Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Baadhi ya dini zina miungu tofauti tofauti, ila Mungu wa kweli ni mmoja tu. Kinachopelekea watu waamini miungu ni kukosa ufahamu sahihi sasa baada ya kuwa wame-detect uwepo wa Mungu yule ambaye ni mmoja tu. Lakini at least hata yule anayeabudu miungu, anasignify kwa kiwango kikubwa sana kwamba kuna Mungu wa kweli ila ameshindwa tu kwa namna moja ama nyingine, ku-capture the right signal!

Ndio hapo sasa matatizo yanapoanzia, huyo Mungu wa kweli ni yupi, kwanini inakua shida au vigumu kumjua hadi watu watangetange kwenda kwa miungu wengine? Nilitegemea Mungu wa kweli ajulikane na wote kisha waamue kumsadiki au kutokumsadiki.

Kwa hali ilivyo sasa, unaweza kutumia tool gani au mfumo upi kuthibitisha kwamba Mungu anaeabudiwa na hawa jamaa ndio Mungu wa kweli? Hauoni kwamba hii hali ikiendelea inafanya kila anaemwabudu Mungu wake aseme kwamba ndio Mungu wa kweli na wengine ni wa uongo?

Nimeshaweka wazi, sipo kwenye kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu japo mjadala ndio umejikita hapo. Tumefikia hapo kwenye kujua huyo Mungu wa kweli ni yupi na namna gani ya ku-capture the right signal!

Ahsante
 
Mimi kama mmoja wa wanaoamini uwepo wa Mungu naomba niongezee kidogo mambo ya kutafakari ili tujue ni kitu gani kipo mbele yetu na huenda ikaboresha mjadala tukaongeza ufahamu.

Kiranga hana shida na mtu kuamini kwamba Mungu yupo, hilo anakubaliana nalo na hana tatizo kabisa. Shida yake ipo kwenye DHANA nzima ya UWEPO wa Mungu, namaanisha dhana inasema huyu Mungu ni mjuzi wa yote, ana upendo wote, ana uwezo wote. Lakini maandiko hayo hayo yanayompa hizo sifa zote, ndani yake kuna mkanganyinko unaotokana na maelezo kwa matukio mengi kupingana na sifa za huyo Mungu.

- Mungu anaejua yote kamtengeneza Adam kisha baadae anakumbuka, oh, kumbe alitakiwa awe na msaidizi, akamtengeneza HAwa.

- Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote anaamua kuwaondoa waisrael Misri, njiani anaghafilika anataka kuwaangamiza ambakishe Musa peke yake, ni kama anaona haukua uamuzi wa busara au alikosea kuamua kuwapeleka nchi ya Israel.

- Anamuumba binadamu na kumpa maagizo ya namna ya kuishi, anakosea, anamleya Yesu ambae ni Mungu na Hapo hapo ni binadamu, anakuja kufa ili awakomboe wanadamu. Hawa wanadamu wanatakiwa waishinde dhambi na kuishi kama Yesu alivyokuwa duniani wakati wao hawana uungu na ubinadamu kwa wakati mmoja.

- Anaamua kiwango au kiasi cha ufahamu wa kumjua yeye usiwe sawa, utofautiane kwa kila mmoja.

Hayo ni kwa uchache tu, na ndio maana sasa ukijaribu kutafakari ni kama kuna vitu havioani au inabidi uhitaji kiasi flani au kiwango cha tofauti kuweza kuelewa haya mambo, sasa ilitegemewa mambo yaliyopangiliwa na kutengenezwa na Mungu, yawe katika usahihi ikiwa ni mfano wa ufasaha wa mambo.

Na hapo ndipo Kiranga anasema dhana au hoja nzima ya uwepo wa Mungu, imejengwa kwenye msingi dhaifu.

