Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Mkuu jina lako la kwanza linafanana na jina langu la kwanza, daaah nimefurahi sana kukutana na wajina wangu.

Habari mkuu
 
Kila jambo linahitaji uwezo.Au we unalo jambo lisilo hitaji uwezo?.
Alafu mkuu! Ebu jibu swali la awali kwanza,maana wewe unajaribu kuukimbia mjadala.
"MUNGU NI MUWEZA WA YOTE"
MAOVU NI NJE YA YOTE?.
Ni uwezo gani ambao unahitajika katika kufanya uovu? Kwa sababu wewe umesema ukifanya ambalo ni zuri kwako lakini baya kwa mwengine huo ndio uovu,sasa hapo ni uwezo gani unaohitajika kufanya uovu? Sijui kama unanielewa.
 
Ikiwa umekubali kuwa MAOVU ni sehemu ya mambo yote!. Vipi useme eti Mungu muweza wa YOTE/Mjuzi wa yote.Apaswi kuruhusu maovu kutokea?.
Nafikiri umenielewa.
Hapaswi kuruhusu maovu kwa kuwa mnasema ana upendo wote...
 
Haina haja nimegundua sasa.
 
Hapaswi kuruhusu maovu kwa kuwa mnasema ana upendo wote...
Huyo hata swali hajalielewa.

Hajaona contradiction

Amekubali contradiction.

Na hajaelewa kwamba, kukubali contradiction kunavunja msingi mzima wa dhana ya kuwepo Mungu.
 
It will click one day and you will be so happy and free!
Haya ni maneno ya mtu aliyeshindwa kuthibitisha mambo.

One day yes. Unaishi kwa matumaini yaliyojengwa juu ya jumba la maboksi.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaondoa contradictions katika dhana za kuwepo Mungu.

Huwezi kumuelezea hiyo Mungu wako akaeleweka.

Unalazimisha tu habari za one day, ambayo hata ukiulizwa tarehe yake huwezi kuitaja.
 
Haina haja au huwezi kuthibitisha?
Sio kwako wewe msoma vitabu vichache na kushikilia maandishi yao. Kama umeshindwa kurefer vitabu vyako na kujibu jinsi uumbaji ulivyoanza? Who am I?
Wenzio wakiona jani au udongo au mlima au kiumbe hawahitaji vitabu kujua kuna aliezitunga formula wanazojifunza wanasayansi.
 
Tatizo hutaki vitabu, unang'ang'ania ujinga.

Nimekuuliza kwa nini hivyo unavyovisema vinatoka kwa Mungu ni lazima viwe vinatoka kwa Mungu na si kwingine kokote?

Umeshindwa kujibu.
 
[QUOTE="Kiranga, post: 31902821, member: .......
Thibitisha Mungu yupo. Tuambie hiyo unayosema kazi ya Mungu ni ipi na unajuaje ni kazi ya Mungu si ya kingine chochote.
[/QUOTE]
Hapo umeanza kuelewa na kutumia akili.
Unajua na unakiri kuna Mungu au kingine...
So unakiri kuna force beyobd time beyond akili yetu ilioanzisha existence.

THAT IS GOD.

HONGERA Nilijua tu utafika hapa.
Asante case closed.
Now if you choose to bow your humanly head to God or not thats up to you
 
="Kiranga, post: 31902821, member: .......
Thibitisha Mungu yupo. Tuambie hiyo unayosema kazi ya Mungu ni ipi na unajuaje ni kazi ya Mungu si ya kingine chochote.

Wewe hata kusoma hujui. Sijisikii kuanza kukufundisha kusoma
 
O
Tatizo hutaki vitabu, unang'ang'ania ujinga.

Nimekuuliza kwa nini hivyo unavyovisema vinatoka kwa Mungu ni lazima viwe vinatoka kwa Mungu na si kwingine kokote?

Umeshindwa kujibu.
Panua uwigo wa vitabu vya kusoma pia tumia senses zako.
 
O

Panua uwigo wa vitabu vya kusoma pia tumia senses zako.
Wwewe unayeshikilia generalities bila specifics, unaonekana unabahatisha mambo kijumlajumla.

Mimi naweza kukuambia panua wigo wa vitabu vya kusoma, usiishie kusoma Biblia tu, soma na "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now".

Wewe ukisema nipanue wigo unasema kijumla jumla tu, huna hata kitabu cha kuniambia nisome.


How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now
READ AN EXCERPT

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
There are people who read other poples writings and those who think observe and write.
You read to know what somebodys mind is like. You dont make it yours haraka haraka.
Take time use your capabilities to establish and know what you can geow above the writer.
 
Unavyoanza na "There are people who reads..." tu, kwa mtu anayeielewa hiyo lugha na kujali mpangilio wake tayari kashakutoa katika watu wanaojua kuandika na hivyo, utakachoandika chochote kinakuwa chini ya wingu la ungumbaru.

Halafu unarudia kurukia hitimisho kwamba nikisoma nazoa yote na kuyakubali tu bila kuchekecha mwenyewe.

Kwa kweli, wafuasi wa dini ndio wenye tabia hiyo.

Msingi wa dini ni kuamini bila ubishi.

You are projecting your weakness on me.
 
Nitakuwa nakosea kuwaza kuwa theory ya Mungu unayoipinga ni zaidi inayojitokeza kutoka kwa watu wa mid east?
Ambao wanatumia vitabu maarufu kama biblia na Kurani?
Manake huyu Hawkings ndio alikuwa anazungumzia Mungu wa hivi vitabu. Wewe je?
 
Nitakuwa nakosea kuwaza kuwa theory ya Mungu unayoipinga ni zaidi inayojitokeza kutoka kwa watu wa mid east?
Ambao wanatumia vitabu maarufu kama biblia na Kurani?
Manake huyu Hawkings ndio alikuwa anazungumzia Mungu wa hivi vitabu. Wewe je?
Unajuaje kwamba Hawking alikuwa anazungumzia Mungu huyo tu?

Umesoma vitabu vingapi vya Hawking?

Ushahidi wako uko wapi?

Na wapi mazungumzo yangu ya Mungu yamesema naishia kwa Mungu huyo?

Na kama tunamuongelea huyo, unakubali huyo hayupo na ni hadithi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…