Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

ulimwengu
Ndugu Kiranga naweza kusema unasumbuka na uelewa. Huelewi kuhusu sayansi ndiyo sababu huelewi pia mafundisho ya dini kuhusu Mungu. Hata hicho unachodai unakielewa hueweli kinathibitisha nini.
Yaani ni sawa na kwamba, umeshindwa kuchunguza mwenendo wako, unachunguza mwenendo wa wengine ili ufanikiwe; hapo ndipo unakosa uelewa.
Mtu ambae ameshindwa kuelewa matatizo yanatokana na nini anawezaje kuelewa sayansi inathibitisha nini?Hawezi! Unawezaje kusema Mungu anakuungiza kwenye matatizo wakati huohuo wewe ukaona hausiki na hayo matatizo. Hao ni wale wasiolewa ndiyo hufanya hivyo. Kwao matatizo yanasababishwa au yanaletwa na wengine, lakini sio wao. Huu ni upumbavu!
Mungu akujaribu wewe kwa kipi ambacho umekifanya? Kipi umefanya mpaka ustahili kujaribiwa na Mungu? Huelewi dini inafundisha nini, kubali huelewi!
Kwasababu huelewi ndiyo maana unaiona dunia iliumwa yenye matatizo. Hebu tazama, mfano wa mtoto mchanga anavyozaliwa, jifunze hapo utailewa dunia na hata matatizo utayaelewa na taratibu utaelewa sayansi, kisha Mungu.
Kwasababu tayari umeshakuwa na elimu, badala ya kuegemea maandiko tu; jibidiishe ufanye utafiti mdogo kuhusu maisha yako, ndugu zako na jamii yako utajifunza na kuelewa maana ya maisha ya mtu.
Ukisha zaliwa na kuwa mwanadamu unaweza kuukataa ukweli, lakini hiyo haimanishi kwamba hakuna ukweli.
 
Kuna watu aina 4
Wasioamini uwepo wa Mungu Wanajiona sawa na mimea na miamba

Wanaoamini uwepo wa Mungu lakini wasiotaka kumkiri scientology
Wanaoamini uwepo wa Mungu ila wasiotaka kufuata mlengo wowote wa Makundi ya kuonyesha ibada
Wanaoamini Mungu na wamejiunga na makundi mbalimbali ya ibada
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umepiga hadithi hadithi tu.
 
Mimi Mungu wangu ni chanzo cha kuwapo mwanzo. Chanzo cha kuwapo mwisho. Sababu ya kuwapo sababu. Sababu au cause ya kuwapo reasons.
Hapa sinukuu kitabu chochote.
Natambu uwapo wangu na naelewa sayansi kwa kiwango kilichojifunzwa tayari huku nikijua kuwa kila kanachogundulika ni negligible kulinganisha na ambacho hakijagundulika bado na kadiri vinavyogunduliwa ndio kadiri visivyojulikana bado vinavyoongezeka.
Naamini sababu ya uwapo huo tunaojifunza kila mara kwa sayansi ndio ilitwngenezwa iwe. Huyo ndio Mungu wangu.
Vitabu mbalimbali na makabila mbalimbali walishabahatik tangu zamani kila watu na style yao ya kutambua uwapo huo.
Mie kama scientist wa kiwango kidogo above average. Sielewi mtafiti wa ukweli anaachaje kuina hio nguvu
 
Pole ndugu.
Kama huoni Mungu kwenye kazi yake basi endelea polepole na maisha ila.nakutakia tafakari njema bila kiburi cha kuweza haya machache unayoyaona kama mengi
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umepiga hadithi hadithi tu.
 
Pole ndugu.
Kama huoni Mungu kwenye kazi yake basi endelea polepole na maisha ila.nakutakia tafakari njema bila kiburi cha kuweza haya machache unayoyaona kama mengi
That pile is condescending. Pole nikupe weee unayeamini kitu ambacho hata huwezi kuanza kukithibitisha.

Kazi ya Mungu ni ipi na unajiridhishaje kuthibitisha kwamba hii nibkazi ya Mungu, si kingine chochote?

Kiburi ni kulazimisha vitu ni kazi ya Mungu bila hata kutoa uthibitisho.

Wewe ndiye mwenye kiburi hapa.

Unalazimisha mambo bila hata kutoa uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo. Tuambie hiyo unayosema kazi ya Mungu ni ipi na unajuaje ni kazi ya Mungu si ya kingine chochote.
 