NB. Naamini katika uwepo wa Mungu.
Uthibitisho juu ya kuwepo kwa chanzo chenye hekima hautegemei vitabu ili kujidhihirisha

Tupo wengi tu tunaoamini juu ya chanzo hicho

Nje kabisa ya maandishi ya kidini

Na huyo Mungu wa kiyahudi wala hatuna tatizo naye

Tatizo kubwa linalojitokeza katika kujadili sana sana juu ya kutokuwepo kwa Muumba

Watu wanaopinga katika hili wana madai ya mlengo mmoja

Ile hekima ya kila majambo hutokea na kinyume chake (Yin & Yang) hawataki idhihiri akilini mwao_ndio tatizo

Wanataka kukariri Tu mwelekeo wa aina moja wa ufahamu wakati dunia yenyewe inaonesha relaying katika utendaji _Yaani ni No kukariri [emoji16]
 
Hata mimi sitaki na wala sipendi kukariri mkuu japo sijui ukisema kukariri unamaana ipi hasa, unaweza kumaanisha kukumbuka, kusoma kitu ukakichukua hivyohivyo bila kukitafakari n.k

Kama nimekuelewa vizuri, wewe hautaki mbwembwe nyingi, unasema ukiamka asubuhi ukajiona uko mzima, unaliona jua, mawingu, ardhi, mimea n.k, unahitimisha kwamba Mungu kaviumba na kwa maana hiyo yupo, au sijakupata point yako?
 
Ndio hapo sasa matatizo yanapoanzia, huyo Mungu wa kweli ni yupi, kwanini inakua shida au vigumu kumjua hadi watu watangetange kwenda kwa miungu wengine? Nilitegemea Mungu wa kweli ajulikane na wote kisha waamue kumsadiki au kutokumsadiki.

Kwa hali ilivyo sasa, unaweza kutumia tool gani au mfumo upi kuthibitisha kwamba Mungu anaeabudiwa na hawa jamaa ndio Mungu wa kweli? Hauoni kwamba hii hali ikiendelea inafanya kila anaemwabudu Mungu wake aseme kwamba ndio Mungu wa kweli na wengine ni wa uongo?

Nimeshaweka wazi, sipo kwenye kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu japo mjadala ndio umejikita hapo. Tumefikia hapo kwenye kujua huyo Mungu wa kweli ni yupi na namna gani ya ku-capture the right signal!

Ahsante
Free will is our greatest blessing and in many ways, our worst curse! Hapo sasa ndiyo inapokuja issue ya choice. Kwa kuanzia nakushauri uende Kanisani, Mungu atakutana na wewe huko. Haya maneno sasa ninayokuambia kama "Nenda Kanisani Mungu atakutana na wewe huko", ndiyo tools sasa za Spritual Science, na ukifika huko utakutana na maneno tu, hutakuta kifaa chochote kama cha kwenye maabara za shuleni au za mahospitalini. Utakutana na watu wanatamka maneno halafu mtu alikuwa na kichomi ambacho kimemsumbua kwa miaka 20 hospitalini haponi lakini kinapona kwa kuambiwa maneno tu na mtu.

By the way, kichomi kinaweza kusikia sauti? Kwa Emperical Sayansi the answer is BIG NO; kwa spritual science the answer is BIG YES. Tuache usomi wa kuchanganya mambo. Mimi nimesoma Sayansi tangu kdato cha Kwanza mpaka Chuo Kikuu, lakini mchango wa kila discipline ya sayansi nauheshimu KWA KUFUATA KANUNI ZAKE, huwezi ukanikuta ninazi-swap!
 
Looks like ur using both emperical scence and speculations. Kwa kifupi tu ni kwamba, Mungu humwekei standards wewe kwa maana ya kuwa si lazima kila unachokiona kibaya kwako na kwake ni kibaya, na si lazima upendo alionao ufananane na upendo walio nao binadamu.Kwani nani kasema kuwa sisi ndiyo tunatakiwa ku-set standards halafu Mungu ndiyo a-follow-suit kwenye standards hizo? Mistake kubwa ndiyo hiyo kwamba standards huwa tuna-approve sisi na kuanza kuzitumia katika kumu-judge Mungu namna alivyo. Mungu si mjinga angekuwa anatumia standards zetu angekuwa ameshaondoa kabisa kifo kisingekuwepo tena!

Just a hint, spritual science is not emperical science and emperical science has not at any time t, claimed to be the basis of source of every kind of knowledge and hence it cannot expalin all phenomena. Reality transcends empirical knowledge.

