu tu ila ajabu linakuja kwenye hitimisho lako maana hitimisho lako halina mahusiano na hoja yako.Huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na devil wala evil?
Yani wewe tatizo lako ni huu ulimwengu tu ila ajabu linakuja kwenye hitimisho lako maana hitimisho lako halina mahusiano na hoja yako.
Kama kuna wafia dini basi wewe mfia hiyo imani yako ya kuwa hakuna Mungu,nimegundua huna mawazo yaliyo huru kwenye hicho unachokisimamia kwamba hakuna Mungu,pamoja ya kwamba mie sikubali kuwa kuna contradiction ila nilikubali tuijadili hiyo contradiction kama kitu ambacho kipo ili tuanzie hapo kujadili ili niweze kuona ni vp umeweza kujua haluna Mungu kupitia hiyo contradiction ila wapi umeshindwa kufanya hivyo.
Unaelewa contradiction ni nini?Mm ndio siwezi thibitisha ndio maana natumia imani ya maandiko. Na si mm tu hata sayansi mpaka sasa haiwezi thibitisha. Nafsi yangu imekataa kukubali kuwa kwa sababu nimeshindwa kuthibitisha, na kwa sababu sayansi bado haijathibitisha basi hakuna MUNGU. Hivyo nikatafuta nje ya ubongo wangu na sayansi nikamkuta kwenye maandiko matakatifu, nikaamini. Una alternative nyingine ya uthibitisho kuwa hakuna MUNGU? Usiniambie sayansi maana bado kuna mambo mengi sayansi haijayagundua. Udhaifu ni mkubwa bado. Udhaifu ukipungua pungua pengine watagundua huko mbeleni, who knows?
Hujapinga nilichokisema hivyo umekubali nilichokisema.Hijajibu swali nililouliza.
Na kama kuna swali umejibu, sijauliza hilo.
Huyo Mungu alishindwa kuumba ukimwengu ambao hauna na hauwezi kuwa na devil au evil?
Hujajibu swali hili.
Maana ya contradiction:Unaelewa contradiction ni nini?
Unaelewa mutual exclusivity ni nini?
Unaelewa logical consistency ni nini?
Mbona unakomaa na meaning za maneno ambayo unajua naweza kukupa? Wewe kama umeshathibitisha hakuna MUNGU hongera(tupe prove zako, si kutumia sayansi) science bado haijathibitisha kuna MUNGU so far, haimaanishi kuwa hawatathibitisha huko mbeleni. Lolote laweza kutokea mambo yakabadilika.Unaelewa contradiction ni nini?
Unaelewa mutual exclusivity ni nini?
Unaelewa logical consistency ni nini?
Mungu anaweza kufanya jambo lililo na contradiction?Maana ya contradiction:
:the act of saying something that is opposite or very different in meaning to something else
: a difference or disagreement between two things which means that both cannot be true.
HADI SASA UMESHINDWA KUELEZA NI VP UMEWEZA KUJUA HAKUNA MUNGU KWA KUTUMIA CONTRADICTION.
Hujajibu maswali niliyouliza.Mbona unakomaa na meaning za maneno ambayo unajua naweza kukupa? Wewe kama umeshathibitisha hakuna MUNGU hongera(tupe prove zako, si kutumia sayansi) science bado haijathibitisha kuna MUNGU so far, haimaanishi kuwa hawatathibitisha huko mbeleni. Lolote laweza kutokea mambo yakabadilika.
Kufanya jambo lililo na contradiction ndiyo nini?Mungu anaweza kufanya jambo lililo na contradiction?
Nimekuuliza kufanya jambo lililo na contradiction ndiyo nini? Sasa kuniuliza kama Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe asiloweza kulibeba ndio mie nitawezaje kujua hapo kufanya jambo lililo na contradiction ni nini?Mfano:
Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba?
Majibu nimekupa sema huyaoni unataka nikupe ya kwako yaliyo kichwani kwako, pia umeamua kuwa mwalimu wa kiingereza ss, unasahihisha kana kwamba nilikuwa nafanya mtiani wa kuandika maana za maneno. Dini na science havina uhusiano (mutual exclusivity) kusema hakuna MUNGU kwa kutumia science halafu ukataka mtu anayetumia imani akuelewe haiwezekani (contradiction) ataona unahubiri upagani. Majibu ya hayo maswali yako yote nimeyajibu ndani ya comment zangu lakini Tuishie hapa maana ushaanza pia kutumia lugha za jazba.Hujajibu maswali niliyouliza.
Na umenionesha hujui tofauti ya "prove" na "proof".
Hili linanifanya nifikiri wewe ni ngumbaru, ndiyo maana tuna matatizo ya kuelewana.
Maswali yangu hujajibu.
Unaelewa contradiction ni nini?
Unaelewa mutual exclusivity ni nini?
Unaelewa logical consistency ni nini?
Thibitisha Mungu yupo.Majibu nimekupa sema huyaoni unataka nikupe ya kwako yaliyo kichwani kwako, pia umeamua kuwa mwalimu wa kiingereza ss, unasahihisha kana kwamba nilikuwa nafanya mtiani wa kuandika maana za maneno. Dini na science havina uhusiano (mutual exclusivity) kusema hakuna MUNGU kwa kutumia science halafu ukataka mtu anayetumia imani akuelewe haiwezekani (contradiction) ataona unahubiri upagani. Majibu ya hayo maswali yako yote nimeyajibu ndani ya comment zangu lakini Tuishie hapa maana ushaanza pia kutumia lugha za jazba.
Kama hujui kufanya jambo lilililo na contradiction ni nini, hatuwezi kuelewana.Nimekuuliza kufanya jambo lililo na contradiction ndiyo nini? Sasa kuniuliza kama Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe asiloweza kulibeba ndio mie nitawezaje kujua hapo kufanya jambo lililo na contradiction ni nini?
Nieleze kwanza kufanya jambo lililo na contradiction ndio nini? Nikishaelewa ndio nitaweza hata kujibu hilo swali.
Kwani wewe ni nani hadi useme siwezi kujadiliana na wewe? Kwa sababu ni mkanaji Mungu maarufu hapa JF?Kama hujui kufanya jambo lilililo na contradiction ni nini, hatuwezi kuelewana.
Huna misingi ya awali kabisa ya kuweza kujadiliana na mimi.