Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwanza maovu ni nini? Tuanzie hapo."MUNGU NI MUWEZA WA YOTE"
Sasa mimi nawahoji nyinyi, je! Maovu hayajumuishwi katika neno "YOTE"?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza maovu ni nini? Tuanzie hapo."MUNGU NI MUWEZA WA YOTE"
Sasa mimi nawahoji nyinyi, je! Maovu hayajumuishwi katika neno "YOTE"?.
Wanaona wanachama wako watakufikishia.Si lazima uone wewe.Naona flat earthers mnaninukuu, lakini sioni mnachoandika kwa sababu nilishawaweka kwenye ignore list.
Nawakumbusha tu mpo katika ignore list kama nilivyowaambia.
Sina muda wa kujadiliana na flat earthers.
Prof John Lennox akiacha kuamini Mungu utakubali Mungu hayupo?
Yani Mungu wako hawezi kusimama mwenyewe, kusimama mpaka apate muhuri wa Prof. John Lennox?
Unaamini Mungu yupo kwa imani yako mwenyewe au kwa sababu Prof John Lennox kasema?
Akitokea Prof mkali kushinda John Lennox anasema Mungu hayupo, utaacha kuamini Mungu?
Mtu anakwambia the earth is flat mwaka huu 2019 nitajadiliana naye nini sasa?Mi mwenyewe naona kuna umuhimu wa kuwa block watu wa dzain hiyo
Na maana yake ni kwamba umekubali MUNGU YUPO kwa hoja zetu mpaka unakimbia.Mi mwenyewe naona kuna umuhimu wa kuwa block watu wa dzain hiyo
Mimi sitaki kuamini, nataka kujua. Ndiyo maana nakutaka utoe uthibitisho wa kuwapo Mungu.You are not making any sense whatsoever.
Hili swali jiulize ww pia unayeamini aliyoaandika Hawkins.
Ni matendo mazuri kwa mfanyaji na mabaya kwa mfanyiwa.Kwanza maovu ni nini? Tuanzie hapo.
BE BLESSED NADHAN UMEMUELEWA MINDSET YAKE...NI KUMUACHA TU NA UJINGA WAKE..AKILI ITAMKAA SAWA TUAtakuambia thibitisha kuwa Mungu yupo acha longolongo.
Ukimuambia nithibitishe kwa njia gani (maana watu wameshatoa uthibitisho) hatakuambia njia anazotaka umthibitishe huyo Mungu, au labda anataka njia za kisayansi labda umchukue Mungu umuweke kwenye bunsen burner baadaye umweke kwenye test tubes na conical flasks umchanganye na sulphuric acid kisha ikitokea rangi flani ndio akubali Mungu yupo[emoji23][emoji38][emoji38]. Sasa kwa mindset hiyo hapa hata mjadiliane vipi hamtafikia mwisho, mtakesha.
Kimsingi hawezi kukubali uthibitisho wowote atakaopewa kuhusu uwepo wa Mungu which in turns inapelekea akatae na kupinga jibu lolote atakalopewa.
Anyaways, since we are God's creation, He has put his signature in our hearts and souls na mwisho wa yote hata upingeje, bado dhamiri ndani yako inakuambia kwamba God is there.
We have an opinion to deny and reject his existence but that wont change anything bse He surely exists.
👏👏👏👏👏👏You are not making any sense whatsoever.
Hili swali jiulize ww pia unayeamini aliyoaandika Hawkins.
Duh! Ok twende hivyo hivyo.Ni matendo mazuri kwa mfanyaji na mabaya kwa mfanyiwa.
Swali lipo pale pale.MUNGU NI MUWEZA WA YOTE.
Je! Maovu si sehemu ya YOTE?.
Mwizi anapowekwa jela hiyo inamaanisha kua umekubali kua hajaiba?Na maana yake ni kwamba umekubali MUNGU YUPO kwa hoja zetu mpaka unakimbia.
Mjuzi ni kiumbe hai chenye uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ufanisi na kuelewa matokeo yake. Maana ya mjuzi wa yote utaipata kwa kunyambua neno jambo fulani kwenda kwenye mambo yote..Ebu eleza maana ya maneno haya:-MJUZI WA YOTE.
Alafu niambie kama MABAYA/MAOVU ni nje ya YOTE.
aaah!! hahaaha ni kweli una-matatizoKwa sababu wewe ni ngumbaru huwezi ukaelewa chochote.
Ingekuwa ni chaldish mtaala wa elimu ya sekondani wasingetumia.
Na kama huwezi kujenga hoja si lazima urushe matusi.
Sipendi ujinga na kama utarudia matusi nitakuweka kwenye ignore list ili nisione upuuzi wako tena.
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote - ukiwampo uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya- na upendo wote aamue kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo kabisa?Mjuzi ni kiumbe hai chenye uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ufanisi na kuelewa matokeo yake. Maana ya mjuzi wa yote utaipata kwa kunyambua neno jambo fulani kwenda kwenye mambo yote..
Kuhusu mabaya kuwa sehemu ya mambo yote sina pingamizi japokuwa sioni kwa jinsi gani itasaidia mjadala wako wa uwepo wa mungu..
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Kila jambo linahitaji uwezo.Au we unalo jambo lisilo hitaji uwezo?.Duh! Ok twende hivyo hivyo.
Sasa hapo kwa tafsiri hiyo ya uwovu,suala la uwezo wote linahusika vp? Maana mimi nikifanya jambo langu zuri linakuwa baya kwa mwengine na ndiyo uwovu je jambo hilo nalo linahitaji uwezo?
Umekiria lakini tofauti ya mfano wako wa mwizi na wewe?.Mwizi anapowekwa jela hiyo inamaanisha kua umekubali kua hajaiba?
Ikiwa umekubali kuwa MAOVU ni sehemu ya mambo yote!. Vipi useme eti Mungu muweza wa YOTE/Mjuzi wa yote.Apaswi kuruhusu maovu kutokea?.Mjuzi ni kiumbe hai chenye uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ufanisi na kuelewa matokeo yake. Maana ya mjuzi wa yote utaipata kwa kunyambua neno jambo fulani kwenda kwenye mambo yote..
Kuhusu mabaya kuwa sehemu ya mambo yote sina pingamizi japokuwa sioni kwa jinsi gani itasaidia mjadala wako wa uwepo wa mungu..
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
ASANTE SANA NDUGU KWA KUWAJIBU VITU KWA UFAHAMU MKUBWA...Ikiwa umekubali kuwa MAOVU ni sehemu ya mambo yote!. Vipi useme eti Mungu muweza wa YOTE/Mjuzi wa yote.Apaswi kuruhusu maovu kutokea?.
Nafikiri umenielewa.