Another hint: wakati Albert Einstein akiwa anafanya kazi za utafiti kwa kutumia Laws of classical Physics ambazo zilikuwa developed huko nyuma na wana Fizikia wakali kama akina Isaac Newton na wengine, alikuja kubaini kuwa kuna baadhi ya phenomenal cases hizi laws zina-fail ku-explain, na ndiyo akaja aka-developed special Theory of Relativity iliyo base kwenye Quantum Mechanics, ambazo sasa ziliweza ku-reconcile ile failure ya zile za Classical Mechanics. This proves outright that Emperical Science is still developing and hence it cannot explain everything. Huwezi ukawa uko sahihi kwa kuchanganya maelezo yanayohusu discipline moja ya sayansi na maelezo yake kwenye discipline nyingine tofauti ya Sayansi, hili ndiyo kosa kubwa linalofanyika kwenye mijadala hii. Kwa mfano, hamuwezi mka-reconcile discreapancies kwenye imani mbili let's say Uislam na Ukristo kwa kutumia vyote Quran na Biblia. Kwamba mwislamu atumie Quran na mristo atumie Biblia, haiwezekani, kwa sababu mkifanya hivyo mtakuwa mmekosa standards. Aidha inabidi mu-develop standards nyingine za kutumia au mchague kutumia kitabu kimojawapo kati ya hivyo viwili na si vyote. Hivi vitu viko straightforward na huwa ninashangaa sana ninapoendelea kuona mijadala ya namna hii inazidi kuibuka kila kukicha

Mfano mwingine ni kwamba hayupo mtu hapa dunianai ambaye alishawahi kusema kwamba YESU HAJAWAHI KUWEPO, hayupo na ndiyo maana hata the popular world calendar inatumia BC na AD.However, on the same issue,Spritual Science ina-prove,kwa kutumia tools zake ambazo si sawa na zile za emperical, kuwa alifufuka na kupaa mbinguni(kitu ambacho kupaa hewani against gravity ni impossible badsed on emperical laws of nature)
Sasa mimi nakaa najiuliza maswali nashindwa kuelewa. Huu usomi wa kuwa tunasoma hadi tunafikia kushindwa kuelewa sayansi ipi ni ipi tunauokota wapi? Uwe kwenye emperical sayansi halafu uchukue tools za huko na kuzipeleka kwenye spritual science zikatumike huko, nani kasema kwamba emperical sayansi pekee ndiyo inayoweza ku-explain all phenomena?

Je, wakati tunasoma kwenye Research Methodology kwa mfano, tulifundishwa hivyo? Kwamba utatumia Newton's Laws of Motion kujua IDADI ya wakimbizi wa Rohingya Muslims waliotembea kutoka Mynamar Kwenda Bandladesh kisa walikuwa wanatembea (motion)? Kwamba utatumia IDADI ya watu waliokufa kutokana na radiations za URANIUM kujua RADIO-ACTIVE DECAY au Half life ya Uranium, kwamba idadi ya watu walioathirika itakusaidia kujua ni radiatons kiasi gani zimekuwa emitted na Uranium? Hii mifano miwili naifananisha na mtu anaye-apply tools za emperical science ku-prove mambo kwenye spritual science

Emperical sayansi haina tools amnazo zinaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu, na hata wanasayansi wanaosema kuwa MUNGU yupo hawajatumia emperica tools kusema hivyo, na kwa hiyo wanaodai kuwa Mungu hayupo NAO PIA hawawezi kutumia emerical tools kudai hivyo, as simple as that.

Hii issue ya kuwepo au kutokuwepo Mungu is not as complicated and confusing as it appears to be, but rather the complications and confusions arise from the lack of perfect knowledge, when we try to accommodate both the divine knowledge and emperical knoledge STANDARDS, to the LACK OF STANDARDS in our contemporary morality. Kna kitu sisi wabishani hatuna, na hicho ndicho kinatufanya tubishane. Tatizo hapa ni LACK OF STANDARDS, na si Mungu kuwepo au kutokuwepo!
Umeaongelea speculation.

Ukisema Mungu yupo bila ushahidi ni speculation.

Ukisema roho ipo bila ushahidi ni speculation.

Ukisema pepo ipo bila ushahidi ni speculation.

Unakubali hayo?
 
