Mm ndio siwezi thibitisha ndio maana natumia imani ya maandiko. Na si mm tu hata sayansi mpaka sasa haiwezi thibitisha. Nafsi yangu imekataa kukubali kuwa kwa sababu nimeshindwa kuthibitisha, na kwa sababu sayansi bado haijathibitisha basi hakuna MUNGU. Hivyo nikatafuta nje ya ubongo wangu na sayansi nikamkuta kwenye maandiko matakatifu, nikaamini. Una alternative nyingine ya uthibitisho kuwa hakuna MUNGU? Usiniambie sayansi maana bado kuna mambo mengi sayansi haijayagundua. Udhaifu ni mkubwa bado. Udhaifu ukipungua pungua pengine watagundua huko mbeleni, who knows?