j_h_kirigini
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 138
- 61
But you are still contradicting yourself, even with that arbitrary distinction of what is between humans and what is not.
well sir, i hv written enough..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But you are still contradicting yourself, even with that arbitrary distinction of what is between humans and what is not.
well sir, i hv written enough..
You can say that he was a stupid creep or he was stupidly creepy, but never "a stupid creepy".Now I could conclude with a Prudential answer Hawking was a STUPID creepy
Nmeshakwambia God is power,, Na ipo siku yako utakuja kukiri humu.Kukuonesha maana yake nini? Umeme unaweza kupimwa, umeme ulio ndani ya mwili unaweza kupimwa, vipimo vinaweza kuonekana.
Huyo Mungu wenu hayupo, hapimiki hata kimantiki tu, dhana ya kuwapo kwake ina contradictions, kwa sababu hayupo.
Suala la umeme kuwapo katoka mwili wa mtu ni kitu kinachojulikana kibaiolojia, kinapimika, halina contradiction.
Hawezi kuisha, Hajawahi kuisha na hatokuja kuisha.Umeniambia lakini hujathibitisha, kuniambia yeyote anaweza kuniambia lolite.
Kuthibitisha ni kitu kingine.
Power huwa inaisha. Mungu naye anaisha?
Sisi waamini na wewe ( Atheist ) tuna utofauti mkubwa sana.Nakubali.
Hawezi kuisha, hajawahi kuisha, na hatokuja kuisha.
Kwa sababu hayupo.
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta meme za kiimani tu.Sisi waamini na wewe ( Atheist ) tuna utofauti mkubwa sana.View attachment 2702009
Mungu sio Hassan wala Andendekisye kuwa utamfuata tu sehemu nkakuonyeshe,Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta meme za kiimani tu.
Thibitisha Mungu yupo.
Nakubaliana na wewe Mungu si Hassan wala Andendekisye.Mungu sio Hassan wala Andendekisye kuwa utamfuata tu sehemu nkakuonyeshe,
Imani ni mlango wa kumjua Mungu na kumthibitisha. Wewe hiyo imani huna.
Hakuna atakaekuja kukuthibitishia Mungu kuwa ndio huyu hapa, Wa kukuthibitishia ni wewe mwenyewe, Naam ni wewe mwenyewe.
Nkuthibitishie ? Mwanzo wa ulimwengu ndio uthibitisho wanguNakubaliana na wewe Mungu si Hassan wala Andendekisye.
Kwa sababu hayupo.
Dhana ya kuwepo Mungu ina contradictions zinazoonesha kuwa huyo Mungu hayupo, ni Mungu wa kutungwa na watu tu kwenye hadithi.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
who created God??Nkuthibitishie ? Mwanzo wa ulimwengu ndio uthibitisho wangu
(Bing Bang )
Someone who wasn't limited by space or time dimention created the big bang ( God ).
Nkuthibitishie ? Mwanzo wa ulimwengu ndio uthibitisho wangu
(Bing Bang )
Someone who wasn't limited by space or time dimention created the big bang ( God ).
Imani ni nini?Mungu sio Hassan wala Andendekisye kuwa utamfuata tu sehemu nkakuonyeshe,
Imani ni mlango wa kumjua Mungu na kumthibitisha. Wewe hiyo imani huna.
Hakuna atakaekuja kukuthibitishia Mungu kuwa ndio huyu hapa, Wa kukuthibitishia ni wewe mwenyewe, Naam ni wewe mwenyewe.
Sina majibu, anafahamu yeye mwenyewe.who created God??
"Ambayo hata huijui ni kitu gani" ?Hujathibitisha kitu, umetaja tu Big Bang, ambayo hata huijui ni kitu gani.