Baadhi ya dini zina miungu tofauti tofauti, ila Mungu wa kweli ni mmoja tu. Kinachopelekea watu waamini miungu ni kukosa ufahamu sahihi sasa baada ya kuwa wame-detect uwepo wa Mungu yule ambaye ni mmoja tu. Lakini at least hata yule anayeabudu miungu, anasignify kwa kiwango kikubwa sana kwamba kuna Mungu wa kweli ila ameshindwa tu kwa namna moja ama nyingine, ku-capture the right signal!
A priori fallacy.
 
Free will is our greatest blessing and in many ways, our worst curse! Hapo sasa ndiyo inapokuja issue ya choice. Kwa kuanzia nakushauri uende Kanisani, Mungu atakutana na wewe huko. Haya maneno sasa ninayokuambia kama "Nenda Kanisani Mungu atakutana na wewe huko", ndiyo tools sasa za Spritual Science, na ukifika huko utakutana na maneno tu, hutakuta kifaa chochote kama cha kwenye maabara za shuleni au za mahospitalini. Utakutana na watu wanatamka maneno halafu mtu alikuwa na kichomi ambacho kimemsumbua kwa miaka 20 hospitalini haponi lakini kinapona kwa kuambiwa maneno tu na mtu.

By the way, kichomi kinaweza kusikia sauti? Kwa Emperical Sayansi the answer is BIG NO; kwa spritual science the answer is BIG YES. Tuache usomi wa kuchanganya mambo. Mimi nimesoma Sayansi tangu kdato cha Kwanza mpaka Chuo Kikuu, lakini mchango wa kila discipline ya sayansi nauheshimu KWA KUFUATA KANUNI ZAKE, huwezi ukanikuta ninazi-swap!
Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote asingeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na curse.
 
Mimi tokea utoto wangu, shule na hadi sasa ni muumini mzuri sana wa kanisani. Sayansi naweza kusema nimesoma kwa kiwango kidogo. Nikurahisishie tu naona kuna kitu unakikosa japo haikua lengo langu hili liwe muhimu kuliweka hapa sikufikiria litaleta tija, ni kwamba mie ni mprotestant (Mpentekoste) kuanzia Babu yangu alikua mzee wa kanisa tokea enzi hizo. Hadi hapo naomba twende pamoja kwamba naamini Mungu yupo. Na hata siku moja sichanganyi sayansi na dini, lakini natumia akili kupambanua mambo yanayonizunguka na kuyatafakari, vinginevyo sitakua na tofauti na wanayama wengine wasio binadamu.

Nilikua nawaza kuwa na uzi maalum wa wale wanaoamini Mungu yupo, lakini iwe mahsusi kujadili ni Mungu yupi sahihi au wa kweli na vitu gani vinaashiria huyo ndio Mungu sahihi? Hapo watu watatueleza kwanini wanaamini Mungu yupo, ni Mungu yupi, na kwanini huyo Mungu nibora au ndio wa kweli kuliko wengine?

Nikirudi kwenye jibu lako, unafikiria ungekua na mtizamo huo huo kuhusu Mungu unaemwamini endapo ungezaliwa nchi za kiarabu? Kama uelewa wako wa sasa kuhusu Mungu, unalingana na uelewa wa mtu aliyeko India?

Huko kote mbali, huko kanisani unaponishauri niende (Naenda sana) umewahi kujiuliza kama ungekuwa na uwezo wa kuona kila mmoja anajenga taswira ya Mungu wa aina gani anaposali, unafikiria wote wana mtazamo mmoja? kila mtu ana version yake unaweza kushangaa kabisa.

Kwa jinsi ilivyo, kila mmoja anahaki na kutetea hoja yake kwamba Mungu anaemwabudu au kumwamini ndio wa kweli.
 
If Hawkins assumption that this fine tuned universe spontaneously emerged from a spark, then

1.why there are no more big bangs, why it appeared once?

2. Where that spark came from?

3. Why we have only one earth, why not more than one earth or many earths for that matter?

4. Do explosions create order or confusion??

BIG BANG THEORY LEAVES MANY QUESTIONS BEHIND THAN ANSWERS.
 
