Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyo jamaa kapoteza funguo kitambo sana nisha mstukiaKumbe sikukosea kuacha kujadiliana naye.
Hata wengine mnaona idiocy hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kapoteza funguo kitambo sana nisha mstukiaKumbe sikukosea kuacha kujadiliana naye.
Hata wengine mnaona idiocy hapo.
@Zurri kauliza kitu mpaka umekielewa..!? Kweli we ni genius_hebu sherehesha kidogo hilo swaliWE MACHOG NJOO UJIBU HAPA
Alishawahi kusema jiwe ni kiumbe hai
@Zurri kauliza kitu mpaka umekielewa..!? Kweli we ni genius_hebu sherehesha kidogo hilo swali
Maana nikisoma bandiko lake huwa naona Kama anaandika kiarabu hivi..!
Kumbe sikukosea kuacha kujadiliana naye.
Hata wengine mnaona idiocy hapo.
Huyo jamaa kapoteza funguo kitambo sana nisha mstukia
Kuna proof moja ya math ya uongo ina division by zero nilimbabatiza akashangilia 2=1.
Nilicheka sana.
DahIla si unakumbuka nilikiri kabisa kwamba nimekosea ? Au umesahau hili ? Kwangu mimi kukiri kosa ni nusu ya elimu. Kukosea si jambo la ajabu,ajabu ni kukosea halafu usikubali kama umekosea,kufanya hivyo ni kuihujumu Elimu na watu wake. Mimk nisikosee nimekuwa nani ? Wamekosea wabora kuliko mimi kwa zama,kwa umri na kwa maarifa iweje nisikosee mimi ?
Sababu umenikimbia kwa kuni "ignore" kama ulivyosema,habari hizi watakufikishia watakao soma maneno haya. Tangu zamani nilikuwa nakushangaa "Vipi wewe utaweza kuruka angani hali ya kuwa huna mbawa?". Ajabu ajabu ajabu ajabu.
Sasa wewe unaeshindana na watu waliokuzidi kifikra ndio unazidi kuonekana kituko na usie jua lolote katika mizani ha elimu.
Nipo ...
Dah
Usimseme hivyo kiranga
Natamani nikwambie elimu yakeSijamsema bali nimeamua kumkirimu tu kwa lugha laini,sababu kwetu sisi huwa tunaweza kumjeruhi mtu kwa "kalamu" yaani kwa maneno ya kielimu na bayani,na huyu hajafikia hali ya kujeruhiwa kwa maneno ya kielimu sababu hana athari yoyote.
Huwa siitiki mpaka niitwe.
Nipo ....
Natamani nikwambie elimu yake
Lakini ngoja ninyamaze
Imsni hiyo IPI?Swali zuri. Suala la watu kujitenga au kuhitilafiana ni kutokana na ujinga,mataminio ya nafsi na ujuaji.
Kila jambo lina chanzo,na ukisoma vizuri utakuta ya kuwa asili ya Mola wetu kuchagua miongoni mwa waja wake kuwa mitume au manabii ni baada ya waja kuanza kufanya shirki/ushirikina.
Binadamu tumeumbwa na utashi,uhuru wa kutenda na kuchagua na tukapewa nyenzo za kuupokea ukweli. Huu uhuru tuliopewa ndio tunautumia vibaya. Leo hii hakuna mtu anae lazimishwa kufanya uovu zaidi ya hiari yake mwenyewe,na kuna wakati mwanadamu anaweza kufanya jambk huku akijua kabisa jambo hili lina madhara lakini akafanya,hapa nani wa kumlaumu ? Kuuliza swali kwanini kuna madhara ni uvivu wa kufikiri na kujiuliza kwanini unafanya jambo ovu au lenye madhara ni matumizi mazuri sana ya akili.
Mitume wote walikuwa na imani moja,walikuja kutangaza wito kwa waja wote wamuabudu Mola mmoja na wampige vita mshirikina na wajitenge na taghuut. Hii ndio kauli ya mitume wote,hapa utaona ya imani ni moja,ila mitume walitofautiana sheria kutokana na mahitaji. Ndio maana sheria ya Mussa si ya Issa ,ya Issa si ya Daudi si ya Suleymaan na si ya Muhamman amani ya Allah iwe juu yao.
Nakomea hapa kufupisha maelezo,kama utakuwa na swaki kwa haya nikiyo kueleza utauliza.
kk
Kwani huyu ni demu mkuu?Kiranga njoo umjibu dada ako
Mi sielewi maswal yake
Teh ... [emoji28]Kwani huyu ni demu mkuu?
Sio kweli,tatizo huwa mnajidai mnasoma,hali ya kuwa hamsomi kwa mazingatio.
Natumia Kiswahili cha kawaida sana.
dem nimemkonyeza tu anacheka/Nacheka sana,ajabu wewe unae kataa kuwa si kiumbe ulishindwa kuthibitisha kama jiwe si kiumbe,na leo nakuongezea tena,hata "MUDA" nao ni kiumbe pia.
dem nimemkonyeza tu anacheka/
je nkimtongoza c ndo ntambonyeza bila pesa?[emoji389][emoji385][emoji385][emoji389]....
Tatizo huwa mnapoingia mnashindwa kutoka.
Tofauti yangu na nyinyi,mimi nilianza kufundishwa kwanza kabla ya kujadiliana.
Kufundishwa kua jiwe ni kiumbe hai???
Hao waliokufundisha waje kwangu niwafundishe namna ya kufundisha