Mimi Mungu wangu ni chanzo cha kuwapo mwanzo. Chanzo cha kuwapo mwisho. Sababu ya kuwapo sababu. Sababu au cause ya kuwapo reasons.
Hapa sinukuu kitabu chochote.
Natambu uwapo wangu na naelewa sayansi kwa kiwango kilichojifunzwa tayari huku nikijua kuwa kila kanachogundulika ni negligible kulinganisha na ambacho hakijagundulika bado na kadiri vinavyogunduliwa ndio kadiri visivyojulikana bado vinavyoongezeka.
Naamini sababu ya uwapo huo tunaojifunza kila mara kwa sayansi ndio ilitwngenezwa iwe. Huyo ndio Mungu wangu.
Vitabu mbalimbali na makabila mbalimbali walishabahatik tangu zamani kila watu na style yao ya kutambua uwapo huo.
Mie kama scientist wa kiwango kidogo above average. Sielewi mtafiti wa ukweli anaachaje kuina hio nguvu
Unalazimisha hadithi.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

In a new book that was published posthumously, Stephen Hawking, who died in March, wrote that it is impossible for God to exist in our universe.


From his desk at Cambridge University and beyond, Stephen Hawking sent his mind spiraling into the deepest depths of black holes, radiating across the endless cosmos and swirling back billions of years to witness time's first breath. He viewed creation as a scientist, and when he was called to discuss creation's biggest puzzles — Where do we come from? What is our purpose? Are we alone? — he answered as a scientist, often to the chagrin of religious critics.

In Stephen Hawking's final book "Brief Answers to Big Questions," published Tuesday (Oct. 16) by Bantam Books, the professor begins a series of 10 intergalactic essays by addressing life's oldest and most religiously fraught question of all: Is there a God? [Big Bang to Civilization: 10 Amazing Origin Events]

Hawking's answer — compiled from decades of prior interviews, essays and speeches with the help of his family, colleagues and the Steven Hawking Estate — should come as no surprise to readers who have followed his work, er, religiously.

  • aHR0cDovL3d3dy5saXZlc2NpZW5jZS5jb20vaW1hZ2VzL2kvMDAwLzEwMi8yMTYvb3JpZ2luYWwvc3RlcGhlbi1oYXdraW5nLU9ORS1USU1FLVVTRS5qcGc=
Credit: Frederick M. Brown/Getty Images


"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
In life, Hawking was a vocal champion of the Big Bang theory — the idea that the universe began by exploding suddenly out of an ultradense singularity smaller than an atom. From this speck emerged all the matter, energy and empty space that the universe would ever contain, and all that raw material evolved into the cosmos we perceive today by following a strict set of scientific laws. To Hawking and many like-minded scientists, the combined laws of gravity, relativity, quantum physics and a few other rules could explain everything that ever happened or ever will happen in our known universe.
"If you like, you can say the laws are the work of God, but that is more a definition of God than a proof of his existence," Hawking wrote.

With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work.

"Did God create the quantum laws that allowed the Big Bang to occur?" Hawking wrote. "I have no desire to offend anyone of faith, but I think science has a more compelling explanation than a divine creator."
Hawking's explanation begins with quantum mechanics, which explains how subatomic particles behave. In quantum studies, it's common to see subatomic particles like protons and electrons seemingly appear out of nowhere, stick around for a while and then disappear again to a completely different location. Because the universe was once the size of a subatomic particle itself, it's plausible that it behaved similarly during the Big Bang, Hawking wrote.
"The universe itself, in all its mind-boggling vastness and complexity, could simply have popped into existence without violating the known laws of nature," he wrote.

That still doesn't explain away the possibility that God created that proton-size singularity, then flipped the quantum- mechanical switch that allowed it to pop. But Hawking says science has an explanation here, too. To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
Black holes, like the universe before the Big Bang, condense into a singularity. In this ultra-packed point of mass, gravity is so strong that it distorts time as well as light and space. Simply put, in the depths of a black hole, time does not exist.

Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time before the Big Bang."

"We have finally found something that doesn’t have a cause, because there was no time for a cause to exist in," Hawking wrote. "For me this means that there is no possibility of a creator, because there is no time for a creator to have existed in."

This argument will do little to persuade theistic believers, but that was never Hawking's intent. As a scientist with a near-religious devotion to understanding the cosmos, Hawking sought to "know the mind of God" by learning everything he could about the self-sufficient universe around us. While his view of the universe might render a divine creator and the laws of nature incompatible, it still leaves ample space for faith, hope, wonder and, especially, gratitude.

"We have this one life to appreciate the grand design of the universe," Hawking concludes the first chapter of his final book, "and for that I am extremely grateful."
Originally published on Live Science.

cc James Comey
AHAHHAHHAHH UNA..JUA SIKU SOMA HII.MAANA NILIONA NI UPUUZI AMBAO MTU MMOJA ANATAKA AWAPE WENGINE..


SASA SAIV NDIO NAANZA KUSOMA ET ANASEMA "I think the universe was spontaneously created out of nothing, "


NIMEISHIA HAPO HAPO MANA NIMEKUA NA MASHAKA NA AKILI ZAKE

1.
IVI KWELI KITU KINAWEZA KUTOKEA PASINA KITU ...SOMETHING FROM NOTHING???? EBU ATOE KWANZA DEFINATION YA NOTHING..

2. KUMBE YEYE MWENYEWE ANAFIKIRI ..NDIO MANA ANASEMA" I THINK"

KWA IYO HOJA YAKE FROM NOTHING

NAIVUNJA KWENYE VIPANDE ELFU..