Mimi tokea utoto wangu, shule na hadi sasa ni muumini mzuri sana wa kanisani. Sayansi naweza kusema nimesoma kwa kiwango kidogo. Nikurahisishie tu naona kuna kitu unakikosa japo haikua lengo langu hili liwe muhimu kuliweka hapa sikufikiria litaleta tija, ni kwamba mie ni mprotestant (Mpentekoste) kuanzia Babu yangu alikua mzee wa kanisa tokea enzi hizo. Hadi hapo naomba twende pamoja kwamba naamini Mungu yupo. Na hata siku moja sichanganyi sayansi na dini, lakini natumia akili kupambanua mambo yanayonizunguka na kuyatafakari, vinginevyo sitakua na tofauti na wanayama wengine wasio binadamu.

Nilikua nawaza kuwa na uzi maalum wa wale wanaoamini Mungu yupo, lakini iwe mahsusi kujadili ni Mungu yupi sahihi au wa kweli na vitu gani vinaashiria huyo ndio Mungu sahihi? Hapo watu watatueleza kwanini wanaamini Mungu yupo, ni Mungu yupi, na kwanini huyo Mungu nibora au ndio wa kweli kuliko wengine?

Nikirudi kwenye jibu lako, unafikiria ungekua na mtizamo huo huo kuhusu Mungu unaemwamini endapo ungezaliwa nchi za kiarabu? Kama uelewa wako wa sasa kuhusu Mungu, unalingana na uelewa wa mtu aliyeko India?

Huko kote mbali, huko kanisani unaponishauri niende (Naenda sana) umewahi kujiuliza kama ungekuwa na uwezo wa kuona kila mmoja anajenga taswira ya Mungu wa aina gani anaposali, unafikiria wote wana mtazamo mmoja? kila mtu ana version yake unaweza kushangaa kabisa.

Kwa jinsi ilivyo, kila mmoja anahaki na kutetea hoja yake kwamba Mungu anaemwabudu au kumwamini ndio wa kweli.

Kuna machaguo ambayo huwa tunafanya sisi, mengine anafanya Mungu. Kuzaliwa kukua na kufa anafanya Mungu kwa kusudi lake maalum. Pia wapi upo mda huu na kile unachofanya pale ulipo mpaka kipindi hiki ni KUSUDI LAKE ambalo linakamilishwa na choices zako unazofanya ukiwa hapo ulipo. Na kama unaongozwa na Roho Mtakatifu, umejaa Roho, nachelea kusema kuwa unafanya mambo ukijua kuwa ni wewe kumbe hapana, ni Yeye. Hufanyi wewe, anafanya yeye!
 
Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote asingeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na curse.
Go back to the issue of standards.Tusimlishe maneno Mungu, miimi ninapoona kuwa kuna curse, haimaanishi kuwa hata yeye anaona hivyo. NInaona hivyo mimi!
 
Umeaongelea speculation.

Ukisema Mungu yupo bila ushahidi ni speculation.

Ukisema roho ipo bila ushahidi ni speculation.

Ukisema pepo ipo bila ushahidi ni speculation.

Unakubali hayo?
Emperically wrong, spritually correct!
 
Kuna machaguo ambayo huwa tunafanya sisi, mengine anafanya Mungu. Kuzaliwa kukua na kufa anafanya Mungu kwa kusudi lake maalum. Pia wapi upo mda huu na kile unachofanya pale ulipo mpaka kipindi hiki ni KUSUDI LAKE ambalo linakamilishwa na choices zako unazofanya ukiwa hapo ulipo. Na kama unaongozwa na Roho Mtakatifu, umejaa Roho, nachelea kusema kuwa unafanya mambo ukijua kuwa ni wewe kumbe hapana, ni Yeye. Hufanyi wewe, anafanya yeye!

Hayo machaguo lazima yaongozwe na kitu flani, hauwezi kuchagua kujirushia barabarani tu bila sababu yeyote.
Mtoto aliyezaliwa India maamuzi au uchaguzi wake kwa kiasi kukubwa utaongozwa na jamii inayomzunguka, ikiwepo mambo ya imani.

Mtu aliyeendaa shule nae atafanya maamuzi au uchaguzi wake kwa kiwango tofauti sana na yule ambae hajaenda shule.

Kwa maelezo yako, ni kama Mungu anaamua au kupanga mambo mengi sana kuhusu sisi wanadamu kama ulivyoelekeza,

Sasa kama anaamua The Monk aamini Mungu yupo na Kiranga aseme Mungu hayupo, hapo hauoni huyo anaeratibu nakuongoza hayo mambo yote ana upendeleo au kunatatizo sehem?
 
