Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

@Zurri kauliza kitu mpaka umekielewa..!? Kweli we ni genius_hebu sherehesha kidogo hilo swali

Maana nikisoma bandiko lake huwa naona Kama anaandika kiarabu hivi..!

Sio kweli,tatizo huwa mnajidai mnasoma,hali ya kuwa hamsomi kwa mazingatio.

Natumia Kiswahili cha kawaida sana.
 
Kuna proof moja ya math ya uongo ina division by zero nilimbabatiza akashangilia 2=1.

Nilicheka sana.

Ila si unakumbuka nilikiri kabisa kwamba nimekosea ? Au umesahau hili ? Kwangu mimi kukiri kosa ni nusu ya elimu. Kukosea si jambo la ajabu,ajabu ni kukosea halafu usikubali kama umekosea,kufanya hivyo ni kuihujumu Elimu na watu wake. Mimk nisikosee nimekuwa nani ? Wamekosea wabora kuliko mimi kwa zama,kwa umri na kwa maarifa iweje nisikosee mimi ?

Sababu umenikimbia kwa kuni "ignore" kama ulivyosema,habari hizi watakufikishia watakao soma maneno haya. Tangu zamani nilikuwa nakushangaa "Vipi wewe utaweza kuruka angani hali ya kuwa huna mbawa?". Ajabu ajabu ajabu ajabu.

Sasa wewe unaeshindana na watu waliokuzidi kifikra ndio unazidi kuonekana kituko na usie jua lolote katika mizani ha elimu.

Nipo ...
 
Dah

Usimseme hivyo kiranga
 
Dah

Usimseme hivyo kiranga

Sijamsema bali nimeamua kumkirimu tu kwa lugha laini,sababu kwetu sisi huwa tunaweza kumjeruhi mtu kwa "kalamu" yaani kwa maneno ya kielimu na bayani,na huyu hajafikia hali ya kujeruhiwa kwa maneno ya kielimu sababu hana athari yoyote.

Huwa siitiki mpaka niitwe.

Nipo ....
 
Natamani nikwambie elimu yake

Lakini ngoja ninyamaze
 
Natamani nikwambie elimu yake

Lakini ngoja ninyamaze

Sasa kama elimu yake haikumfaa,basi hajanufaika kwayo,kama unajivunia "Usecular" elimu isiyo kuwa na uwezo wa kumfundisha mtu namna ya kula au kuoga janaba ? Huu ni utumwa wa kifikra na ujinga wa kupigiwa mfano.

Bora ulivyo kaa kimya kwani ungesema hayo ningezidi kumuona mjinga na kuwachoresha wakubwa zake,wenye kujifaragua kwa "Usecular" kuna elimu za kujivunia sio hizo zinazowafanya kuwa wajinga.

Na elimu ina nguzo mbili tu :
1. Kuhifadhi na
2. Kufahamu

Nipo ...
 
Swali zuri. Suala la watu kujitenga au kuhitilafiana ni kutokana na ujinga,mataminio ya nafsi na ujuaji.

Kila jambo lina chanzo,na ukisoma vizuri utakuta ya kuwa asili ya Mola wetu kuchagua miongoni mwa waja wake kuwa mitume au manabii ni baada ya waja kuanza kufanya shirki/ushirikina.

Binadamu tumeumbwa na utashi,uhuru wa kutenda na kuchagua na tukapewa nyenzo za kuupokea ukweli. Huu uhuru tuliopewa ndio tunautumia vibaya. Leo hii hakuna mtu anae lazimishwa kufanya uovu zaidi ya hiari yake mwenyewe,na kuna wakati mwanadamu anaweza kufanya jambk huku akijua kabisa jambo hili lina madhara lakini akafanya,hapa nani wa kumlaumu ? Kuuliza swali kwanini kuna madhara ni uvivu wa kufikiri na kujiuliza kwanini unafanya jambo ovu au lenye madhara ni matumizi mazuri sana ya akili.

Mitume wote walikuwa na imani moja,walikuja kutangaza wito kwa waja wote wamuabudu Mola mmoja na wampige vita mshirikina na wajitenge na taghuut. Hii ndio kauli ya mitume wote,hapa utaona ya imani ni moja,ila mitume walitofautiana sheria kutokana na mahitaji. Ndio maana sheria ya Mussa si ya Issa ,ya Issa si ya Daudi si ya Suleymaan na si ya Muhamman amani ya Allah iwe juu yao.

Nakomea hapa kufupisha maelezo,kama utakuwa na swaki kwa haya nikiyo kueleza utauliza.
kk
Imsni hiyo IPI?
 
Sio kweli,tatizo huwa mnajidai mnasoma,hali ya kuwa hamsomi kwa mazingatio.

Natumia Kiswahili cha kawaida sana.

Aliyesoma sana ni huyo aliyekuignore

Mimi sisomi vitabu siku hizi nimeacha kitambo na wala sio Google'man Kama wengine

Nimekaa tulii_'najisoma mwenyewe tu' Sina tabu mimi mufti
 
Nacheka sana,ajabu wewe unae kataa kuwa si kiumbe ulishindwa kuthibitisha kama jiwe si kiumbe,na leo nakuongezea tena,hata "MUDA" nao ni kiumbe pia.
dem nimemkonyeza tu anacheka/
je nkimtongoza c ndo ntambonyeza bila pesa?[emoji389][emoji385][emoji385][emoji389]....
 
dem nimemkonyeza tu anacheka/
je nkimtongoza c ndo ntambonyeza bila pesa?[emoji389][emoji385][emoji385][emoji389]....

Wakiona watakueleza.

Ukiweza kukakunusha kama "jiwe" au "muda " si kiumbe nistue.
 
Tatizo huwa mnapoingia mnashindwa kutoka.

Tofauti yangu na nyinyi,mimi nilianza kufundishwa kwanza kabla ya kujadiliana.

Kufundishwa kua jiwe ni kiumbe hai???

Hao waliokufundisha waje kwangu niwafundishe namna ya kufundisha
 
Kufundishwa kua jiwe ni kiumbe hai???

Hao waliokufundisha waje kwangu niwafundishe namna ya kufundisha

Siku naona mmezidi kuwa waoga,sijui mmekumbwa na nini ?

Acha uoga,sasa kama umeshindwa kunithibitishia mimi,wakubwa zangu au walimu wangu utawaweza ? Kuwa serious,mimi nawawakilisha,utakacho niambia nifawafikishia,huwa nachunga sana amana na siachi kuirudisha kwa watu wake.

Tuendelee....
 
Back
Top Bottom