YAAAN HAIJAWAI KUWEZEKANA NA HAITOKUJA KUWEZEKANA..IN OTHER WORD IITS NONSENSE

ONLY ONE EXISTENCE HAS THE BEGINING AND THE END OF EVERYTHING ..GOD. ONE GOD
 
Kitu kuzungumzwa sana na jamii nyingi nje na ndani ya vitabu siyo kigezo cha kitu hicho kuwa kilivyo ama kuwepo.
Mfano suala la dunia kuwa bapa liliandikwa sana enzi za Aristotle hàdi Claudius Ptolemy.

Na bado jamii nyingi ambazo hazijapata walau elimu ya kuanzia primary zinajua dunia ni bapa.

Hata hivyo haifanyi hali hiyo kuwa kama ilivyo.

Habari za Mungu zilibuñiwa toka màshariki ya kati na watawal ili kufanikisha maslahi yao.
Ndiyo maana moja ya agent wa colonialism in Afrika wapo wamisionari.

Watawala hao walituma watu sehemu mbalimbali kwenda kueneza habari hizo ili kukamilisha misheni hizo.

Na kwa kuwa jamaa wale walikuja na vimisaada vya kujenga mashule,hospitali na mengineyo jamii zilijikuta zikikubali tu kwa sababu ya hali mbaya za kimaisha.

Mungu ni character tu ndani ya vitabu viitwavyo vya Mungu, kama ambavyo Ngoswe alivyo ndani ya kitabu cha Ngoswe-penzi ni kitovu cha uzembe.
Unajua hapa utajichoresha bure!.

Ebu tuambie "Character" ni nini?.
 
mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ??

Kijana asubuhi njema maana hatutaelewana.
Ebu toa Maana ya maneno haya "MUWEZA WA YOTE" Alafu sema kama unayoyaita maovu si sehemu ya MUWEZA WA YOTE.
 
Watu ambao wame limit akili zao katika kufikiri mara nyingi huwa wanakurupuka kuokoteza vijihoja huko na huko wakidhani vinaweza kuwasaidia kutetea uongo wao wa kupinga uwepo wa Mungu.

Pfof, Hawkins alikuwa na udhuru (an excuse) kutokana na ugonjwa wake uliomsababishia "sonona" (depression) and I was sorry about him, kwa hiyo vyote alivyovisema au kuandika kipindi hicho lazima vichuliwe kwa tafakuri na siyo kukurupuka.

Ukiangalia maneno ya Hawkins hapo juu kabisa ambapo anasema; "------ it is impossible for God to exist in our universe ---"

[emoji1312]Hapo anakiri uwepo wa Mungu lakini anapinga uwepo wake katika huu ulimwengu wetu (in our universe). Hivyo ukitumia akili kidogo tu utaona anachopinga Hawkins ni uwepo wa Mungu katika hii universe yetu lakini hapingi kwamba Mungu hayupo kabisa.

Sasa mada inakuwa hivi;- "je Mungu yupo katika universe yetu au yupo mahali pengine wapi?."

Kama Hawkins angesema; "--God does not exist anywhere--" hapo ndio ingekuwa hoja ya kujadili uwepo wake.

Wanasayansi (theoretical physicists) waliokuwa Brilliant kuliko prof, Hawkins wanakiri kuwepo kwa Mungu mfano Isaac Newton , Albert Einstein, Abdus Salam, hao wawili Einstein na Salam ni Nobel winners-- Huyo salam alikuwa anaitwa WRANGLER huko University of Cambridge toka akiwa mwanafunzi hadi akiwa profesa wa mahesabu na physics, ka theorise lots of theories at the Cambridge which needs to be proved right now -- wote hao na wengineo wanakiri uwepo wa Mungu, je hamkuwaona au kusikia habari zao zinazohusu Mungu??.

Umesahau kumtaja Prof. John Lennox mtaalamu wa hesabu toka Oxford University. Very smart. Anaamini uwepo wa Mungu.

Sijui kwann wakina Kiranga wanashindwa kutupa comments za hawa wanasanyansi pia wamekomaa na Hawkins tuu
 
Umesahau kumtaja Prof. John Lennox mtaalamu wa hesabu toka Oxford University. Very smart. Anaamini uwepo wa Mungu.
Sijui kwann wakina Kiranga wanashindwa kutupa comments za hawa wanasanyansi pia wamekomaa na Hawkins tuu
Hawawezi kufanya hivyo maana itaonesha kumbe kusema hakuna Mungu ni misimamo yao binafsi na si suala la kisayansi.
 
Back
Top Bottom