Precisely, it resonates with what Nyani Ngabu mentioned previously, the whole thing remains mystery!
in your view, should we disengage searching answers related to universal questions?

Yes, where we can't get real answers, is where we stop questioning.
e g we scientists believe in dimensions.
But when we can't tell the exact size of the universe in terms of distance, volume or weight, we are supposed to stop forcibly to pretend that we can give answers.
 
What can be used as a factor to determine whether real answers will be available? and at what point possibility of getting real answers disappears so that it can be proclaimed to stop any searching initiatives?
 
Hayo machaguo lazima yaongozwe na kitu flani, hauwezi kuchagua kujirushia barabarani tu bila sababu yeyote.
Mtoto aliyezaliwa India maamuzi au uchaguzi wake kwa kiasi kukubwa utaongozwa na jamii inayomzunguka, ikiwepo mambo ya imani.

Mtu aliyeendaa shule nae atafanya maamuzi au uchaguzi wake kwa kiwango tofauti sana na yule ambae hajaenda shule.

Kwa maelezo yako, ni kama Mungu anaamua au kupanga mambo mengi sana kuhusu sisi wanadamu kama ulivyoelekeza,

Sasa kama anaamua The Monk aamini Mungu yupo na Kiranga aseme Mungu hayupo, hapo hauoni huyo anaeratibu nakuongoza hayo mambo yote ana upendeleo au kunatatizo sehem?
Mjadala unahitaji maandiko matakatifu kw kina. As long as umenihakikishia kuwa wewe ni muumni, go back to your credible sources, the Bible.unless labda kama unataka kuelewa kiwango changu cha uelewa wa neno la Mungu. Kiranga ana ulinzi wa Mungu pia. Hakuna mtu aliye hai ambaye hana ulinzi wa Mungu. Ukikosa ulinzi wa Mungu huwezi ukaendelea kuwa hai!
 
Ahsante mkuu, tufanye sijasema utumie logic, nimetoa mfano tu kwamba nikisema wewe zuri sio binadamu ni mnyama aina ya Nyangumi, utafanyaje?

Nitakueleza hali halisi kuhusu mimi .... Na kwa vipi uniambie jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani ?

Hapa ndipo watu wa mantiki walipoangukia pua. Mwenye akili timamu hawezi kumwambia binadamu mwenzake Nyangumi hali ya kuwa nyangumi anajulikana ni nani ?
 
Mjadala unahitaji maandiko matakatifu kw kina. As long as umenihakikishia kuwa wewe ni muumni, go back to your credible sources, the Bible.unless labda kama unataka kuelewa kiwango changu cha uelewa wa neno la Mungu. Kiranga ana ulinzi wa Mungu pia. Hakuna mtu aliye hai ambaye hana ulinzi wa Mungu. Ukikosa ulinzi wa Mungu huwezi ukaendelea kuwa hai!
Unajuaje haya maandiko ni matakatifu ya Mungu na haya ni ya watu tu si matakatifu wala ya Mungu?
 
Hiyo sasa ni imani yangu, naamini hivyo na nina ushahidi wa kiroho ambao ni unique kwangu kiasi kwangu naweza nikautoa kwako usikuingie na ukauona kuwa ni nonsense, na una haki hiyo, kama ikitokea hivyo.

Tahadhari tu ni kwamba usije ukalazimisha imani yangu iwe provable emperically, tutarudi kule kule tulikokuwa. Hata hivyo si Biblia pekee inayosema kuwa Mungu yupo, vipo vitabu vingine vingi vitakatifu vinavyotambua hilo pia!
 
What can be used as a factor to determine whether real answers will be available? and at what point possibility of getting real answers disappears so that it can be proclaimed to stop any searching initiatives?
We can go on searching and making researches so long as we come with true answers.
Otherwise to me and me only, it is a wastage of my time.
Do you want to tell me if I suggest we start a research on"HOW NOT TO DIE ",you are going to support me? Do you think we can come out with a true answer?
Or, Why do we have an active hand(right) and a semi active hand(left hand)
Does that also hapen to animals?
Or make a research if plants also perceive pain cause they are living things.
 
Back
Top Bottom